Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni huduma ya "Tafadhali Nipigie"

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Mahakama ya Juu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa huduma ya ‘Tafadhali Nipigie,’ Kenneth Makate.

Aidha, mahakama imeiamuru Vodacom imlipe Makate kati ya asilimia 5 hadi 7.5 ya jumla ya mapato yaliyotokana na huduma hiyo kwa zaidi ya miaka 18 iliyotumika, pamoja na riba.

======

In a major win for 'Please Call Me' creator, Kenneth Nkosana Makate, the Supreme Court of Appeal dismissed Vodacom's appeal with costs.

The court further ordered the cellphone network service provider to pay Makate between 5 and 10% of the total revenue that the service generated over the last 18 years.

According to court documents, Vodacom has to determine a reasonable compensation amount due to Makate within 30 days.

The protracted battle between Vodacom and Makate began in November 2000 when Makate, a former Vodacom employee, came up with the 'Please Call Me' feature.

Makate came up with the idea more than 20 years ago when he had a long-distance relationship with his now wife, who was a student then. As communication was difficult at the time, he came up with the invention.

A former Vodacom chief executive promised Makate compensation for his invention, but the company later backtracked when the service became a success.

In April 2016, the Constitutional Court ruled in Makate’s favour, ordering Vodacom chief executive Shameel Joosub to make a determination on reasonable compensation for Makate.

Vodacom made a determination of R47 million, which was rejected by Makate and his legal team, who valued fair compensation closer to R28 and R110 billion.

Judge Wendy Hughes made it clear in her ruling that the calculations used by Joosub in offering Makate R47 million for what she called a brilliant invention was by far too conservative.

Makate and Vodacom have been involved in a back-and-forth court battle for fair and reasonable compensation for nearly a decade since the Constitutional Court ruled on the matter.
 
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Vodacom kufanya makosa ya namna hii na kuamriwa kulipa fidia. Sijui shida ya hawa watu ni nini?

Ilitokea hivi kwa huduma ya M-Pesa kwa Tanzania, walipelekewa wazo na mwanamama mmoja (tusimtaje jina hapa), ila wakalikataa.

Baadaye walipoona binamu zao, Safaricom ya Kenya wanatusua na huduma kama hii wakiita Mombasa Pesa (M Pesa), na wao wakaanza kuifanya Tanzania.

Kwa kujaribu kumkwepa yule mama mwenye wazo hilo, wakajitia kuwa wameunganisha huduma hiyo na Safaricom, wakaiita hivyo hivyo M Pesa.

Wakadaiwa fidia na mwenye wazo, ndiyo wakalazimika kumfanya ndiye Wakala Mkuu wa M Pesa, ili avute hela kwa kila muamala wa M Pesa.

Ova
 
Ilitokea hivi kwa huduma ya M-Pesa kwa Tanzania, walipelekewa wazo na mwanamama mmoja (tusimtaje jina hapa), ila wakalikataa.
Sijaelewa, did she invent the computer program to send money/receive money or just a commedian name/a word M- Pesa? Kwamba jina linavutia. Nijuavyo dawa inapata soko kama inatibu na siyo jina la dawa. Kinacho matter ni kugundua programme ya kutuma fedha kwenye simu. Unaweza ukaaita TUMA-POKEA FEDHA...TPF something on those lines.......
 
Kwa vile hujaelewa, ilifaa uishie kwenye kuomba ufafanuzi tu.
 
Wananchi wajijue HAKI zao,

Kampuni ya simu kumpa mtu mwingine line Yako bila ridhaa Yako,

Hiyo pekee inatosha kuifanya kampuni ishtakiwe na kulipa pesa nyingi kama fidia.

Makampuni ya simu yanajua SHERIA, lakini sababu ya Ujinga wa customers wanakiuka SHERIA.
Cha kushangaza line inasajiliwa kwa alama ya vidole kwa utambulisho wa Nida, lakini Wana uwezo wa kukupokonya na kuiuza kwingine bila ya wasi wasi wowote.

Na hii imeleta taharuki zisizo za lazima kwa kuleta mkanganyiko wa wamiliki wa line hiyo na utambulisho wao.

Nadhani njia nzuri kama mteja amekaa na line muda mrefu bila kuitumia, wangekuwa wanai'cease' tuu bila kuigawa kwa mtu mwingine.

Hata hivyo line zinanunuliwa na kumilikiwa na wateja kwa hiyo ni haki ya mteja, kwa Nini awepo kiranja wa kulazimisha matumizi kwa kitu halali Cha mtu?
 
Ulaya hawawezi fanya hivyo, wangeshalipa mabilioni.
 
Swala la kupangiwa kifurushi muda wa kuisha nahitaji kibatala mmoja tupige hela. Mfano umenunua chipsi alafu unaambiwa ukishindwa kuyamaliza ndani ya nusu saa tunazchkua
 
Back
Top Bottom