Vodacom naenda mahakamani

Mouse3

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
1,425
1,246
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!

Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!!

Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!

Mnanikata bima makubaliano 4,000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?

Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!

Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?

Basi Sawa!! Najipanga!!
 
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!

Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa nimatumizi yangu!!

Bando la 50000tsh na mtandao haufanyi kazi mda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!

Mnanikata bima makubaliano 4000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?

Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!

Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?

Basi Sawa!! Najipanga!!
Kuna ile wanakuunga huduma unakatwa hela kila siku ukiwapigia wanakuambia ulijiunga. Juzi nimekaa nashangaa meseji umeungwa huduma utakatwa 300 kila siku kujitoa bonyeza konyokonyo. Nikajiuliza kuna wale hawajui mambo mengi kwenye simu zaidi ya kupiga na kupokea wao ndio wanaumia sana.
 
kuna ile wanakuunga huduma unakatwa hela kila siku ukiwapigia wanakuambia ulijiunga. Juzi nimekaa nashangaa meseji umeungwa huduma utakatwa 300 kila siku kujitoa bonyeza konyokonyo. Nikajiuliza kuna wale hawajui mambo mengi kwenye simu zaidi ya kupiga na kupokea wao ndio wanaumia sana.
Kilichonishangaza nikwamba muhudumu mwenyewe ukimuuliza hana jibu, haelewi akujibu nini!
Na nimegundua kuna ukiburi fulani hivii kwenye hii kampuni yaani kama KASEME UNAKOJUA UTANIFANYA NINI!!

Dhulma haiko kwenye ardhi tuu…mhusika code imeshasomeka………. Ruka nao!
 
Internet ya voda ni mwendo wa kobe, wamenilazimisha nibadili ratiba na kuanza kufanya kazi usiku wa manane!
Super true! Alafu wanakwambia unatumia sana internet wakati unakuta umeingia gharama kwa mitandao mingine ili ufanye kazi zako! Ukiigeukia ya kwao unakutana na SMS bando limeisha! 😡
 
Kuna jambo nadhani mnalifanyia mzaha!

Najiunga kifurushi cha mwezi Cheka mitandao yote 10,000tsh
Sijatuma messeji zaidi ya nne ndani ya siku sita ila mnaniambia meseji zimeisha, nikiwapigia mnajibu kuwa ni matumizi yangu!!

Bando la 50,000tsh na mtandao haufanyi kazi muda mwingine hivyo limetulia tu ghafla SMS umebaki na MB chini ya 2000! Mkipigiwa simu majibu hayo hayo!
Tena unprofessional!

Mnanikata bima makubaliano 4,000 kila mwezi, mpesa yangu inakatwa ila SMS sipati nikipiga kuuliza details najibiwa hamna data! Sijui wanahisi mimi kichwani hamna ubongo!!?

Mnasema ukinunua vifurushi kwa mpesa wanakupa points mimi ndio kabisaaa tuzo points hawazi add teena! Lol!

Kwahiyi Vodacom Tanzania mna blackmail wateja sio!!?

Basi Sawa!! Najipanga!!
Kujua Vodacom ni wezi

Unga salio la Tsh 1000 liache kwa simu,usipolitumia ndani ya masaa 24 unakuta limepungua,wamefyeka Tsh 100 au 200
 
Mitandao hii inafikirisha.
Huduma inakuwa anasa sasa na sio nyenzo ya kukuza uchumi!
Tunatakiwa kuwe na kura za live kwenye kituo cha redio cha taifa TBC kila baada ya miezi mitatu wananchi wachague wenyewe mtandao wanaoutaka kwa kupiga simu siku tatu kila ifikapo saa kumi jioni mpaka saa moja jioni! Atakayeshinda awe ameshinda zabuni kutoka kwa walaji wenyewe ambao ni 64 millions people na sio kutoka ofisi ya watu kumi au ishirini wasioweza kututetea! 😡
 
Internet ya voda ni mwendo wa kobe, wamenilazimisha nibadili ratiba na kuanza kufanya kazi usiku wa manane!
Kwenye spidi ya internet utakuwa unawaonea. Ndio yenye spidi kuliko mitandao yote. Hilo la kuiba mb&sms linanisumbua kila siku.
 
Kwenye spidi ya internet utakuwa unawaonea. Ndio yenye spidi kuliko mitandao yote. Hilo la kuiba mb&sms linanisumbua kila siku.
Mkuu mimi ni mtumiaji wa voda miaka yote, hata walivyoleta hii unlimited nilikuwa mteja wa mwanzo kabisa, ila hizi wiki mbili mpaka 3 ni chenga, toka waseme kuna tatizo kwenye mkonga baharini shida zote zilianzia hapo, labda wewe si mtumiaji au matumizi yako ni ya simu tu(hapo huwezi kunotice tofauti yeyote)
 
Back
Top Bottom