vituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Tusubiri vituko teuzi za maDC na maDED

    Mama kaahidi kuwa katika teuzi zake atateua wanawake na wanaume 50/50. Suala sio wanawake au wanaume kuteuliwa. Suala ni hao wanawake anaolazimisha awateue wana uwezo? Tumeshuhudia vituko vingi kutoka kwa wabunge wa viti maalum. Wengine wamepewa hadi unaibu Waziri ila hata kusoma majibu...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa vituko vile vya Onyango naamini Orlando Pirates hamtomchukua tena

    Dk. Khumalo ameua kabisa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini amesema kwa vituko vile alivyoviona kutoka kwa Onyango anaaminiii Orlando Pirates wamebadilisha mawazo yao kumsajili Huwezi kuwa na mchezaji kama yule Ligi ya Afrika Kusini hii. Hata hivyo ameonya Kaizer Chiefs...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania MME: Kama haufungui najitupia kwenye kisima bora nife

    NANI JEMBE; Nyumbani kwa mlevi, kwa nje kuna kisima kirefu Siku moja Mume alirudi usiku amelewa top, Mambo yakawa hivi: MME: Fungua mlango MKE: Leo sifungui Nimechoshwa na ulevi wako MME: Kama haufungui najitupia kwenye kisima bora nife MKE: Kufa hauna faida yoyote kwangu MME: akachukua jiwe...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mataga wana vituko sana

  5. S

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vituko vya kisiasa vya 2020

    Mimi nitawapatia vituko vitatu tu. Mosi, kuna waziri mkuu wa taifa fulani alijivika umasihi eti kaliponya taifa lake dhidi ya korona. Akaitumia hii kama kiki kujipa umaarufu wa kisiasa ktk nchi ile. Uchaguzi ulipofika wananchi hawakumwelewa. Alikuwa hoi sana kisiasa. Akapiga magoti ktk state...
  6. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki. Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msiopanda 'DalaDala' mnakosa Uhondo, Vituko na Maajabu makubwa ya Kuzijua vyema zilivyo Akili 'Tata' za Waswahili Wenzetu

    Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha Joto Kali jijini Dar es Salaam ) anaamua Kuhama hapo ili kulikwepa hilo Jua na kwenda Kukaa katika Siti...
  8. Santieli

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga na adha zake

    Wakuu walahi mtu unaweza tamani upate walau pesa ya shortcut ili uweze kununua au kujenga banda lako mwenyewe ka kujiegesha ili kuepukana na changamoto za nyumba za kupanga Mafano Mimi nimepanga nyumba moja hivi, gharama yake kwa mwezi sio kubwa ni kawaida. Nikaamua niwe muungwana nikamwambia...
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuwaogope wabunge watakaofanya vituko ili wateuliwe kwenye uwaziri

    Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane. Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo

    Karibu Spika Ndugai amesoma Katiba kuelezea namna Waziri Mkuu anavyopatikana. Chanzo: ITV ======== Mpambe wa Rais tayari kawasili kwenye ukumbi wa bunge akisindikizwa na askari wa bunge akiwa amebeba bahasha yenye jina la waziri mkuu ajae. Baada ya spika Ndugai kuipokea amempa kazi katibu wa...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe vituko vya Donald Trump

    Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
  12. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Buberwa Kaiza: Vituko na makosa kwenye kampeni za uchaguzi jana Jumatatu 7/9/2020

    Vituko na Makosa kwenye kampeini za Uchaguzi jana Jumatatu 7/9/2020 Kituko: Jana Jumatatu, Septemba 7, maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), walikuwa wanatembelea baadhi ya NGOs ambazo NEC ilizipatia vibali vya kutoa elimu ya mpiga kura, kutathmini jinsi NGOs hizo zinavyotekeleza majukumu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vituko vya kwenye daladala

    Kama wewe ni mtumiaji wa usafiri wa daladala, pasipo na shaka umewahi kukutana na vituko kadha wa kadha vya baadhi ya abiria, makondakta au madereva. Embu kila mtu aweke vituko alivyowahi kuvishuhudia. mimi vyangu ni hivi vifuatavyo. 1. Mimi niliwahi shuhudia kondakta akilumbana na mama mmoja...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi. Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  16. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Je, Kampeni Meneja wa huyu si kila mara atakuwa anacheka tu kwa Vituko vya Uchekeshaji alivyobarikiwa navyo Boss wake?

    Mchekeshaji Kingwendu amesema leo Julai 6, anarudisha fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilala, na tayari amepata wadhamini wa kumsaidia kwenye kampeni zake na hataweza kufilisika, kuuza nyumba au gari kama ilivyomtokea mwaka 2015 kwenye shughuli za kuendesha kampeni DarMpya Kwangu Mimi...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nakutana na vituko kazini ila kwa hiki cha jana ngoja niseme tu

    Huwa sipendi sana kuzungumzia kazi zangu flani flani. Ila kwa jambo la jana ngoja niseme upande mmoja wa kazi yangu. Pamoja na issues zangu nying mimi ni daktari Hosp moja kubwa hapa DSM huwa nina siku maalum kwa kazi maalum. Jana aliletwa dada mmoja mzuri kama mwarabu hivi ila ana uzungu uzungu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe kila ukikaribia uchaguzi mkuu anaanza vituko? 2010 alimlazimisha Dkt. Slaa agombee urais 2015 akamleta Lowassa na sasa....!

    Ni jambo la kushangaza lakini siyo la kulidharau. Uchaguzi mkuu 2010 Mbowe alimlazimisha Dr Slaa agombee ubunge huku akijua wazi Slaa ana uhakika wa 99% kushinda ubunge wa karatu na 1% kushinda urais. Mwaka 2015 Wakati Dr Slaa ameshajiimarisha kwenye kinyang'anyiro cha urais kupitia UKAWA...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda njoo Majohe uone vituko

    Majohe iko Ilala Gongo la Mboto DSM. Kuna mkandarasi aliyepewa kutengeneza barabara ya Kampala - Majohe ambaye Sina uhakika Kama unapata taarifa ya ujenzi wa barabara hiyo. Huyu mkandarasi anawachonganisha wanachi na serikali yao huna budi kuja kumsikiliza shida yake. Kusema ukweli anakutia...
  20. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Inashangaza pale ambapo watu wanaifurahia Corona badala ya kuiogopa

    Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba; wakati mwingine unaweza kukubaliana na wanaosema kuwa Waafrika hatujielewi. Ukijitoa ufahamu unaweza kusema Waafrika hatuna woga,... labda. Lakini wakati mwingine unabaki mdomo wazi tu, hujui useme nini juu ya vituko vinavyofanywa na sisi... Waafrika, kama hiki:
Back
Top Bottom