Nyumba zaidi ya 1509 zilizojengwa na NSSF kwa ajili ya kuwauzia wananchi lakini zimekosa wanunuzi na kuwa makazi ya POPO katika maeneo ya Tuangoma na kwingineko sasa kugawiwa kwa vyuo vikuu vya umma.
Source Habari Leo.
Maendeleo hayana vyama!
Nimefuatilia na kupata kufahamu kuwa baadhi ya taasisi kwa elimu ya juu bado wanafanya michezo mibaya kwa fedha ya kujikimu ya wanafunzi.
Wako watumishi wa hizo taasisi sio waaminifu na wanachelewesha kwa makusudi kabisa kutoa hizi fedha kwa wanafunzi kwa sababu wanazojua wenyewe.
Hizi fedha...
Habari za leo wakuu?
As regard with the heading above, ninapenda kuulizia ni benki zipi zinaweza wasaidia wanafunzi wa vyuo vikuu, mikopo ya ada tu (tuition fees), ili kufanikisha upatikanaji wa elimu kwa mlengwa?
At any interest rate and which can be paid after completion of studies, maana...
Salaam wakubwa..
Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha???
Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha?
1: chuo kikuu. (university)
2:Vyuo vya ufundi (technical)..
Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa??
Pancho boy
Kama kichwa kinavyojieleza. Mfumo wa elimu wa vyuo vikuu umegubikwa na rushwa na degree za ngono hivyo kupelekea kuzalisha wahitimu wenye uwezo mdogo. Hili tatizo ni kukosekana kwa mfumo wa bodi ya mitihani ya vyuo vikuu ambayo ingesaidia mwanafunzi wa UDSM kufanya mtihani unaofanana na wa...
Injinia wa kijapani pale Mwenge amekubaliana na ushauri wa Rais Magufuli kwa vyuo vikuu kwamba Degree zao zilenge kuwaandaa vijana katika kujiajiri na si kusubiri ajira za serikali.
Mjapan ameniambia vyuo vikuu katika dunia iliyoendelea huwaandaa vijana katika ubunifu, ujasiri na uthubutu na si...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika Sayansi ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Shahada hiyo imetolewa na Rais Mstaafu Benjamini Mkapa katika mahafali ya 10 ya chuo hicho.
====
Rais Magufuli awasili...
Dini zimekuwa zikijitahidi Sana kuwekeza kwenye miundombinu na majengo ya vyuo vikuu Tanzania kwa kupitia wafadhili wao wa ndani nje ya nchi ambao Mara nyingi wakishamaliza huwa hawaendelei kuchangia gharama za uendeshaji.
Dini Kama Waislamu,wakatoliki,walutheri, waanglikana na wasabato na...
Nchi yetu ina maendeleo kidogo sana ukilinganisha na rasilimali zetu, maliasili zetu, hali ya hewa yetu na utulivu wetu.
Hata hivyo maendeleo haya madogo yameletwa na kila mtu kwa nafasi yake,
Hata hivyo walioleta Maendeleo mwanzo wamesababisha wa leo kuendeleza kwa vile huwezi kurudia kufanya...
Wakuu
Hili suala nimekua nalifikiria mara kwa mara
Tuna chuo Kikuu cha kilimo SUA lakini kwanini hakuna wanafunzi au walimu wanaotoka pale na kua wakulima wakubwa na bora. Wote wakimaliza pale wanaamini kwamba wanatakiwa waajiriwe maofisini. Ina maana hawa walienda chuo cha kilimo ili...
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.
4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.