Jamil_Jamal
New Member
- Jan 6, 2024
- 2
- 0
Habari naomba Vodacom mnitaftie ufumbuzi kwaninhili tatizo kwangu limekua la kudumu.
Nimelipia Supa kasi Fwa ya 115,000 -up to 20Mbps lakini shida inakuja kila mara mnara unaondoka na ishatokea hivo zaidi ya mara 10. Inanibidi nicheki na watu wenu wa customer service nayo imekua changamoto mtu mmoja tu ndo kaweza kulishulikia kugundua kuaninabidi Profile iwe refreshed.
Muangalia hii shida kwanini mara kwa mara inatokea na murekebishe nishachoka kua changamoto inajirudia na hua inachkua mdaa sanaa mpaka kufanyiwa kazi mpaka net ikarudi.
Vodacom jitahidini kusolve katika hivi vitu mlivo introduce halafu haviko 100% inakua inakula kwetu wateja.