Kwanini viongozi wa Zambia hawakuua kiwanda chao cha kusafisha mafuta cha Indeni Petroleum Refinery

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,228
Naomba nianze kwa kutoa historia fupi ya kiwanda hiki cha kusafisha mafuta Zambia. Alafu mwishoni watu mtatoa maoni kwanini viongozi wa nchi hii hawakuua kiwanda hicho na kwanini chetu kilikufa.

The Indeni Petroleum Refinery is an oil refinery in Zambia's industrial city of Ndola.

The petroleum refinery is described in some publications as a "very small and simple refinery". It was constructed in 1973, with capacity to refine 24,000 bbl/d of crude oil, and process 1,200,000 tonnes (1,322,774 tons) of feedstock annually. Crude oil is imported via the Kurasini Oil Jetty in Dar es Salaam, Tanzania and is delivered to the refinery through the 1,704 kilometres (1,059 mi) Tazama Pipeline. The annual delivery capacity of the pipeline is also the annual processing capacity of the refinery.

The Indeni Refinery is configured as a Hydro-skimming refinery. Designed in 1973, the refinery is not able to refine pure crude at commercial levels and processes spiked crude.[5]

The refinery is able to produce the following products:
(a) Unleaded petrol
(b) Automotive gas oil
(c) Industrial kerosene
(d) Domestic kerosene
(e) Jet fuel
(f) Liquefied Petroleum Gas
(g) Reformate
(h) Fuel oil and
(i) Asphalt

When the refinery was established in 1973, it was owned and managed by Indeni Petroleum Refinery Company Limited, a 50/50 joint venture between the government of Zambia and Eni, the Italian energy conglomerate, through their subsidiary Agip Zambia. Under the terms of the joint venture, Eni was responsible for the management of the refinery. In 2001, Eni sold their shareholding to Total S.A., through their subsidiary TotalFinaElf. Total took over management of the refinery. In 2009, Total S.A. sold their shareholding to the Zambian government for consideration of US$5.5 million.

Since then, there have been attempts to bring on-board a strategic partner with funding and expertise to upgrade, modernize and expand the refinery.

In 2017, the World Bank stated that the Indeni Petroleum Refinery was "inefficient and technologically unsuited for current fuel needs". Its capacity is too small. It does not produce refinement products that larger, more efficient refineries can. For the amount of resources expended to keep it running, the government can do better towards meeting their national petroleum objectives.

In order to meet increasing petroleum products demand both nationally and regionally, there are two choices (a) build a new modern refinery that meets current and future national and regional needs or (b) expand and modernize the present refinery to improve its efficiency and output. Building a new refinery is ruled out by its cost. Rehabilitation, expansion and modernization has been estimated at about US$500 million. As the government considers its options, the capacity at the refinery has dropped to 21,000 bbl/day. The last hope is to find a deep-pocket investor who can buy a stake in the present refinery and modernize it.

Hiyo ni historia fupi ya kiwanda hicho. Sasa turudi kwenye mada, ni kwanini viongozi wa Zambia hawakuua kiwanda hicho, na kwanini kiwanda chetu cha TIPER cha kusafisha mafuta kilikufa?.
 
Zambia walikuwa na akili sana.

Hawakutaka kuchanganywa na miluzi ya IMF na World Bank.

Walikuwa na akili, narudia.

Rais wakati huo alikuwa Ali Hassan Mwinyi, na alikubali kila ushauri mradi unatoka kwa wanaotaka kumkopesha.

Kuua TIPER Kigamboni kwa leo twaweza kusema ilikuwa uhujumu uchumi.

PETROLEUM ikiwa distilled unapata by products nyingi sana kama
  • Kerosene, mafuta ta taa
  • Petrol
  • Diesel
  • Wax
  • Grease na lubricants
  • Vaseline
Bitumen products (lami za barabara)

Kwa kuua kiwanda cha TIPER, hata ujenzi wa mabarabara ulihujumiwa.
 
Kusema ukweli ktk kitu kinatuponza ni kutokuwa na sera ya nchi wala mipangilio ya muda mfupi au yamuda mrefu, mf tu kila Waziri wa Elimu anaekuja anakuja na mipango yake akiamini ndio bora kuliko ya yule aliyepita hicho ni kimoja wapo kinachotufanya kushindwa kuyalinda baadhi ya mashirika ya uma TPDC.

Nakumbuka sana tulipo kuwa tunachimba Gas na hizi kampuni za nnje Serekali ilikuwa inaleta mtu pale toka TPDC lakini nhakuwa na impacts yoyote maana alikuwa anasainishwa tu basi kazi inaendelea.
 
Kwa upande mwingine mimi naona ni bora na faida zaidi kwa wananchi kuliko hayo mafuta ghafi yakisafishwa nchini.

