Baraza la Habari Kenya lakemea Polisi kujifanya Waandishi wa Habari ili wakamate Waandamanaji

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,830
1689795675832.png

Kupitia taarifa iliyotolewa na Baraza la Habari Kenya (MCK) imeeleza kuwa kitendo hicho kilichofanywa na baadhi ya Maafisa wa Usalama kimewaweka hatarini Waandishi wa Habari na kazi zao.

Katika video iliyonaswa katika Maandamano ya Julai 19, 2023, imeonesha Afisa wa Polisi aliyejifanya kuwa raia na kusimama pembeni ya Mwandishi wa Habari, alijtokeza kwa kasi na kumkamata raia aliyekuwa kwenye Maandamano.

Katiba ya Kenya katika Ibara za 33, 34 na 35 na Vifungu vyake vinalinda na kutetea Uhuru wa Kujieleza na Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kupata Taarifa.

==========

The Media Council of Kenya has condemned cases of police officers masquerading as journalists to arrest protesters in the ongoing Azimio la Umoja One Kenya Coalition-led demonstrations.

MCK CEO David Omwoyo Omwoyo, in a statement on Wednesday, highlighted the incidents as captured in a viral video in Kibra, saying the action endangers journalists in their line of work.

“The Media Council of Kenya has noted with deep concerns cases of security forces as camouflaging as journalists covering protests with intent to arrest protestors,” said Omwoyo.

He added: “Impersonation of journalists by the police is a grave unprofessional misconduct on the part of the police and trials endanger the lives of journalists in the line of duty.”

Omwoyo at the same time faulted the security personnel for arresting and detailing members of the press reiterating that it was a violation of the law.

“While the council appreciates the release of journalists who were earlier arrested while covering the protests, the detaining of journalists was unnecessary, arbitrary and ridiculous,” Omwoyo noted.

“The work of journalists is protected under Asides 33, 34 and 35 of the Constitution, a right that should be 'respected by all.”

In a video captured on Wednesday, a police officer disguised as a civilian standing next to a journalist dramatically rushed and arrested a protester before whisking him away in a police vehicle.

CITIZEN DIGITAL
 
Wakenya huwa nawaonea wivu sana, yaani polisi wanawakimbia waandamanaji. Wangepata polisi kama hawa wetu huku Tanzania nadhani wangetia akili.
 
Nakubali mkuu, japo ukweli ni kwamba vyombo vya dola ya Tanzania ni vibaya mno kuliko Kenya.
Huo ubaya unakuja kutokana na unyonge wa wananchi.
Chukulia mfano mkoa wa Arusha freedom waliyonayo kule ukipangiwa kazi ya usalama lazima uwe mpole ufuate masharti ya wananchi vile wanataka vinginevyo kazi yako itakuwa ngumu sana.
Kwenye uwingi na umati wa watu wenye hasira bunduki yako haitakusaidia kitu,chukulia maaskari mko 20 katika tukio,wananchi wako 5000 utawafanya nini?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom