Tuwaogope wabunge watakaofanya vituko ili wateuliwe kwenye uwaziri

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane.
Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu waziri n.k ni muadilifu haswa na mwenye mrengo wa kuongoza taifa katika kujitegemea na sio kutegemea wahisani waliokuja kuchuma fedha.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Hahaha hata nyie mmeanza kuwaogopa COVID-19?!

Nasikia rais hana imani na ccm tena anasubiri COVID-19 aangalie vichwa.

Baraza la mawaziri kwa sasa lina watu watatu tu ndio hana wasiwasi nao.
 
Hahaha hata nyie mmeanza kuwaogopa COVID-19?!

Nasikia rais hana imani na ccm tena anasubiri COVID-19 aangalie vichwa.

Baraza la mawaziri kwa sasa lina watu watatu tu ndio hana wasiwasi nao.
Siku zote tumesimama kwa ajili ya mama Tanzania
 
Upuuzi mtupu, full makamera ili kumfurahisha mkubwa!
nahisi strategy yao itafanya kazi sbabu toka 2015 hayo ndo mambo yanayohitajika hujaona hata zenji mr mwinyi alifanya ziara za kustukiza kukiwa na kamera za kutosha ,yaani yule dc wa Iringa anavyojua kucheza na kamera au mzee wa toronto wasipokula uwaziri babada ya kuteuliwa viti maalumu vya manjemba nitashangaa sana aisee maana ni mabingwa wa kamera
 
Tunapoenda kuunda Timu ya Serikali yenye muelekeo wa uhuru kamili na kujitegemea tunatakiwa kuwaogopa sana wabunge wasanii wenye mbinu za kujipitisha,kujionesha na kufanya vibweka ili waonekane.
Wito ni kwa all government organs and machineries kuhakikisha anayepenya kwenye uwaziri au unaibu waziri n.k ni muadilifu haswa na mwenye mrengo wa kuongoza taifa katika kujitegemea na sio kutegemea wahisani waliokuja kuchuma fedha.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Pesa ya kununua ARV tu hatuna halafu mnaleta ngonjera zenu za kipumbavu.

Mwambieni hizi siasa zake zitatuumiza wananchi wa kawaida tu maana yeye na watu wake hawana shida watatukamua ili waendelee kuishi vizuri. Hizi siasa za Jiwe kama zingekuwa na manufaa kwa taifa basi Zimbabwe ya Mugabe ingekuwa mbali, Mwalimu Nyerere mwenyewe zilimshinda akamuachia Mwinyi abadilishe upepo.

Hizi ni sawa akili za watoto/vijina wanaotukana walezi wao kabla hawajaweza kujitegemea mwisho wanaishia kuwa machokoraaa.
 
Back
Top Bottom