Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,894
109,227
Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja nao Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya mazayuni kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.

Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.

Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.

 
Wakianza tena kutandikwa wanakimbilia shimoni na kunaza kulia lia ceasefire,yani mnachekeshaga sana

Thubutu, mazayuni hawana hamu, hawawezi vita ya kiume ya uso kwa uso. wao ndege tu na wauwe watoto na wagonjwa mahospitali.

Unakwenda kupigana na magari ya chuma na watu amabao silaha anatengeneza uwani kwao? Na hivyo hivyo wakaliwa vifari vya zaidi ya 300, kinyume na mategemeo yao.
 
Sema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.

Tatizo hawatabiriki,kuishi na watu kistaarabu hawawezi,wamezoea kuua watu.

This time wamekutana na wajomba wabishi wanalia lia tu,natamani wazayuni watembezee kichapo magaidi yote duniani.
 
Walikuwa hawataki bikra 70 za ahera, Uislamu ni utapeli

Wenzako vita hii imesilimisha, askari wakizayuni mpaka wanaongea hovyo wanasema "hatuna hamu huko, tunapigana na mizimu"

Watuulize Waislam tutawaelimisha walikuwa wanapigana na nani. Jisomee hapa kama utalewa:

Qur'an 2:169. Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
 
Ni mabikra 72 sio 70 na uume unaosimama masaa 24/7 X 52 na pombe inayotiririka kwenye mito ya ahera.

NB: Hao mabikra 72 hawaendi choo kubwa wala ndogo na wana macho kama mayai, huyo mama anawajua na hata yeye akiua kafir ataenda kuwa moja ya hao mabikra.
Imagine mtoa mada nae ni bikra mtarajiwa huko ahera 😂 Osama atajipigia knoma
 
Sema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.

Tatizo hawatabiriki,kuishi na watu kistaarabu hawawezi,wamezoea kuua watu.

This time wamekutana na wajomba wabishi wanalia lia tu,natamani wazayuni watembezee kichapo magaidi yote duniani.
Hao Waislam, unaelewa kuwa Uislam ndiyo ulioleta haki za binadam na haki za mateka duniani?

Mazayuni wamewapiga marufuku wote walioachiwa na Hamas kungea, jiulize kwanini?

Toka walipoachiwa wale wa wiki mbili za mwanzo walipoongea mazuri waliyoonyeshwa, sasa hivi mazayuni hawataki tena mateka wanaowachiwa waongee.
 
Ni mabikra 72 sio 70 na uume unaosimama masaa 24/7 X 52 na pombe inayotiririka kwenye mito ya ahera.

NB: Hao mabikra 72 hawaendi choo kubwa wala ndogo na wana macho kama mayai, huyo mama anawajua na hata yeye akiua kafir ataenda kuwa moja ya hao mabikra.
Hao mashujaa tunaanza kuwazadia hapahapa duniani chochote wanachotaka.
 
Back
Top Bottom