Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 2,399
- 5,817
Habarini wanajf wenzangu hope mko gud kabisa.
Direct niende kwenye topic imekua kama culture kwa vijana wanaomaliza na waliomaliza vyuo vikuu na vya kati kwa asilimia kubwa unakuta ni walevi unywaji wa pombe uliopitiliza, wanavuta bangi,sigara,mirungi... nk
Mimi nashangaa sana halafu unakuta wanacomplain kwamba hamna ajira ili hali wao ni walevi,wavivu wanashindia madawa ya kulevya hususani bangi na kubet.
Nini hasa kinachowafanya kuwa wajinga namna hiyo au uko vyuoni kuna somo la ulevi??
Cc Intelligent businessman Edo kissy Fabian Vitus Usherman