vodacom

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nyie Vodacom ni kitu gani hiki?

    The Service Provider Mdundo has scheduled repeat payments of amount 199Tsh every Day for 999 Days as payment for product Mdundo -Tsh199/Daily. Contact Vodacom Customer Care if you didnt subscribe to this service Yaani mtu ana schedule repeated payments kwa namba yangu, na hata hamnipi option ya...
  2. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Vodacom yatangaza washindi wa draw ya kampeni ya ni balaa

    Mshindi wa wiki ya tano wa kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi' Salehe Samweli (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa kampuni hiyo, Abednego Mhagama (kushoto), katika Duka la Vodacom lililopo...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?

    Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine. Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gawio la Tshs. 11.93 kwa hisa linasikitisha, Vodacom inafanya biashara kubwa kuzidi baadhi ya mabenki

    Mimi ni Mwanahisa wa Vodacom na nimepata taarifa kuwa mkutano mkuu wa Wanahisa wa Vodacom utafanyika tarehe 11 Septemba, 2024 kielekroniki. Binafsi nina hakika Vodacom inafanya biashara kubwa hata kuzidi baadhi ya Mabenki lakini kinachosikitisha ni gawio walilotangaza ya Tshs. 11.93 kwa kila...
  5. mkorinto

    JamiiForums Tanzania Bando za data Vodacom zinaisha kwa kasi ya ajabu, tatizo ni nini?

    Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida? Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa...
  6. cacutee

    JamiiForums Tanzania Napataje kuongea na vodacom customer care

    Habari zenu? Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom. Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii. Mwisho Vodacom mpunguze wizi. Leo mmeniibia Sana bando zaidi ya Mara tatu. Sio poa
  7. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi na nyie mnaona kuwa Vodacom ni mtandao gharama sana au ni njaa zangu mwenyewe?

    Kwa kweli hawa jamaa in just short time unapata meseji ya "umetumia 75% ya bundle lako." Tsh 2500 au Tsh 3000 ndio options za bundle za wiki jumuishi ya data na dakika. Tsh 3000 unapata gb 1.4 kwa wiki ya internet. Vipi mitandao mingine au gharama ni kama hizi hizi?
  8. Emmanuel S Jonathan

    JamiiForums Tanzania Jipatie Vodacom Sme bila malipo Yoyote

    Pata Vodacom sme Bure kabisa, uwe na nida, Tin number, picha yako, utapata ndani ya dakika chache nicheki kupitia +255753207909 NB: Maelezo yote nimeweka apa wakuu ukiwa na ivyo vielelezo ndo unicheki Whatsapp kwakutuma picha ya Nida,picha ya Tin , email address, no yako ya voda, na kifurushi...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tz walikuwa na kawaida ya kurekodi calls zetu kwa sasa hasa miezi ya karibuni wameacha sijui wamepatwa na nini?

    Shalom, Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza *#62#OK, upande wa Airtel na tigo sijawahi kuona hatari, Vodacom wao walikuwa na namba inaanza na...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Senior Legal Specialist at Vodacom July, 2024

    At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that empowers us to achieve this. We challenge and innovate in order to connect people, businesses, and...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Eric Kabendera aelezea jinsi Vodacom Tanzania ilivyomkamatisha kwa vyombo vya Usalama

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake. Katika kesi hiyo...
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Vodacom. Huduma ya Tusuamapene.

    hii huduma mbona mnatuibia pesa wenu, ukiweka tu salio wanakata 100, 300 ukiuliza uaambiwa ulijiunga na huduma ambazo hata hauzijui mbona watu wa Mitandao ya simu wanatuibia, wateja woa. Wizi kila sehemu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom, kutishia kufunga laini kisa mtu hanunui muda wa maongezi wakati ananunua vifurushi kwa M-Pesa ni wizi wa mchana kweupe

    Vodacom sasa huu ni uwizi. Haiwezekani kumlazjmisha mtu kununua muda wa maongezi na kutishia kuifunga namba yake wakati mtu huyohuyo ananunu vifurushi kupitia M-Pesa. Kama njia hjyo sio sahihi basi toeni hizo huduma za vifurushi kwenye Mpesa. Ili imlazimu mtu kununua salio. Salio la nini sasa...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye namba ya kuongea na huduma kwa wateja Vodacom ambayo sio 100

    Kampuni ya Vodacom,imekuwa na usumbufu mkubwa sana. Ukitaka kuongea nahuduma kwa wateja inakuwa ngumu,wanakuunganisha na online zao ambazo huwezi kumpata mhudumu wao. Mwenye namba zao za Moja kwa moja tafadhali? Tunaomba TCRA iingilie kati,Kuna shida kubwa kwa watu walio wengi na maskini
  15. L

    JamiiForums Tanzania VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na huduma za kukopesha-Mgodi na Mpawa

    MIe kama mteja wa muda mrefu wa Voda nimepata na ukakasi kidogo, ni hivi hawa jamaa mara nyingine unakuta deni limelipwa wao hawajakata, wanaendelea kulitambua deni na muda unafika wanakupiga fine. Ukiwa unafuatilia utalijua hilo na bado watachukua muda mrefu kurekebisha bila ya kukurudishia...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya VODACOM tawi la Moshi wana dharau

    Juzi kati nilienda kuwataarifu kuhusu tatizo kwenye lain yangu. Cha ajabu meneja wakati natoa maelezo kuhusiana na la laini yangu Kama dakika moja hivi ghafla anapokea sim anaongea na msela wake na kunipotezea bila hata excuse yoyote..ni kwanini watu wanakuwa hivi?.. Ni viburi vya nafasi au vipi?
  18. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Najiuliza ni kitu gani hiki vodacom wanafanya?

    Nimeweka pesa kwa wakala, Meseji ikaenda kwa wakala kwamba muamala umefanikiwa lakini kwangu meseji haijafika. Nimeangalia salio hakuna pesa, wakala akawapigia simu wakasema pesa imekuja kwangu wakati pesa kwangu haijaja. Najiuliza ni kitu gani hiki Vodacom wanafanya?
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania

    Vodacom yaahidi kuwekeza zaidi katika maswala ya uvumbuzi Kampuni ya Vodacom Tanzania imeahidi kuendelea kuunga mkono juhudi za ubunifu wa aina mbalimbali unaofanywa nchini Tanzania. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Phillipe Besiimire Jijini...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania FCS, Vodacom Foundation wasaini makubaliano kuelekea Wiki ya Azaki

    Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundation wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika Jijini Arusha kuanzia Septemba 9 hadi 13, 2024. Akizungumza katika...
Back
Top Bottom