vodacom

  1. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Vodacom kuna muda mnakua na ujinga sana

    Hivi mnajiona nyie ni wajanja sana au si wateja wenu ndo mnatukuta malofa sana? Hivi kwanini mtu kama ana dakika bado zimebaki kwenye kifurushi chake let's say Cha mwezi halafu akiunga kingine kabla Kile hakijaisha msifanye tu kutop up hilo bando, au basi akiendelea kutumia mkate zile dakika...
  2. Ultimate

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamesitisha huduma ya kuhamisha bando kwenda namba nyingine bila taarifa

    hapo kabla kulikua na huduma ya kuhamisha bando (MB 250) kutoka namba moja kwenda namba nyingine sasa ivi naona hii huduma wamesha itoa bila hata ya taarifa. Pia hii ilikua ni amri kutoka TCRA kwamba ma kampuni ya simu yaruhusu luamisha bando naona vodacom wameamia kukaidi na kuondoa hii...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania 5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  4. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vodacom yadai Starlink sio tishio kwake, yaikaribisha Tanzania

    Vodacom Tanzania imeikaribisha kampuni ya Starlink, mtoa huduma wa mtandao maarufu duniani, ikisema sio adui wala tishio kwao hata kidogo, bali inatoa fursa ya ushirikiano. Huduma za Starlink zinatarajiwa kupatikana nchini Tanzania katika robo ya kwanza ya 2023, huku mmiliki wa kampuni hiyo Bw...
  6. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Wakuu kwema? Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
  7. Trab na Trat

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ni kielelezo cha huduma mbovu za mawasiliano

    Hawa watu hawajali kabisa wateja wao hasa wanaoishi kwenye maeneo ya kipato cha chini. Kuanzia Jumamosi Jioni, huduma za internet zilishuka ghafla katika eneo la Chigongwe - Halmashauri ya Dodoma Jiji. Mpaka hivi leo huduma za internet zinasua sua na taarifa wanazo ila wameamua kupuuza...
  8. Mwasapile

    JamiiForums Tanzania Huduma ya Vodacom supakasi imekaaje hii!

    Nani anatumia huduma ya Vodacom Supakasi humu atupe maujuzi, tujue speed yao kwenye uhalisia wa utumiaji upoje n.k Kwa walio maeneo yanayokamata 5G speed ipoje wakikufungia hii huduma wanakupa vifaa gani! Maana kuna wanaosema wanakupa router ambayo ni moveable na wengine wanasema wanakuja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Jirekebisheni, Internet yenu sasa inazingua

    Mtandao wenu recently umekuwa slow sana, ile edge ya advantage mliyokuwa nayo dhidi ya wenzenu katika issue ya speed ya internet mnaipoteza, halafu siku hizi ilifika usiku saa sita kwenda mbele internet yenu haipatikani kabisa. Hivi nyie hamjui kuwa kuna watu wanatumia internet hadi usiku wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania kusambaza huduma ya M-PESA nchi za SADC

    Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT). Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nimekatwa Shillingi 70,000 na Vodacom

    Jana nilikuwa sehemu nikawa nina mahitaji ya haraka ya pesa. Huwa sina tabia ya kujikopesha maana naonaga ni kuingia gharama kusiko kwa lazima ila sikuwa na jinsi. Sasa nikasema nijikopeshe shilingi 370,000 kupitia MPAWA, Vodacom wakakata 70,000 juu kwa juu. Nimewapigia wanasema ndiyo makato...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

    Duh.... Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu. Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini? Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani. Yeye kila siku yuko kwenye...
  13. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Vodacom wameondoa Kaskazini Offer tu au wameondoa Offer zote?

    Heshima kwenu. Nilikuwa natumia mtandao wa tigo zamani, nikawa nimekuja sehemu ambayo network ilikuwa inashika kwa tabu sana, kwa kuwa nina line ya Voda nikajaribu kuweka salio ikawa inafanya vizuri tu nikaacha kutumia line yaTigo. Sasa juzi najaribu kuunga kifurushi kwa line ya Voda nashangaa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mrejesho wa "Supakasi unlimited internet" ya Vodacom

    Habari wadau, Nahitaji kwa ambae anatumia huduma ya Internet ya Vodacom supakasi unlimited atupe mrejesho huduma yao ikoje upande wa kasi na kama Mbps unazolipia ndizo unazopata siku zote za mwezi. UPDATE APRIL 2023 Nilijiunga na Ttcl fibre baada ya Vodacom kukuta eneo langu halina 5G coverage.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom, tiGO wapandisha tena bei za vifurushi vya Internet. Nape unafanya kazi gani?

    Katika hali inayoelekea kuonyesha ukosefu wa uthibiti wa bei za vifurushi, Mitandao ya simu imeendelea kupandisha bei za vifurushi. Hadi jana shilingi 2500 ulikuwa unapata MB 1400, Sasa leo wameshusha tena, mtu unapata MB 1229 Hawa watu huenda wanafanya haya mambo kwa ridhaa ya serikali...
  16. Abeid L Msanganzila

    JamiiForums Tanzania Wizi niliofanyiwa na Vodacom

    Habari za jioni wana jf? Poleni na harakati za kutwa nzima. Leo hii nimeamua kushare uizi mpya wa vifurushi vya internet nilioushuhudia kupitia kampuni ya VODACOM. Jana jioni wakati nafanya jambo muhimu mtandaoni ghafla nikakuta simu imeganda kupakua files fulani, nikiangalia mtandao naona...
  17. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Leo nimeweka salio la 1,500 Vodacom nikakatwa Sh 200/=

    Thread was deleted
  18. simojaxlegrand

    JamiiForums Tanzania Lipa kwa simu (Vodacom)

    Natengeneza Laini za Lipa kwa simu za Vodacom bure kabisa. Popote ulipo Tanzania unahudumiwa. Vigezo uwe na kitambulisho cha NIDA au Namba za nida. Mwenye uhitaji nicheck 0758381938
  19. Vontec

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wahitimu kutoka Vodacom (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)

    Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania CCM wanajua wawekezaji wataikimbia nchi baada ya Vodacom kutangaza hasara iliyotokana na tozo?

    Wote naamini tumeliona lile tangazo la kampuni ya Vodacom, lenye kichwa cha habari cha TAARIFA KWA UMMA, ambalo lilielezea kuwa kampuni hiyo imepata hasara ya Shs. Bilioni 103.8 Katika mwaka uliopita wa Fedha, kutokana na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, kuanzisha hizi tozo zake kwa wananchi...
Back
Top Bottom