Vodacom acheni utapeli rudisheni pesa zangu

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena

Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia kulipia bidhaa alibaba na AliExpress pia mimi si mpenzi wakukopa pesa kwenye mitandao ya simu kwa kifupi sijawahi kukopa pesa mtandao wowote wa simu

Wiki mbili zilizopita nilirushiwa pesa na mteja wangu huwa ninatabia ya kutoa hizo pesa na kuweka bank basi baada ya kupokea sms ya muamala kutoka kwa mteja hapohapo zilifuata sms 3 zote zikionyesha nimekatwa pesa kutoka songesha

Nilihamaki sana ikabidi nipige customer care wakanipa jibu kwamba kiasi kilichokatwa hakijakatwa kimakosa kwani nilikopa songesha 04/01/2021. Duu nilishikwa na mshangao ikabidi niwapigie tena sasa wakarudi nyuma zaidi wanadai nimekopa tarehe 08/12/2020 na poukweli ni kwamba nimesajili laini mwaka 2022 na sijawahi kukopa songesha

Huu ni utapeli wa wazi kabisa mnanilazimisha nikubali deni ambalo halinihusu mtafuteni aliyewakopa mpeni deni lake na mimi mnirudishie pesa yangu la sivyo huu ndo utakua mwisho wa kutumia vodacom mimi na vizazi vyangu kama master card hata tigo na airtel wanayo
 
Uliuziwa laini ya mtu ambaye alikuwa na deni..

Nimewaza tu
 
Mitandao ya simu inasajili wateja wapya kwa kuwapa namba ambazo zilikwisha tumiwa na watu wengine. Wanatoa sim card zenye madeni lakini kamwe huwezi kukuta mtu aliyasajili line mpya akakuta salio.
 
Mimi sio mtumiaji sana wa mtandao wa vodacom mnamo mwaka 2022 nilihamasika kusajili laini ya vodacom kutokana na masuala ya miamala hivyo ilinilazimu kusajili laini ya voda na baada ya kumaliza zoezi langu sikuitumia tena

Nikarudi tena kuitumia mwaka 2023 sababu ya visa card huwa natumia kulipia bidhaa alibaba na AliExpress pia mimi si mpenzi wakukopa pesa kwenye mitandao ya simu kwa kifupi sijawahi kukopa pesa mtandao wowote wa simu

Wiki mbili zilizopita nilirushiwa pesa na mteja wangu huwa ninatabia ya kutoa hizo pesa na kuweka bank basi baada ya kupokea sms ya muamala kutoka kwa mteja hapohapo zilifuata sms 3 zote zikionyesha nimekatwa pesa kutoka songesha

Nilihamaki sana ikabidi nipige customer care wakanipa jibu kwamba kiasi kilichokatwa hakijakatwa kimakosa kwani nilikopa songesha 04/01/2021. Duu nilishikwa na mshangao ikabidi niwapigie tena sasa wakarudi nyuma zaidi wanadai nimekopa tarehe 08/12/2020 na poukweli ni kwamba nimesajili laini mwaka 2022 na sijawahi kukopa songesha

Huu ni utapeli wa wazi kabisa mnanilazimisha nikubali deni ambalo halinihusu mtafuteni aliyewakopa mpeni deni lake na mimi mnirudishie pesa yangu la sivyo huu ndo utakua mwisho wa kutumia vodacom mimi na vizazi vyangu kama master card hata tigo na airtel wanayo
Hii mitandao ya simu bwana. Una hakika hakuna mtu wako anayeweza kusongesha kwenye line yako.
Mimi juzi juzi nimewakiana na airtel wana huduma fulani kwenye app yao unahamisha pesa kutoka mastercard au visa kuja kwenye airtel money. Nimehamisha pesa haijafika nawapgia wanasema hawaioni wakati 3rd party wao anaitwa DPO ndiye ana handle hizo transaction amenitumia lisiti kuwa ela imeenda airtel.
Aisee niliwawakia maana ilitokea pia mwezi wa tisa wakapita na buku 50 zangu. kuwapigia wananiambia eti mimi ndiye niwasiliane na DPO utadhani mimi nina mkataba na DPO.
Sasa this time wananiambia eti niwasiliane na DPO nikawauliza kwani mimi ndiye niliingia na DPO a handle transactions zao? Huyo jamaa ambaye ni team leader hata DPO hawajui ikiwa ina maana hata hajui kuwa transactions zao anayezihandle ni DPO anadhani eti mimi ndiye nimeweka pesa yangu wka DPO so ananiambia mimi niwatafute DPO.
Tuliwakiana kama dakika 30. Nakata simu baada ya dakika 2 pesa ikaingia.
 
Ngoja nitafute mida wiki ijayo niwafuate offisini maana naogopa kuweka pesa ya kulipia mizigo yangu alibaba wasije wakasepa tena na pesa
 
Hivi, Vodacom wanajua wanachofanya?
Huduma ya kulipa deni la nipige tafu,mi siioni. Ukinunua bando zako,wanakata kwanza deni lao,salio linabaki halitoshi. Ukijichanganya kukopa tena,unalamba deni zaidi ya mkopo. Maana yake ni nini?

Vodacom,lekebisheni huu mfumo. Mkifanya hivi kwa wateja milioni moja kila siku,ni majanga. Huu ni wizi
 
Back
Top Bottom