vitabu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Vitabu vya shule Darasa la kwanza,la pili,1977

    Huyu ni Baba,Baba ana Ng'ombe, Ng'ombe wake ni Mweusi! Baba anasema, kimbia ng'ombe,kimbia upesi. Baba ana Njaa. Bado vipo wakuu?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sweden imetenga Euro 109 milioni ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni

    Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu shuleni. Wamegundua kuwa matumizi ya computer kama mbadala wa vitabu unawacosha wa toto na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  4. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Muongozo: Wapi naweza kuprint vitabu vyangu?

    Wakuu heshima kwenu. Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali. Nahitaji wachapishaji wazuri wenye gharama wezeshi(affordable) na wenye kukamilisha kazi kwa...
  5. Bueno

    JamiiForums Tanzania Je, kuna filamu nyingine kama hii unaijua!? Kwenye vitabu je?

    Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari kwenye ndege siku ya mkesha wa Krismasi. Fikiria unatazama filamu, iwe peke yako na familia au...
  6. mshipa

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya vitabu vya MEP na TIE

    Habari za asubuhi wanajukwaa, Naomba kujua tofauti ya vitabu tajwa hapo juu maana naona kuna shule hasa hizi za English Medium zinatumia vitabu vya MEP kufundishia na zingine zinatumia vitabu vya TIE kufundishia. Kwa mfano mwanangu alikuwa anasoma shule flani (ameshamaliza)na walikuwa...
  7. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Hii si tulidanganywa na vitabu hasa wale wa dini ya haki

    Ok mm hapa ni mzigua sasa kuna kitambu kinaniambia ety nikifa mungu atanihojii kiarabu kwaiyoo huyoo mungu hajuii kama mm sijuii kiarabu na huyoo mungu kweli atakuwa yuko sawa akamuhoji mtuu na lugha amabayoo sio yake mnajuaa dini hii ikojeee
  8. Tumaini Makene

    JamiiForums Tanzania The-Book-I-Read, 2024, Kitabu nilichosoma

    The – book – I – Read, 2024 Ni wakati mwingine tena wa mwisho wa mwaka, tunapoelekea kuhitimisha mwaka 2024, na kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, tukimaanisha ‘For the Sake of Old (good) Days,’ ikiwa ni ishara ya kuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine (au kusheherekea...
  9. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    vitabu vifuatavyo, wengine wanaita kanuni ya pili, wengine wanaviita apokrifa, nivitabu ambavyo unaweza kuvisoma tu kama kujifunza kitu fulani ambacho kinaweza kuwa kweli au sio kweli. kwa nini, kwa sababu huwezi kujifunza huko imani ya Yesu Kristo ambayo inatokana na uvuvio wa Roho Mtakatifu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
  11. Slim5

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vitabu

    Nisiadie kunijulisha wapi ntavipata vitabu hivi!
  12. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Afya ya Akili kwa Wanaume Tanzania: Tunazungumza vya Kutosha?

    Habari ndugu zangu, Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa "imara" na kutokutoa hisia zao waziwazi. Hili linaweza kusababisha changamoto kubwa za afya ya akili...
  13. hamis77

    JamiiForums Tanzania Vijue Vitabu vilivyotafsiriwa katika Lugha nyingi Duniani

    1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi zaidi kuliko kitabu chochote duniani. --- 2. Qur'an Idadi ya Lugha: Takriban 200. Maelezo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Wiki moja baada ya agizo la RC Kilimanjaro: Wizi wa Vitabu vya Majina ya Wakazi, Polisi mmefikia wapi?

    Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba yapokea Vitabu Kutoka Songea, Ujerumani na Marekani

    Nawashukuru ndugu zangu kupita kiasi. Kila siku wananikumbuka na kuniletea vitabu ama wavitume au kuja wenyewe maktaba kwa miguu yao. Abdulaziz Ali Khamis yeye anatoka Mombasa. Mara kwa mara huja nitembelea Maktaba. Safari hii alikuja Tanzania akafika hadi Songea kutembelea Makumbusho ya Vita...
  17. Drat

    JamiiForums Tanzania WACHAPISHAJI WA VITABU

    Natumaini wote mnaendelea vizuri? Kwa heshima na taadhima naombeni kama kuna mwandishi au mchapishaji anisaidie kupata mchapishaji wa vitabu kwa bei nafuu,yaani anipe mapendekezo ya wachapishaji kadhaa ambao ni very affordable. Lengo ni kutoa vitabu vyangu viwili nikiwa huru, yaani nitauza...
  18. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Natafuta vitabu hivi

    Habari, Ninaomba mtu mwenye hivi vitabu aweke hapa kwenye uzi huu. Nitashukuru sana. NB Nilishapost sana kwenye zile threads za vitabu lakini watu hawaoni hivo sikufanikiwa kuvipata ndio kusudi la kufungua uzi huu. Majina kwa kingereza 1. Thus the bell rings kaandika Honore ngbanda 2. Inside...
  19. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba

    Yeeeerrrrreeeeh! Niliacha kusoma vitabu nilipofikisha miaka saba na sitasoma tena kitabu chochote hadi nife. Siwezi kusoma vitu vilivyoandikwa na wanaume wengine. Huo ni udhaifu. Yani dume zima unasoma vitu na mawazo yalioandikwa na wanaume wengine that is not right, fundamentally wrong and...
Back
Top Bottom