viwanja

  1. K

    Washindi wa Kilimanjaro Marathon kuzawadiwa viwanja kutoka Lapex Properties

    Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024. Zawadi hizi zinatolewa kwa kushirikiana na mdhamini Mkuu wa Mbio za Km 42- Kilimanjaro Premium Lager na waandaaji wa mbio hizi. Tangazo...
  2. Plot4Sale Viwanja vinauzwa roundabout ya East Africa chini Njiro - Kwa Mkono

    Nauza Viwanja kwa bei nafuu . 10 kwa 10 ml 1500000 15 kwa 10 ml 2500000 Hivi vipo karibu na barabara ya huko sio lami Ndani kwa ndani Ml laki 1 unapata 10 kwa 10 20 kwa 20 ml 7 mpaka 10ml Heka Inaanza ml 50 nusu heka ml 20 Mahitaji yote ya kijamii yapo kutoka impala mpaka kwa mkono ni km 5...
  3. Uuzwaji wa viwanja vya serikali mtandaoni ni hatua kubwa sana

    Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi. Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
  4. Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

    Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio. Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi. Iran successfully launches 3...
  5. S

    Msaada: Malipo ya kodi ya viwanja kwa simu

    MSAADA: MALIPO YA KODI YA VIWANJA. Nimejaribu mara nyingi kulipia kiwanja changu kupitia namba ya mtandaoni *152*00# bila mafanikio. Kama kuna mwenye kujua njia mbadala anisaidie au tumerudia njia yetu ya zamani kwenda dirishani ofisi za ardhi na kupewa control number. Msaada tafadhali.
  6. Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  7. R

    Rais Samia usimtumbue Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege; apongezwe kwa kusimamia Reciprocity kwa manufaa mapana ya biashara zetu

    Kuna wanaharakati wanaanza kushinikiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege aondolewe. Kumwondoa nikudhoofisha kujiamini kwa wateule wa Mhe. Rais. Barua ya kusitishwa kwa safari za ndege za KQ iliyotolewa na Bwana Johari imeeleza mambo makuu mawili ya msingi. 1. Kukiukwa kwa makubaliano...
  8. Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32. Vyote...
  9. Jinsi Ya Kufokasi Katika Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
  10. Naomba kujuzwa bei za viwanja Kinyerezi Mwisho

    Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka. Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya...
  11. Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  12. Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  13. Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
  14. Viwanja vizuri kikatiti

    Kwa wapendwa wote wanaopenda viwanja katiti tunavyo 20 kwa 15 kwa ml 3.5 karibuni wote pigeni 0699-22-79-42 Karibuni Wote xmass hiyo na punguzo la bei ukitaka eneo mahali Arusha to boma call me
  15. Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  16. Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

    Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya mazayuni kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa...
  17. Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo. Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
  18. Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

    Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje? Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
  19. Plot4Sale Viwanja na mashamba

    Karibuni wateja wetu viwanja na mashamba Arusha , tunamaji ya chai kikatiti , king'ori na East Africa. Viwanja ni vya bei nafuu. Unaweza kununua au kulipa kwa awamu. Ila kuna kiwanja muungano kiseriani kinauzaa ml 3 ni 25 urefu upana ni 10 nikizuri kwa kujenga kina punguzo ya laki moja tu...
  20. Jinsi Ya Kutega Bahati Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    “Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.” Charles Brown Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na nyumba ziwe vizuri, ni kujipotezea muda wako wa thamani. Wala huwezi kupiga hatua kwa kusubiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…