Black Thought

Senior Member
Feb 25, 2015
160
406
Habari wakuu.

Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga.

Nitakuja na post ya kuelezea namna ya kupiga hesabu ya material maana nimekua nikiona post za members kuulizia idadi ya material yanayohitajika. Kama ukiwa na ramani yenye vipimo unaweza kuifanya hii.

Sisi tunahusika na ujenzi na ramani na mara zote huwa tunawapa wateja idadi ya material ili iwe muongozo wa nini wanahitaji ili waanze ujenzi. Hesabu tunaitoa kuanzia kuseti msingi, kujenga mpaka kupaua.

Unaweza kuona mfano kwa ramani hii hapo na kama ukihitaji unaweza kutucheki whatsapp kwa 0717682856.
Hapo kweye idadi ya material kuna kila hatua kisha kuna summary of material (ambayo ni mjumuisho wa material yote)
 

Attachments

  • IMG_6174.jpeg
    IMG_6174.jpeg
    134.7 KB · Views: 19
  • IMG_6173.jpeg
    IMG_6173.jpeg
    121.3 KB · Views: 18
  • IMG_6771.jpeg
    IMG_6771.jpeg
    150.4 KB · Views: 16
  • IMG_6770.jpeg
    IMG_6770.jpeg
    146.3 KB · Views: 18
  • IMG_6767.jpeg
    IMG_6767.jpeg
    188.4 KB · Views: 22
Back
Top Bottom