Bidhaa zinazalishwa katika viwanda vyetu vya ndani gharama yake inakua juu sana kuliko bidhaa tunazonunua nje, mfano sukari, cement, mafuta n.k
 
Kwa upande mwingine mimi naona ni bora na faida zaidi kwa wananchi kuliko hayo mafuta ghafi yakisafishwa nchini.
Bidhaa zinazalishwa katika viwanda vyetu vya ndani gharama yake inakua juu sana kuliko bidhaa tunazonunua nje, mfano sukari, cement, mafuta n.k
Gharama za bidhaa kuwa juu chanzo chake ni nishati ya kuzalishia kupatikana kwa bei ya juu.
 
Kwa upande mwingine mimi naona ni bora na faida zaidi kwa wananchi kuliko hayo mafuta ghafi yakisafishwa nchini.
Bidhaa zinazalishwa katika viwanda vyetu vya ndani gharama yake inakua juu sana kuliko bidhaa tunazonunua nje, mfano sukari, cement, mafuta n.k
Kuna hoja nzito sana ktk komenti yako. Ni kweli unachosema japo tunahitaji kujadili nini kifanyike kuondoa vikwazo kama hivi.
 
Zambia seeks investor in Indeni refinery

Zambian authorities are looking for an investor in the Indeni Oil Refinery to support future enhancement of the plant.

Local media reported that the Zambian Development Agency (ZDA) had issued an invitation to interested parties to take up a majority stake in the 25,000 bpd refinery, with the ultimate objective of upgrading the plant and improving the output and efficiency of its operations.

Indeni, which is operated by Indeni Petroleum Refinery Ltd (IPRL), was established in 1973 and is located in Ndola in the heart of the key copper-producing region of Zambia.

The plant is wholly owned by the state holding company, Industrial Development Corp. (IDC), after the Zambian Government bought out French super-major Total’s stake in 2009. Zambia has previously courted international investors, with authorities approving the sale of a 49% stake in the plant in 2013.

Much of the output from Indeni is supplied to the mining operators in the Copperbelt area. It is fed with crude oil by the 1,700-km Tazama pipeline, which connects Ndola to Dar-es-Salaam in Tanzania.

However, lack of investment in facilities at Indeni in recent years has reduced operating rates to around 21,000 bpd. Zambia has considered the construction of a new refinery to meet rising fuel needs, but this option has proved too costly, and the focus has now returned to the potential for renovating the existing plant.

The required funds for renovations have not been broken down, but would most likely be in the region of US$500 million.

ZDA may look to widen the slate of products sold by the refinery. For example, expanded output of bitumen to support major new roadbuilding initiatives in Zambia is expected, displacing imported bitumen from South Africa and Saudi Arabia. This process of import substitution would have spin-off benefits for Zambia’s foreign exchange position by cutting the cost of imported energy products.

The ZDA’s move echoes comments made by Zambian Energy Minister David Mabumba in December, and marks a further elevation of the ZDA into a more prominent figure in the Zambian energy market. The agency is also active in seeking inward investment in coal and power sectors, using innovative investment promotion and protection agreements (IPPAs) to offer assurance of stability of investments.

However, there will be potential hurdles. Mabumba has already attempted to head off fears that a more business-like approach to energy policy and towards the oil refining sector would have adverse effects. He told local media that jobs at Indeni would not at risk during the overhaul.

As well as political stability, the condition of oil pipeline infrastructure supplying the refinery will be crucial to promoting confidence among potential investors.

In relation to this, Mabumba acknowledged that the Tazama pipeline was in need of investment to ensure efficient functionality and crude oil supply security. Costs of feedstock supply may also become key considerations for investors in view of the recent rise in crude oil prices.

The next steps in the sale process will be for interested parties to scrutinise the position of Indeni against this backdrop, particularly to review the required future investment levels, costs of production and stability of supply of crude oil.
 
Zambia walikuwa na akili sana.

Hawakutaka kuchanganywa na miluzi ya IMF na World Bank.

Walikuwa na akili, narudia.

Rais wakati huo alikuwa Ali Hassan Mwinyi, na alikubali kila ushauri mradi unatoka kwa wanaotaka kumkopesha.

Kuua TIPER Kigamboni kwa leo twaweza kusema ilikuwa uhujumu uchumi.

PETROLEUM ikiwa distilled unapata by products nyingi sana kama
  • Kerosene, mafuta ta taa
  • Petrol
  • Diesel
  • Wax
  • Grease na lubricants
  • Vaseline
Bitumen products (lami za barabara)

Kwa kuua kiwanda cha TIPER, hata ujenzi wa mabarabara ulihujumiwa.
Hilo swali waulize sisiem
 
Back
Top Bottom