Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Wakuu,
Kwenye mkutano huu wa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi na Wahariri unaofanyika leo tar 14/07/2023 akielezea mkataba na uwekezaji wa bandari, Balile anaegemea upande wa serikali kabisa.
Akiwa anaongoza mjadala mara atoe ufafanuzi kueleza juu ya uwekezaji, mara atoe ufafanuzi juu ya DP World, yeye yupo kama moderator hayo mengine anaongea kama nani
Anawaambia wahariri Serikali ikisema mkataba huu hauna shida waandishi msiende kupotosha, hapa si anatetea kabisa Serikali na kuonesha wahariri wapo kwenye payrole?