viwanja

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja, Dar es Salaam

    Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja. i. Sehemu: Makuburi, Mabibo. Dar es Salaan. ii. Ukubwa: 1780 sqm iii. Vina hati. iv. Bei 120m Ni hivi vyenye vidoti vya kijani. Mawasiliano: 0743-398408
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

    Habari wana ndugu Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi. Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  6. mmewadadako

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  7. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya ndege za NATO vyalipuliwa na kuchakazwa vibaya

    🚨Update: Russia has destroyed every Ukrainian airfield and air base capable of hosting NATO jet fighters. NATO said they will operate their ‘Ukrainian’ deployed fighter jets out of Poland and Romania. None will be stationed or flying off of a Ukrainian base!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

    MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO. Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa. Huwa mnaamini kwamba ukinunua...
  9. Kv-london

    JamiiForums Tanzania PITIA HAPA:Mliowahi kununua viwanja au mashamba kutoka Kwa Hawa wamiliki wa Real estate agents

    Habar zenu wapendwa Kuna kiela changu nimekipata Mahali nataka kununua ka plot Kwa ajili ya investment for my kids for their feture Sasa kwenye mitandao naona Kuna Hawa real estate agents wengi Sana nashidwa kuelewa jinsi wanavyo fanya kazi na usahihi wao jinsi ya Kupata hati baada ya...
  10. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia"

    Wanaukumbi. BREAKING: 🇱🇧🇨🇾🇮🇱 Kiongozi wa Hezbollah Nasrallah: "Ikiwa Cyprus itafungua viwanja vyake vya ndege kwa ndege za kivita za Israeli, tutashambulia Cyprus pia" Sehemu muhimu zaidi za hotuba yake ya leo: - Tuna intel kwamba Jeshi la Anga la Israeli linafanya mazoezi huko Kupro...
  11. 3

    JamiiForums Tanzania Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kuanza kuchunguza Mifumo Viwanja vya Ndege

    Serikali imeanza Uchunguzi Maalumu wa kubaini mapungufu mbalimbali katika Viwanja vyote vya Ndege nchini ili kubaini changamoto hizo na kuweza kuzifanyia kazi ikiwemo Mapungufu ya Kimfumo, Utendaji na Upungufu wa Miundombinu ili kuweza kuboresha sehemu husika. Lengo ikiwa kurahisisha uingiaji...
  13. Travis Kitengo

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo ⚽

    Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi. Najutia sana
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja, viwanja.....

    Viwanja vinapatikana kama ramani hii inavyoonyesha. Kama unavyoona, ni viwanja vichache tu. Bei ni shs 40,000 kwa Square metre. Kwa mawasiliano zaidi piga/sms number 0678-868860.
  16. micind

    JamiiForums Tanzania Bei za viwanja Singida Manispaa

    Habari zenu wadau wa ujenzi. Kama title inavyojielezea. Nahitaji kujenga hapa Singida mjini na mimi sio mwenyeji sana, naomba kuuliza kwa wakazi wa Singida bei za viwanja hapa Manispaa kwa wastani ni sh ngapi? Na pia ni maeneo Gani mazuri zaidi kwa kuweka makazi. Nitashukuru sana nikipata...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

    Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi inawaza uchawi haina hata viwanja 10 vya mpira. Ina weakness nyingi. Mwenyekiti anawaza uchawi

    tanzania ina watu wa ajabu sana . Yani ana matatizo kibao anawaza uchawi . List ya matatizo bodi ya ligi 1. Viwanja 2. Majukwaa 3. Wafadhili 4. 4k or hd coverage 5. App 6. Media coverage ya team zote 7. Match fixing 8.referees 9. Utilities. 10. Technology (var ) 11. Laws on foreign players...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Maonesho sekta ya ujenzi, viwanja vya Bunge Dodoma

    Maonesho sekta ya ujenzi - viwanja vya Bunge Dodoma. TAREHE: 27 - 28 MEI, 2024.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Festo Sanga: Tutumie fedha za Migodi kujenga na kuboresha viwanja

    Akichangia Hotuba ya Bunge la Bajeti ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, leo Mei 23, 2024, Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameishauri Serikali kutumia fedha zinazotolewa na kampuni zinazojihusisha na uchimbaji migodi Nchini kwa ajili ya maendeleo ya jamii kutumika kujenga na kuboresha...
Back
Top Bottom