vodacom

  1. Alez von lumor

    Vodacom acheni wizi aisee mtatuua kwa presha

    Yani mtu unastress zako za hapa na pale unahangaika kupambana na maisha ya kila siku ili mradi mkono uende kinywani Una biashara yako umekwama sehemu flani, ukaamua kuchukua buku ukanunue bando uingie JF uombe ushauri na kupata uzoefu tena buku uliotafuta kwa jasho lako aisee yaani you got...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Vodacom SME yaondolewa kimya kimya

    Miezi kama mitatu iliyopita tuliungwa kwenye vifurushi vya Vodacom SME ambapo tukawa tunapata unafuu kwenye bando. Leo wameondoa bando hilo kimya kimya ukipiga menu hulikuti. Vodacom mnapoteza wateja kizembe
  3. Mtoto wa nzi

    Nawapataje Vodacom Customer Care

    Kama kichwa Cha habari ..... Kila nikipiga 100 wanaongea wao tu ..na nimetuma Hela home Kuna DHARURA Hela wamekata home haijafika. Napiga customer care wanaongea wao tu hakuna option ya kuongea na customer care. Anayejua namna ya kuwapata Msaada tafadhali.
  4. Forgotten

    Naomba kujua bei elekezi za 4G router za Vodacom

    Habari wana-JF, naomba kujua bei elekezi kwa 4G router ya Vodacom inayoweza ku-connect devices 5. Nimeona vifurushi vyao bei iko juu kushinda Airtel ila wateja wengi wanalamikia mtandao wa Airtel. Je, ni ipi bora kuchukua kati ya Vodacom au Airtel?
  5. Exile

    Mtandao wa vodacom limebaki jina sasa sio kwa usumbufu wa network

    Sahizi vodacom yamekuwa kama mazoe wanafanya watakavo internet yao imekuwa chini karibia kila siku leo ndo tabu zaidi halafu badae ndo itakuja meseji umemaliza MB zako wakati hata ulichofanya hakipo jana mpesa imesumbua sana
  6. Board member

    Vodacom acheni wizi wa rejareja

    Habari. Imekua mchezo wenu uliozoeleka siku hizi. Kila nikiweka airtime kabla sijaunga kifurushi lazima mukate kiasi, hali hii inafanya nishindwe kujiunga na package niliyokusudia hadi niongeze airtime nyingine. Nikiwapigia mnasema mara nimejiunga na huduma gani sijui, wakati mimi sijawahi...
  7. monotheist

    Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

    Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia...
  8. N

    Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  9. M

    Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
  10. A

    Vodacom Router Bei Nafuu

    Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom Router na inapatikana kwa bei nafuu sana na vifurushi rafiki kabisa. Kwa maelezo zaidi 0744002351...
  11. BARD AI

    Vodacom yaongoza Tanzania kwa idadi ya Wateja

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoangazia Takwimu za Mawasiliano Nchini, Mtandao wa Vodacom umeongoza kwa idadi ya Wateja ambapo hadi mwishoni mwa Septemba 2023 wamefikia 20,555,763 Ripoti imeonesha Mitandao yote kwa ujumla ilikuwa na ongezeko la 4.7% kutoka...
  12. Influenza

    Vodacom yaongoza kwa Wateja wanaotumia huduma za kifedha. Akaunti zaidi ya milioni 9.2 zasajiliwa kwa Januari-Septemba 2023

    Ripoti iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (#TCRA) imeonesha Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom inaongoza kwa Wateja waliojisali na huduma ya kutumia fedha kwenye simu Usajili wa Wateja wanaotumia fedha kwenye simu umeongezeka kutoka akaunti Milioni 47.3 zilizokuwepo mwishoni mwa Juni...
  13. Roving Journalist

    Mbeya: Wanaofanya utapeli kwa kutumia jina la Mo Dewji wakamatwa, wakutwa na Line za Vodacom (10), Tigo (2) na Airtel (3)

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana na silaha bila...
  14. Analogia Malenga

    Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
  15. I

    Vodacom acheni kubambikiwa wateja wetu huduma wasizozihitaji

    Nimegundua janja ya kampuni hii ya Vodacom kuwaungaisha kwenye huduma zenye makato ya fedha bila wateja wenyewe kuwa wamejiunga kwa ridhaa yao. Nimeshangaa sms imeingia kwenye simu yangu kutoka Vodacom kunijulisha nimefanikiwa kujiunga na huduma ya chekecha hesabu na nitakatwa sh200 Kwa siku...
  16. Hyrax

    Vodacom huduma ya MGODI wanazingua sana

    Line yangu ya Vodacom haina deni nimejiwekea akiba yangu ya milioni 1 huko mgodi nataka kutoa toka last week pesa haitoki nimewapigia huduma kwa wateja option ya kuongea na watoa huduma siipati. Mwenye uzoefu kwenye hii changamoto naomba msaada.
  17. R

    Naomba kujua ada za malipo kwa M-Pesa Visa card

    Wakuu kwa anayetumia Vodacom M-Pesa Visa kulipia online naomba kujua ada ni asilimia ngapi. Nimeuliza customer care kupitia Whatsapp yao naambiwa ni 10%. Siamini kama ni ghali hivyo maana naona Safaricom ya Kenya wanachaji 3.5%. Zamani nilikuwa natumia Mastercard yao haikuwa ghali kiasi hicho...
  18. Sifi Leo

    Waziri Nape, tusemeje ili uelewe kuwa mitandao kama Vodacom wanatuibia?

    Yaani asubuh nmetumiwa ujumbe nadaiwa 6070 ya songesha nimelipa 3000 Kati ya hiyo niliyoombewa Naambiwa nadaiwa 16000 na zaidi aise hawa jamaa ni wezi balaaa. MH Nape nipo tyr kukupa ushirikiano ili kukomesha wizi huu. Staki kuamini yakuwa upo nyuma ya wizi huu tafadhali jumbe zao.
  19. mandawa

    Vodacom mnakera

    Wadau hivi Vodacom wanawezaje kutoa numba tofauti ya kuwasiliana nao mbali na Ile ya 100 ambayo inahudumiwa na robot tu wala huwezi ongea na mhudumu. Na hii walivotoa kama mbadala 0754705000 sio free lazima uwe na salio na kama haitoshi unakaa hewani nusu saa na zaidi hamna mhudumu anapokea...
  20. Mwanadiplomasia Mahiri

    Msaada: Nimelipia Vodacom Supakasi lakini ni wiki ya 3 sasa bado sijapewa huduma

    Naombeni msaada nimelipia huduma ili niunganishwe lakini kwasasa inaenda week ya 3 sasa sijapewa vifaa na bado sijapata huduma. Nipo mkoani, mwenye mawasiliano na watu wa makao makuu voda naomba namba zao Cc Chief-Mkwawa
Back
Top Bottom