Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

Aliko Musa

Senior Member
Aug 25, 2018
156
240
Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo.

Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya kanuni hizi hatimaye zitakupa kiasi cha fedha ukitakacho.

Kanuni Na. 01.

Kutafuta Na Kutunza Wateja Tarajiwa (leads generation).

Kutafuta wateja tarajiwa ni hatua ya muhimu sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Wateja tarajiwa ni kundi la watu ambao wanaweza kugeuka kuwa wateja bora sana kwenye biashara yako.

Kanuni hii ni muhimu karibu kwa njia zote za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo. Utafutaji wa wateja tarajiwa unatakiwa kuendelea kufanyika bila kujali kiwango cha mauzo iliyofikia.

Mfano; Wewe ni muuzaji wa viwanja. Malengo ya mwaka 2024 ni kuuza viwanja 50 na kutengeneza faida halisi ya milioni kumi (10).

Lengo la kutengeneza milioni kumi (10) linaanza kufanyiwa kazi mwezi Disemba mwaka 2023. Unaiweka sawa timu yako na kuanza mapambano. Unafika mwezi wa tano mwisho, tayari umefikia lengo la kuuza viwanja 50 na kutengeneza faida halisi ya milioni kumi (10).

Huwezi kuacha kuendelea kutengeneza mkondo wa wateja tarajiwa. Unatakiwa kutumia sehemu ya faida halisi kuendelea kutengeneza wateja tarajiwa mpaka ushindwe kuwahudumia.

Ukipata kundi la wateja ambao utashindwa kabisa kuwapa huduma unazopangilia unaajiri mtu kwenye eneo la kuhudumia wateja tarajiwa ili waendelee kuwa karibu na wewe na huduma zako za kununua na kuuza viwanja.

Hii ni kanuni ya lazima kwa yeyote anayetaka KUJENGA UTAJIRI KUPITIA UWEKEZAJI KWENYE ARDHI NA MAJENGO. Kwenda kinyume tofauti na kanuni hii, haiwezekani kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.

Kanuni Na. 02.

Kununua Kiwanja, Shamba Au Jengo Kutoka Kwa Muuzaji Aliyehamasika Sana kuliko wengine.

Ni lazima utafute wauzaji 10 wa viwanja wenye hamasa. Njia ya uhakika ya kutengeneza fedha wakati wa kununua kiwanja au jengo ni kuweka shabaha kwenye hamasa ya wauzaji au muuzaji.

Hamasa ni muuzaji ndiyo chanzo kikuu cha mnunuzi kukutana na bahati ambayo itabadili kabisa hali yake ya kifedha. Ili uweze kumiliki majengo yenye kipato kikubwa sana kuliko majengo mengine ni lazima utafute wauzaji wenye hamasa kubwa.

Hamasa ni jumla ya changamoto zinazomsukuma muuzaji kuuza ardhi au jengo ndani ya siku kadhaa. Changamoto au hamasa hizo zinaweza kuwa ni kupata uhamisho wa kazi, kupata nafasi ya kusoma nchi za nje, kukosa ada ya masomo, kufiwa na mtu wa karibu, kushindwa usimamizi wa ardhi au jengo husika, uwekezaji wa nje ya mkoa (long-distance real estate investing), n.k.

Huwezi kuipuza kanuni hii ya kununua kutoka kwa wauzaji wenye hamasa kubwa. Hii inakuwa na maana ikiwa unahitaji kutengeneza utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Kanuni Na. 03.

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.

MUHIMU; Jiunge na kundi la whatsapp liitwalo TZ REAL ESTATE TEAM. Nitumie ujumbe usemao TRT ili kujiunga na kundi letu la whatsapp.

Whatsapp; +255 752 413 711
 
Ukweli sijaelewa kabisa.
 
Pole kwa hiyo chanagamoto,

Nimeeleza kanuni mbili tu.

Moja.

Ila ya kutengeneza wateja tarajiwa.

Mbili.

Kununua kiwanja au nyumba kutoka kwa muuzaji aliyehamasika.

