waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Waandishi washambuliwa Ngorongoro huku Mbunge akihusishwa katika tukio hilo

    Mkurugenzi wa Gazeti la Jamvi la Habari Habibu Mchange na waandishi wa habari wapatao sita wamevamiwa na kundi la Vijana wa kimasai na kujeruhiwa vibaya walipokuwa wakifanya mahojiano na wananchi wanaotaka kuhama kwa hiyari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro. Baadhi ya waandishi wa habari...
  2. JamiiForums Tanzania TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  3. JamiiForums Tanzania Utoaji wa Tuzo za Waandishi wa Habari za EJAT, Ukumbi wa Mlimani City, Julai 22, 2023

    Mgeni rasmi katika utoaji wa Tuzo hizi ni Balozi Ombeni Yohana Sefue. 1. Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Life Time Achievements Award) Tido Mhando Mshindi wa Tuzo ya Mafanikio ya Maisha katika Uandishi wa Habari (Lifetime Achievement in Journalism Award - LAJA 2023) 2...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Kenya lakemea Polisi kujifanya Waandishi wa Habari ili wakamate Waandamanaji

    Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao. Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

    Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu! Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine. La hasha. Haijawa hivyo. Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi. Hali hii...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Balile kutetea Serikali mkutano wa Waziri Mbarawa anathibitisha bahasha zimepita kwa Waandishi wa Habari?

    Wakuu, Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa. Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World...
  7. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Waandishi wa habari someni mjue mikutano inahusu nini kabla hamjaenda kwenye mikutano

    Dr. Slaa awaambia Waandishi wa habari wafanye uchunguzi kujua mikutano wanayoenda kuhudhuria kutazungumzwa nini kabla ya siku ya tukio ili wasiende kuwa watu ambao hawana maana kwa kushindwa kupeleka ujumbe unaotakiwa kwa wananchi. Dr. Silaa alisema hayo baada ya mwandishi wa habari kumwambia...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  10. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

    Wakili Peter Madeleka,Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel,Makumbusho,Dar es Salaam.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi /wanahabari wengi wa "hovyo" wasiojitambua kabisa!

    Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni! Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo Kumwembe na mtu anayejiita Oscar! Hao wanahabari nawashauri waendelee na mambo ya mpira na mambo...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma, mambo yote yataanikwa na Wahusika wote watatajwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo inaeleza kwamba, Chama hicho kinatarajia kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma 14/6/2023. Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa Dunia nzima la Mauzo ya Bandari litaenda KUHITIMISHWA RASMI , taarifa za chini kwa chini zinadokeza...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msukuma, watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari

    Nimemsikia Mbunge Msukuma akisema eti wengi tunaojadili suala la bandari hatulijui kwa sababu hatujasafiri kwenda Dubai na Uingereza, Singapore ambako wamepiga hatua kwenye sekta ya bandari. Tunachokwambia Msukuma watanzania wa leo hawasubiri kusimuliwa na waandishi wa habari wewe ungejibu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Singida imebaini kuwepo kwa mianya ya rushwa katika baadhi ya halmashauri ikihusishwa na ukusanyaji wa michango

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida, Mzalendo Widege, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo ya kipindi cha Januari hadi Machi 2023, katika mkutano uliofanyika leo May 18, 2023. Na Dotto...
  15. JamiiForums Tanzania Tunisia: Waandishi wa Habari waandamana kupinga Sheria za kupambana na ugaidi

    Waandishi hao wa Habari wanapinga kile wanachosema kuwa ni Sheria kandamizi dhidi ya ugaidi iliyoundwa kuvitisha vyombo vya habari. Wameandamana wakiwa na mabango nje ya makao makuu ya muungano wa Wanahabari wa Kitaifa, wakitangaza kuwa uhuru unategemea uhuru wa vyombo vya habari. Mei 16...
  16. F

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Waandishi wa Habari Kilimanjaro Wafanya utapeli wa pesa kwa kisingizio cha gharama za kurusha habari

    Kumezuka tabia ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro kujihusisha na utapeli kwa kuchukua fedha za watu (wadau) wakidai ni gharama za kutuma habari lakini kinachotokea ni wizi mtupu. Juzi mama mmoja wa Uru Mjini wilaya ya Moshi Vijijini ametoa Tsh. laki 4 kwa waandishi wa habari wanne ili...
  17. JamiiForums Tanzania SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  18. JamiiForums Tanzania Mauaji ya Waandishi wa Habari mwaka 2022 yaliongezeka maradufu

    Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4. Taarifa ya UNESCO...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa Habari, Waandishi wa Habari kila mmoja atimize majukumu yake. Waandishi acheni kulazimisha kupewa hela kama haupo kwenye bajeti

    Kuna tabia ambayo imeshika kasi kwa baadhi ya maafisa habari binafsi na hata wa Serikali. Wanapoandaa matukio yao mara nyingi huwa wanavyombo vya habari ambavyo wamevialika, anapofika Mwandishi wa Habari ambaye hayuko kwenye orodha yao wengine huzuiwa kuchukua matukio Kwa kigezo kwamba hawako...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/2022. ATCL, NHIF, Deni la Taifa, Vyura wa Kihansi, risiti za kielektroniki, Biswalo. Vyazua Mjadala

    Leo April 06, 2023 mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali, Charles Kichere ameongea na waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22. Miongoni mwa mambo muhimu CAG amewashukuru waandishi wa habari, wenyeviti na makamu wenyeviti wa kamati za Bunge kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…