viwanja

  1. Teslarati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usimtumbue Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege; apongezwe kwa kusimamia Reciprocity kwa manufaa mapana ya biashara zetu

    Kuna wanaharakati wanaanza kushinikiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya viwanja vya ndege aondolewe. Kumwondoa nikudhoofisha kujiamini kwa wateule wa Mhe. Rais. Barua ya kusitishwa kwa safari za ndege za KQ iliyotolewa na Bwana Johari imeeleza mambo makuu mawili ya msingi. 1. Kukiukwa kwa makubaliano...
  3. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja viwili vinauzwa Mwanza

    Habari za majukumu wanazengo mada inajieleza. Viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Mwanza Ukubwa 70×35m, kimoja kina hati ya ardhi na relevant document kinauzwa 55 mil. Cha pili hakina hati sababu mwenye nacho hakumaliza process ktk halmashauri ya jiji akawa amefariki kinauzwa mil 32. Vyote...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufokasi Katika Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka. Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya...
  5. Candela

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei za viwanja Kinyerezi Mwisho

    Guys, nina ndugu anatafuta kiwamja 25 X 30 (750m²). Alipendekeza kinyerezi kuwa patamfaa. Katika kumsaidia kutafuta nikapata agency flani wakaniambia 65,000 per m². Meaning 48,750,000 kwa size anayotaka. Sasa kabla hatuja close deal nafanya due diligence nione kama hii bei ni thaman halisi ya...
  6. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  8. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

    Leo nataka nikale bata mazingira ya Mbezi - Kimara. Sehemu nzuri classic yenye music na totoz wasafi wasafi sio machangu. Nile na kunywa na kutengeneza connection. Wenyeji nipeni suggestion ya places nzuri.
  9. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Viwanja vizuri kikatiti

    Kwa wapendwa wote wanaopenda viwanja katiti tunavyo 20 kwa 15 kwa ml 3.5 karibuni wote pigeni 0699-22-79-42 Karibuni Wote xmass hiyo na punguzo la bei ukitaka eneo mahali Arusha to boma call me
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kuboresha Miundombinu ya Viwanja vya Ndege Nchini

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo...
  11. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

    Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya mazayuni kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa...
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo. Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

    Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje? Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja na mashamba

    Karibuni wateja wetu viwanja na mashamba Arusha , tunamaji ya chai kikatiti , king'ori na East Africa. Viwanja ni vya bei nafuu. Unaweza kununua au kulipa kwa awamu. Ila kuna kiwanja muungano kiseriani kinauzaa ml 3 ni 25 urefu upana ni 10 nikizuri kwa kujenga kina punguzo ya laki moja tu...
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kutega Bahati Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    “Generally, real estate is cyclical. You have to buy in a way that lets you afford the cycles. And you have to know where you are in the cycle.” Charles Brown Kukaa na kusubiri soko ya ardhi na nyumba ziwe vizuri, ni kujipotezea muda wako wa thamani. Wala huwezi kupiga hatua kwa kusubiri...
  16. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja na Makazi Arusha

    Wapendwa wateja tunavyo viwanja na heka maeneo yafuatayo. Kikatiti , Maji ya Chai, King'ori . Viwanja vya king'ori vinaanza kwa ml 4.5. Kikatiti viwanja vinaanza ml 4. Maji ya chai ni ml 7 mpaka ml 16, . Ila tunaweza tafuta ya bajeti yako pia Nipigie 0699227942 karibuni wote.
  17. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Viwanja kikatiti/

    Tunaviwanja kikatiti . Bei zake kuna heka 2 wanauza ml 37 mazungumzo yapo, km 1.5 kufikia hapo kwenye heka, Heka moja ml 16 ipo km 1 . Kwa mawasiliano zaidi kuhusu viwanja simu namba 0699-22-79-42 kumiliki ardhi ni silaha ya kulala kwa raha . KARIBUNI WATEJA
  18. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za viwanja Tabata - Chang'ombe zikoje

    Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa ushirikiano wenu wakuu kujua bei zake za viwanja Tabata ili nipate uzoefu. Shukrani
  20. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Mradi wa viwanja Vikawe Center Kibaha

    Habari Mpendwa!!, Steam Generation Recovery & Real Estate Ltd Tunapenda kukujulisha kuwa Kwa Sasa tunamradi Mpya wa Viwanja vya makazi Mradi wetu upo Kibaha - Vikawe 𝗩𝗜𝗞𝗔𝗪𝗘 𝗖𝗘𝗡𝗧𝗘𝗥 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗠𝗥𝗔𝗗𝗜 𝗪𝗘𝗧𝗨 𝗨𝗟𝗜𝗣𝗢. 𝗡𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗩𝗬𝗘𝗧𝗨 𝗩𝗬𝗢𝗧𝗘 𝗩𝗜𝗠𝗘𝗣𝗜𝗠𝗪𝗔 𝗨mbali kutoka 𝗕arabara ya 𝗕agamoyo ni 𝗞m6 tu na 𝗞utoka...
Back
Top Bottom