Nimeshawahi kulogwa ila kuna vitabu nikisoma najihisi kuwa sijarogwa ila ni akili pandikizi, waswahili wenzangu mnasemaje?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k

nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya uchawi yalinifunga nilihisi kila jambo linalotokea kuwa nimerogwa hii hali ilichagizwa na kupita kwa karumanzila kama 6 toka nikiwa chuo mpaka kumaliza kwangu na hasa baada ya kumaliza nilipokuwa nyumbani tu.

Baadae niliamua kupitia vitabu vya wenzetu labda kujua nafeli wapi kuhusu akili na dunia,nimekuja kugundua kuwa sijarogwa ila ni akili unavyoifanya ndivyo inavyojiendesha-power of subconscious mind attract negative and positive it is like magnatic.
 
Nani alikuloga na kwa sababu zipi??
 
Naweza kusema kiasi upo sahihi ila pia issue za uchawi na kurogana si katika changamoto za wenzetu wazungu hivyo mitazamo inatofautiana.
 
366 meditation on wisdom- stoicism, law of universal n.k

nimejaribu kusoma baadhi ya vitabu lengo ni kuongeza maarifa zaidi kwenye nature law na kujua kwa undani kuhusu akili inafanyaje kazi na vipi naweza kuisaidia jamii yangu kupitia elimu yangu ila by then I was dumb na haswa kuhusu mambo ya uchawi yalinifunga nilihisi kila jambo linalotokea kuwa nimerogwa hii hali ilichagizwa na kupita kwa karumanzila kama 6 toka nikiwa chuo mpaka kumaliza kwangu na hasa baada ya kumaliza nilipokuwa nyumbani tu.

Baadae niliamua kupitia vitabu vya wenzetu labda kujua nafeli wapi kuhusu akili na dunia,nimekuja kugundua kuwa sijarogwa ila ni akili unavyoifanya ndivyo inavyojiendesha-power of subconscious mind attract negative and positive it is like magnatic.
Ili mtu akuroge lazima atumie nguvu yako wewe mwenyewe ulierogwa.......... Wanashambulia sana ufahamu maana huko ndo kompyuta ya kila kitu
 
Back
Top Bottom