viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Zambia hawakuua kiwanda chao cha kusafisha mafuta cha Indeni Petroleum Refinery

    Naomba nianze kwa kutoa historia fupi ya kiwanda hiki cha kusafisha mafuta Zambia. Alafu mwishoni watu mtatoa maoni kwanini viongozi wa nchi hii hawakuua kiwanda hicho na kwanini chetu kilikufa. The Indeni Petroleum Refinery is an oil refinery in Zambia's industrial city of Ndola. The...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siyo vibaya viongozi wa dini kuwa wanasiasa

    Rais Samia ameyasema hayo leo Alhamisi Julai 8, 2021 Mjini Morogoro wakati akifungua mkutano Mkuu wa 31 wa Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) aliposema wakati mwingine dini na siasa vinaenda sambamba. Amesema licha ya kuwa unaweza kutumikia dini na kuwa mwanasiasa, lakini vibaya unapotumia...
  3. Faana

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kweli Macho Yao Hunena

    Hata bila darubini wanaonekana wapo kwaajili ya watu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

    BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki. Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5. Kisa kuepusha taharuki. Akifa hutangazwa, nini maana yake?
  5. Gepard

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Kama uzi unavyojieleza. Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa. Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa linahita toba kuwanusuru viongozi waandamizi kutwaliwa?

    Kiimani yapo mapigo umfanya mwanadamu kuhojiana na Muumba kuhusu tafsiri ya kile kinachotokea. Kwenye bibla tunasoma miaka Saba ya njaa na Saba ya shibe, tunasoma kuuwawa kwa watoto wote wa kiume kwa amri ya mfalme na tunasoma namna machukizo ya wanna wa Israeli yalivyo wapa mapigo safarini...
  7. Leak

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Hatutompa muda Rais na hatukubali. Viongozi wa CHADEMA watakiwa kujiandaa kuanza mikutano nchi nzima

    Baada ya Rais kusema kuwa anataka apewe muda ili ajenge uchumi kwanza na mambo ya katiba na mikutano ya hadahara itafata baadae. Mh Mbowe leo amesema wazi kuwa hawatompa muda Rais samia na hawatakubali bali watafanya mikutano ya hadhara na watadai katiba kwa njia yeyote ile inayofaa na...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Jinsi viongozi wanavyotupiana katiba mpya kama kaa la moto

    Katiba mpya ni kama kaa la moto, haishikiki kila Rais aliyepita anamrushia mwenzake, nani atakubali kuleta katiba mpya ?
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Simalenga awasimamisha kazi viongozi wa vijiji tuhuma za wizi Songwe

    Mkuu wa wilaya ya Songwe Simon Simalenga amewasimamisha kazi viongozi wote wa kijiji cha Saza ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za wizi wa makinikia ya dhahabu, utawala wa mabavu na kuminya uhuru wa wananchi kujieleza, malalamiko yaliyoibuliwa na wananchi kupitia vituo vya ITV/Radio One...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache hii tabia ya kuwasifia viongozi kupitiliza, tunawaharibu

    Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi? Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu. Tumejifunza kwa mwendazake na sasa tumehamia kwa mama. Baada ya siku 100 madarakani zimeimbwa ngonjera...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kinga ya kutoshitakiwa kwa viongozi wa mihimili nchini ni wizi na uhujumu uchumi

    Ni sheria gani inamtaka mtumishi/mwanasiasa awe na kinga yakutoshitakiwa? Kwa Siku 100 kuna mambo mengi yanajidhihirisha kikiuka sheria kwa kigezo cha kinga. Kama kodi nyingi zinatumika kulisha mahabusu na wafungwa wengi wasio na hatia lipo tatizo kubwa kama nchi kuanza kufundisha elimu ya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa viongozi wetu: Msisahau kuwaomba Viongozi wa Dini na Watanzania kwa ujumla kumwomba Mungu aendelee kuiponya nchi yetu dhidi ya Corona

    Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu wa wakati huo alikuwa anaitisha maombi na kuhamasisha watu kumwomba na kumtanguliza Mungu mbele...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

    Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala. Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbowe na CHADEMA ni jiko zuri la Viongozi, wengi wateuliwa

    Watoto Wa Freeman Mbowe Kisiasa! David Kafulila, RC Mwita Waitara, N/Waziri Joshua Nassari, DC Fakii Lulandala, DC Albert Msando, DC David Silinde, N/Waziri, Vincent Mashinji, DC Mwambe, MB P. Gekuli, N/Waziri Shonza, MB Katambi, N/Waziri LijuaLikali, DC Kitila Mkumbo /Waziri Nadhani ni sahihi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wapewe semina elekezi watambue umuhimu wa viapo vyao

    Kati ya matatizo tunayoyaona leo kwa wateule wanaopewa nafasi za uongozi nchini mwetu ni kushidwa kuelewa majukumu ya kazi zao mpya, maadili na nini maana ya viapo vyao kabla ya kuingia ofisini. Kiongozi yeyote anapoapa atambue hiyo nafasi si yake tena, bali hiyo ni nafasi ya Mwenyezi Mungu...
  17. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Makundi ya mziki na viongozi

    Tuanze 1.EAST COAST Wametoa mbunge FA 2. Hard blasters Walitoa mbunge Prof Jay 3.weusi Wametoa DC Nick wapili 4. Daz nundaz Wametoa mateja mnawajua 5.Tmk Wametoa diwani mkubwa fela 6. WCB Wametoa mbunge Babu tale 7. Tip top connection Wametoa mapunda mnawajua Ebu endelea wewe hapo
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania wananchi tunawaogopa viongozi badala ya Sheria? Je, viongozi hawawaheshimu waajiri wao ambao ni wananchi?

    Nimekuwa nikijiuliza mawaswali mengi pamoja na hayo ya utanguzi. Je, hii inatokana na Katiba mbovu? Au wananchi hatuzijui haki zetu ndani ya Katiba? Viongozi Wana kiburi Cha madaraka? Maana tunatofauti na majirani zetu hata waganda wanatuidi japokuwa mu7 ana watawala kwa mkono was chuma...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Viongozi waliopigania Uhuru wa Afrika, wapumzike kwa amani

    Ninaona Samora Matchel alimuiga Fidel Castro kuanzia mavazi. Dhamira yake ilikua kuifanya Msumbiji kuwa kama Cuba.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEUZI: Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya. Nassari, Dkt. Mashinji, Lijualikali, Msando, Nikki wa Pili ndani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo ameachia mkeka wa Wakuu wa Wilaya mbalimbali uliosheheni vijana. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya wapya ni pamoja na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji, pia yupo Joshua Nassari na Wakili Albert Msando. Wengine ni Mwenyekiti wa UVCCM Kherry James...
Back
Top Bottom