vituko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania shule vituko

    Tukiwa shule ya msingi watoto walikua wanabeba vinywaji wanaweka kwa dirisha .Ikifika wakati wa chai watoto wananywa vinywaji hivo. Kijana mmoja mtundu akaweka mkojo ndani ya chupa akawacha dirishani .Ulikaa pale mda wa wiki mbili ikaanza kutoa harufu ikatupwa
  2. vnn

    JamiiForums Tanzania Hii nchi haiishiwi vituko, Kumbe watu wana hela za kuchezea

    wakati mimi nalalamika bei ya mafuta ya kula kufikia 7500 kwa lita kumbe kuna watu wanachezea hela namna hii, hawa naona wameamua kuanzisha derby Hakika tumerudi zama za mbuzi kunyweshwa bia
  3. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nchi haishi vituko hii: Raul Ganzalez kutua Azam fc

    | Nahodha wa zamani wa Real Madrid na mshambuliaji bora wa zamani wa Madrid Raúl González Blanco 🇪🇸 ni miongoni mwa makocha waliotuma maombi ya kuinoa Azam FC 🇹🇿. ===== Former Real Madrid captain and Madrid's best ever forward Raúl González Blanco 🇪🇸 are among the top coaches who have applied...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  5. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania vituko vya viongozi wa Africa katika picha

    picha ya kwanza ni waziri wa fedha wa zimbabwe akizindua dampo na picha ya pili ni viongozi wa serikali huko Namibia wakiwa kwenye mkutano ambapo ndani ya ukumbi walifuata taratibu za kujikinga na covid ila badae walitoka nje na kupiga picha ya pamoja
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania US ni vituko tupu

    Tunasikitika ubalozi wetu wa Tanzania US unejaa wafanyakazi wasiojua wanachofanya. Ili watu waelewe hili nimewapa barua mbili hapa. Barua yenye kumbukumbu namba moja imetumwa kwenye miji miwili tofauti. Ukipiga simu wanasema Dallas eti hawaendi. Cha kushangaza vilevile pamoja na viongozi wa...
  7. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ila ninyi Masai wana vituko jamani

    Juzi kati nikiwa kwa fundi msafisha viatu pale Kibaha Maili moja nikiwa sina hili wala lile ghafla nilishuhudia kituko cha karne hahahahaha! Ipo hivi mama wa kimasai wale wanaouza dawa za miti shamba ilionekana akitaka kumuita kwa jina lake jamaa mmoja aliyekuwa na wajihi wa ki Ustaadh. Sasa...
  8. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Vituko vya makanisa ya Dar. Jionee mwenyewe

  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya itafutiwe Waziri mwingine

    Nimeona mtandaoni namna ambavyo Waziri wa Afya ndugu Dorothy Gwajima alipokua anajibu hoja za Askofu Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima na mbunge wa Kawe. Zaidi ya mipasho hakukua na majibu ya moja kwa moja ya kuwashawishi wananchi wakapatiwe chanjo ya UVIKO_19. Kwamaelezo ya waziri...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania zimejaa vituko

    Nimecheki hili bango nimeishia kucheka ingawa jambo lenyewe ni zito .
  12. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

    Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea? Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
  13. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Vituko walivyofanya Yanga msimu wa 2020/21

    Yanga Sc wanao julikana kama timu ya wananchi hasa pale wanapo kua hawako sawa kiuchumi kakini hua wa kimataifa mambo yanapo kua byeeeee..!! Mashabiki wanachama na viongozi wa clabu hii yenye makazi yake eneo lisilo kauka maji na vyura wengi la Jangwani jijini Dar es salaam wamekua watu wasio...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wachaga wakwe zangu poleni, ilikuwa wiki yenu kwa vituko!

    Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga! (sisemi nimeoa mchaga yupi) Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!! Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli. Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Mwadui: Musa Mbisa yuko golini tutarajie vituko na mauzauza leo

    Keeper la zamani la yanga under 20 ama kwa hakika ni mchezaji ambaye kajiwekea historia mbovu kwa goli la ajabu alilohakikisha linaingia golini. Huyu hastahili tena kuonekana ligi kuu aende huko daraja la kwanza na apotelee kabisa atokomee. Leo usiku yuko golini vs yanga natarajia mauzauza...
  17. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?

    Hebu kila mtu aangalie picha hii hapa chini kisha atoe maoni yake bila hila wala inda. Huu ni uchekeshaji ama udhalilishaji?? UPDATES: Kupitia comments zenu nimegundua kuwa watu wanachanganya vituko vya mvuta bangi na uchekeshaji.
  19. Baba Swalehe

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

    .
  20. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

    Wakuu, ni dhahiri kuwa kuna makanisa yanaibuka sasa kama uyoga. Sioni shida kuibuka kwa makanisa kila kukicha, kwasababu hata baa mpya zinaibuka kila siku. Pamoja na yote, haya makanisa kuna baadhi yana vituko sana, yaani Mtumishi anaweza kuwa Mtume, Nabii au Mchungaji lakini mambo wanayofanya...
Back
Top Bottom