Rudia tena kusoma vipengele hivi,

Kisha uliza sehemu unayotaka niongezee maelezo.

Karibu sana rafiki
Kiswahili mtihani....hasa namna ya kutengeneza wateja
 
Sawa,

Nimeelewa changamoto hii inapoanzia.

Nashukuru sana kwa hili rafiki yangu.
 
Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo.

Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya kanuni hizi hatimaye zitakupa kiasi cha fedha ukitakacho.

Kanuni Na. 01.

Kutafuta Na Kutunza Wateja Tarajiwa (leads generation).

Kutafuta wateja tarajiwa ni hatua ya muhimu sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Wateja tarajiwa ni kundi la watu ambao wanaweza kugeuka kuwa wateja bora sana kwenye biashara yako.

Kanuni hii ni muhimu karibu kwa njia zote za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo. Utafutaji wa wateja tarajiwa unatakiwa kuendelea kufanyika bila kujali kiwango cha mauzo iliyofikia.

Mfano; Wewe ni muuzaji wa viwanja. Malengo ya mwaka 2024 ni kuuza viwanja 50 na kutengeneza faida halisi ya milioni kumi (10).

Lengo la kutengeneza milioni kumi (10) linaanza kufanyiwa kazi mwezi Disemba mwaka 2023. Unaiweka sawa timu yako na kuanza mapambano. Unafika mwezi wa tano mwisho, tayari umefikia lengo la kuuza viwanja 50 na kutengeneza faida halisi ya milioni kumi (10).

Huwezi kuacha kuendelea kutengeneza mkondo wa wateja tarajiwa. Unatakiwa kutumia sehemu ya faida halisi kuendelea kutengeneza wateja tarajiwa mpaka ushindwe kuwahudumia.

Ukipata kundi la wateja ambao utashindwa kabisa kuwapa huduma unazopangilia unaajiri mtu kwenye eneo la kuhudumia wateja tarajiwa ili waendelee kuwa karibu na wewe na huduma zako za kununua na kuuza viwanja.

Hii ni kanuni ya lazima kwa yeyote anayetaka KUJENGA UTAJIRI KUPITIA UWEKEZAJI KWENYE ARDHI NA MAJENGO. Kwenda kinyume tofauti na kanuni hii, haiwezekani kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.

Kanuni Na. 02.

Kununua Kiwanja, Shamba Au Jengo Kutoka Kwa Muuzaji Aliyehamasika Sana kuliko wengine.

Ni lazima utafute wauzaji 10 wa viwanja wenye hamasa. Njia ya uhakika ya kutengeneza fedha wakati wa kununua kiwanja au jengo ni kuweka shabaha kwenye hamasa ya wauzaji au muuzaji.

Hamasa ni muuzaji ndiyo chanzo kikuu cha mnunuzi kukutana na bahati ambayo itabadili kabisa hali yake ya kifedha. Ili uweze kumiliki majengo yenye kipato kikubwa sana kuliko majengo mengine ni lazima utafute wauzaji wenye hamasa kubwa.

Hamasa ni jumla ya changamoto zinazomsukuma muuzaji kuuza ardhi au jengo ndani ya siku kadhaa. Changamoto au hamasa hizo zinaweza kuwa ni kupata uhamisho wa kazi, kupata nafasi ya kusoma nchi za nje, kukosa ada ya masomo, kufiwa na mtu wa karibu, kushindwa usimamizi wa ardhi au jengo husika, uwekezaji wa nje ya mkoa (long-distance real estate investing), n.k.

Huwezi kuipuza kanuni hii ya kununua kutoka kwa wauzaji wenye hamasa kubwa. Hii inakuwa na maana ikiwa unahitaji kutengeneza utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Kanuni Na. 03.

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.

MUHIMU; Jiunge na kundi la whatsapp liitwalo TZ REAL ESTATE TEAM. Nitumie ujumbe usemao TRT ili kujiunga na kundi letu la whatsapp.

Whatsapp; +255 752 413 711

Bado 48 mkuu, shusha madini mkuu.
 
Back
Top Bottom