waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

    Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji. Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa. Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CIA na Mike Pompeo washitakiwa kwa kuingilia faragha za waandishi wa habari

    Jopo la wanahabari na wanasheria wamelishitaki Shirika la Ujasusi Marekani, CIA na Mkurugenzi wake wa zamani Mike Pompeo kwa kukiuka faragha zao na kuwapeleleza walipomtembelea mwanzilishi wa WikiLeaks Julian Assange. Wabunge kadhaa wamelishutumu Shirika hilo kutunza taarifa za siri za...
  3. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Human Rights Watch: Morocco inawafunga Waandishi wa Habari ili kuwanyamazisha

    Watetezi wa Binadamu wa Human Rights Watch( HRW) wamesema Morocco inawafunga waandishi wa habari kwa mashtaka yasiyo ya kisiasa ili kuwanyamazisha, baada ya Omar Radi na Soulaimane Raissouni, kuhukumiwa karibu miaka 5 jela kwa makosa ya unyanyasaji wa kingono Pia mwaka 2018 Taoufik Bouachrine...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

    Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba. Chanzo: Shaffih Dauda...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mahakama itoe semina maalumu kwa waandishi wa habari namna ya kuripoti habari za kimahakama maana wanapotosha na kuzua taharuki katika jamii

    Ukisoma vichwa vya habari vya magazeti mengi basi unapata picha kwamba Mdee na wenzake wameshashindwa kesi jambo ambalo kitaalam sio sahihi. Sasa wakionekana huko Bungeni wananchi wataanza kuiona serikali kama inafanya ndivyo sivyo. Jambo hili ni hatari kwani upotoshaji ukizidi unageuka kuwa...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari 13 waswekwa rumande ndani ya wiki moja nchini Ethiopia

    Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Waandishi wa Habari professional

    Baada ya kusikiliza hoja za mbunge ndo ni lielewa kwanini alifanya hicho alichofanya kwa kweli nili muunga mkono, ila Waandishi wa Habari wetu walionyesha tu tukio bila kulijengea msingi wake au background ya tukio kama hilo. Mambo kama hayo yana tokea kwenye ma bunge mengi kusindikize serikali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na Waandishi wa Habari leo 23 Mei 2022

    🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

    Wanabodi, Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana. Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue. Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari Sudan Kusini walia kukosa uhuru

    Waandishi wa habari wa Sudan na Sudan Kusini wameeleza kuwa wanakabiliwa na vitisho, ukandamizwaji na ukamataji holela hali ambayo inaondoa uhuru wa utendaji kazi wao. Inadaiwa kati ya Januari na Machi 2022, maafisa wa usalama waliondoa makala kadhaa katika Gazeti la Juba Monitor, ambalo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DAS Singida ataka waandishi wa Habari wapeleke CV zao ofisini kwake

    Ali Mwendo amewataka waandishi wa habari Singida wawasilishe CV zao kwake, Mwenyekiti wa Singida Press Club akamjibu sio sahihi kwani wao sio waajiriwa wa Serikali. Jambo hili ni geni sana itapendeza Waziri wetu Nape aingilie kati
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji, Wachambuzi na Waandishi wa Hab mnarudia Kosa lile lile ambao litaigharimu Simba SC ikikutana na Orlando Pirates FC

    Kama kawaida yenu ili muaminike Kinafiki, mpewe Vipesa vya hapa na pale na muhaidiwe kuwemo katika 'Trip' ya South Africa mmeshaanza sasa katika Redio zenu, Mitandao yenu na Magazetini Kwenu Kuisifia ( Kuipamba ) Simba SC na Kuwadharau Wapinzani wao akina Orlando Pirates FC ya Afrika Kusini...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari 12 wauawa kwenye vita nchini Ukraine

    Waandishi wa habari 12 wamekufa nchini Ukraine tangu kuzuka kwa vita nchini humo mwezi mmoja uliopita taarifa hii ikiwa ni kulingana na mwanasheria mkuu Iryna Venediktova. Ameandika kupitia ukurasa wa Facebook kwamba pamoja nao waandishi wengine 10 wamejeruhiwa wakati wa mapigano hayo...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania jifunzeni kwa wenzenu wa nje

    Ukisikiliza mahojiano ya leo kati ya Salim Kikeke na Rais Samia kupitia Dira ya Dunia BBC. Salim anauliza maswali konki bila woga mfano: 1. Kesi ya Mbowe 2. Usalama wa Lisu akirejea nchini 3. Uhuru wa vyama vya siasa 3. Katiba mpya 4. Msimamo was Tanzania kwenye vita ya Ukraine. Wakati mwingine...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM na Waandishi wa Habari

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo Leo Ijumaa Machi 18, 2022 atazungumza na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 5 asubuhi hii kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo utaruka Mbashara kupitia Vituo vya TBC, Channel Ten...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari ni nguzo muhimu, walindwe

    Tasnia ya habari imekuwepo kwa vizazi na vizazi, Tasnia hii imechangia kufanikisha mambo mengi sana ikiwamo, maendeleo, kukuza lugha, kutoa elimu mbalimbali, kuonesha sehemu zenye fursa za kiuchumi na kufichua ubadhilifu katika mambo mbalimbali ikiwemo kwa watumishi wa Umma nk. Tasnia ya habari...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na waandishi wa habari Machi 12, 2022

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumamosi Machi 12, 2022 ataongea na Waandishi wa Habari kuanzia Saa 4 asubuhi kwenye Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImara #KaziIendelee
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Geita: Watoto 2 wafariki kwa kushambuliwa na nyuki

    Watoto wawili wenye umri wa miaka minne wamefariki kwa kung’atwa na nyuki katika kijiji cha Kamena wilayani Geita Mkoani Geita. Mkuu wa Wilaya ya Geita Willison Shimo amekiri kutokea kwa vifo vya Watoto hao na kuitaka jamii kuzingatia kuweka ulinzi katika maeneo yao ya ufugaji wa nyuki dhidi ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

    Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika. Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika. Wang Yi...
  20. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Urusi, Ukraine yaanza, waandishi wa habari watolewa ukumbini

    Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje. Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
Back
Top Bottom