waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari waaibishwa kutoripoti uwanja wa ndege wa Katavi kuota nyasi na mmliki wa ambulance zilizokamatwa bandarini

    Uandishi wa uhakika huwezi kuwa rafiki na Mamlaka, Kuna siku moja Trump alikuwa anaishambulia CNN kwa Twitter kuwa badala ya kuitangaza vizuri Marekani na miradi yake ya kiuchumi chombo hicho kimekazana kupambana na Utendaji wa Rais na proganda zingine. Muda huo huo CNN wakamjibu Tena kwa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani Wote Mnakaribishwa . Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakili Emmanuel Muga: Uandishi wa habari kama unafanyika kisawasawa hauwezi ukawa rafiki na Mamlaka

    Awamu za serikali zilikuwa na malengo tofauti, mfano wakati wa Mwl. Nyerere vyombo vya habari vilikuwa ni vya ku-promote siasa za ujamaa na kujitegemea hakukuwa na vyombo huru kulikuwa na vyombo vya chama na serikali"- Emmanuel Muga, Wakili. Alivyokuja Mzee Mwinyi akaruhusu vyombo vya habari...
  4. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Tanzania's Press Freedom ranking falls after journo killings

    By Elisha Magolanga The Citizen Correspondent Press freedom has shrunk considerably in Tanzania, with journalists and media houses finding it more difficult to do their work, according to the 2013 World Press Freedom Index. The country has dropped 36 places and is now ranked at number 70 of...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Bahasha: Sio Kila Bahasha ni Rushwa

    Wanabodi, Kuna hoja nyingi huwa zinaibuliwa humu JF kuhusiana na sisi waandishi wa habari, kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha na sio kujitetea! Intro ya Pasco au Paskali. Mimi ni Mtanzania, nimezaliwa jiji Dar es Salaam, nimesoma primary Dar...
Back
Top Bottom