Iran warusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.Saudi Arabia wafungua bar ya mwanzo ya ulevi na viwanja vya kujirusha.

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,242
11,046
Baada ya majaribio kadhaa kushindwa kuingiza satelite kwenye orbit,leo Iran imefanikiwa kurusha satelite 3 kwa mpigo na kwa mafanikio.
Mafanikio hayo yamekuja siku chache baada ya taifa la Saudi Arabia kutangaza kufungua duka kubwa la kisasa la kuuzia ulevi.
1706461811431.png

Iran successfully launches 3 satellites into space

Pamoja na kwamba mimi sio mnywaji wa pombe lakini siamini kwamba unywaji tu eti ni dhambi inayoweza kumfanya mtu asitinge peponi, hakuna panaposemwa kwamba unywaji tu ni dhambi.

Na pia ukiwa hapa duniani huwezi kukwepa kufanya aina yoyote ya dhambi na unafanya ukifahamu fika kabisa kwamba hii ni dhambi.

Ndio maana inasemwa wanaohukumu nao watahukumiwa.

There is absolutely no utopia in this world.
 
QUR'AN 5:90
 
QUR'AN 5:90
Like all alcoholic beverages, the Bible prohibits abusing beer (Isaiah 5:11; 28:7; Proverbs 20:1; 31:4). But in moderation, drinking beer was encouraged (Proverbs 31:6). In fact, Deuteronomy 14:26 actually commands Israelites to use some of their tithe money to buy some beers and celebrate before the Lord.30 Sep 2016
 
Kwa wakristo ukifanya dhambi yyt wiki nzima ikifika weekend unaenda kwa Padri au Mchungaji unatoa sadaka anakusamehe madhambi yote.
Hata ukibaka ukiiba ukazini ba mke wa mtu.
We andaa sadaka tu. Mambo yote anayamaliza Baba Mchungaji.

Tena km una laki 1 we tuma Mpesa tu . Anakusamehe kupitia WhatsApp fasta
 
Kwahiyo unataka kusema walokole ni wendawazimu?
 
Like all alcoholic beverages, the Bible prohibits abusing beer (Isaiah 5:11; 28:7; Proverbs 20:1; 31:4). But in moderation, drinking beer was encouraged (Proverbs 31:6). In fact, Deuteronomy 14:26 actually commands Israelites to use some of their tithe money to buy some beers and celebrate before the Lord.30 Sep 2016
So!?
 
Kwa wakristo ukifanya dhambi yyt wiki nzima ikifika weekend unaenda kwa Padri au Mchungaji unatoa sadaka anakusamehe madhambi yote.
Hata ukibaka ukiiba ukazini ba mke wa mtu.
We andaa sadaka tu. Mambo yote anayamaliza Baba Mchungaji.

Tena km una laki 1 we tuma Mpesa tu . Anakusamehe kupitia WhatsApp fasta
Hayupo mtu anaweza samehe,
Hata waislamu ni hivyo hivyo wanangu ninashinda nao kila siku wanatomba mademu ijumaa wanavaa kanzu kuingia msikitini wakitoka wanakuja kwenye goli la chips tunakula kitimoto.
 
Hiyo sio kweli, hakuna mwanadamu mwenye mamlaka ya kuhukumu wengine hivyo kama kuna anayefanya hivyo basi ni kujidanganya tu na ndio maana mimi siamini katika hizi dini zilizoletwa na wanadamu kwa maslahi yao binafsi.

Tungekuwa kama zama zile dini hazijaja basi dunia ingekuwa sehemu moja poa sana.
 
Allah ailinde Dola ya Saudia na aiangushe Dola ya kishia ya Iran na airudishe Iran katika mikono ya Waislam. Iran ya kishia imeua Waislam wengi zaidi kuliko hata mazayuni. Bali ni waovu zaidi. Allah awadhalilishe watu hao washirikina wanaowatukana na kuwakufurisha maswahaba wa Mtume na wake za Mtume. Allah awaangushe hao na vibaraka wao akina Houthi, Hezbo na wengineo wanaozichezea damu za Waislam na kuchochea makafiri kuzimwaga zaidi kwa maslahi yao binafsi na agenda zao ovu pamoja na baba zao mazayuni.

Watu wanaomkufurisha 'Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) na kumtukana matusi mazito mazito hawawezi kuikomboa al-Quds ambayo ilikombolewa na Amir wa Waumini 'Umar Ibn al-Khattab (Radhi za Allah ziwe juu yake) kwa idhini ya Allah.

Saudia na mapungufu yake bado ni bora mno kuliko hao punda wa mayahudi.
 
Hayupo mtu anaweza samehe,
Hata waislamu ni hivyo hivyo wanangu ninashinda nao kila siku wanatomba mademu ijumaa wanavaa kanzu kuingia msikitini wakitoka wanakuja kwenye goli la chips tunakula kitimoto.
Lakini wanatubu kwa Allah Mmoja asiye na Mshirika, Mwenye Kusamehe. Hawaendi kuungama/kudhihirisha madhambi yao walioyafanya sirini kwa wanadamu halafu hao wanadamu eti wakatangaza kuwa wamesamehewa. Toba yao wanaomba kwa Allah tu.
 
Sioni mantiki yao sababu wakitoka msikitini wanrudi kufanya yale yale.
Ni sawa na hao wanaoenda kanisani tu
 
Allah ailinde Dola ya Saudia na aiangushe Dola ya kishia ya Iran na airudishe Iran katika mikono ya Waislam. Iran ya kishia imeua Waislam wengi zaidi kuliko hata mazayuni. Bali ni waovu zaidi. Allah awadhalilishe watu hao washirikina wanaowatukana na kuwakufurisha maswahaba wa Mtume na wake za Mtume. Allah awaangushe hao na vibaraka wao akina Houthi, Hezbo na wengineo wanaozichezea damu za Waislam na kuchochea makafiri kuzimwaga zaidi kwa maslahi yao binafsi na agenda zao ovu pamoja na baba zao mazayuni.

Watu wanaomkufurisha 'Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) na kumtukana matusi mazito mazito hawawezi kuikomboa al-Quds ambayo ilikombolewa na Amir wa Waumini 'Umar Ibn al-Khattab (Radhi za Allah ziwe juu yake) kwa idhini ya Allah.

Saudia na mapungufu yake bado ni bora mno kuliko hao punda wa mayahudi.
Hiyo fiqh kuhusu shia na Iran haieleweki kabisa katka kuitetea Saudia.
Inakuwaje watu wanaowatukana maswahaba na bibi Aisha wana huruma na waislamu na wanakaa mbele kuwatetea wanaodhulumiwa kuliko wale wanaowasifu na kujifanya ndio walinzi wa haram 2.
Mtu atamteteaje Mtume swalaLlaahu alayhi wa salam halafu anashirikiana na maadui wa Mwenyezi Mungu kuwaua watu wengine na ndugu zao hasa.Au mpenzi wa mtume anafungua maduka ya ulevi ambao mtume rehema na amani zimshukie aliamrisha umwagwe na watu wasinywe tena kuanzia siku hiyo.
 
Back
Top Bottom