viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Watanzania kushangilia Teuzi za viongozi

    Kwa muda sasa karbu kila Rais akiingia watu wanajiweka attention kusubiri habari za teuzi za viongozi tena kwa bashasha kubwa huku wengine wakishangilia na wengine wakinunua baada ya teuzi. Bado najiuliza sana,hizi teuzi teuzi zinakuaga na jipya gani zaidi ya taratibu tu za uongozi? Binafsi...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kisiasa Somalia wafikia makubaliano ya kufanyika Uchaguzi Mkuu

    Baada ya kukwama kwa miezi kadhaa, Viongozi wa Siasa Nchini humo wamefikia makubaliano yanayotengeneza njia ya kufanyika Uchaguzi Mkuu ulio Huru na wa Haki. Waziri wa Mambo ya Nje, Abdirizak Mohamed amesema mojawapo kati ya hoja zilizofikiwa suluhu ni kuundwa kwa Kamati ya Uchaguzi. Kutokuwepo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, yapaswa mishahara ya viongozi wetu wa kisiasa kujulikana kwa umma?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuwe waangalifu na nasaha mnazotoa kwa wale wanaoteuliwa

    Nilikuwa nasikiliza maelezo ya Viongozi wetu wa Taifa kwa wateuliwa wa Rais baada ya kula kiapo cha kazi zao. Moja ya mambo yaliyonishangaza ni pale Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai aliposimama na kuwaasa majaji kuwa ni muhimu kwao kutenda haki pale wanapotoa maamuzi ya kesi watakazokwenda...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Chondechonde viongozi wa Serikali muwe na maelewano

    CHONDECHONDE VIONGOZI WA SERIKALI YA CCM, MUWE NA MAELEWANO. Natumaini wanaJF mko wazima kabisa. Leo baada ya wengi wenu kunipigia simu na kunisihi niseme neno kuhusu haya mambo ya viongozi wa serikali wanaotokana na Chama kilichobeba matumaini ya watanzania, CCM, kukwaruzana wao kwa wao kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ulazima wa wakati Rais wa JMT anaapisha wateule wake hafla kuhudhuriwa na viongozi wakuu wote na wale wa vyombo vya dola?

    Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo. Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC? Ni hilo tu.
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani ingilia kati juu ya mauaji yanayofanywa na viongozi wa Serikali za Mitaa huko Mwanza

    Waziri Simbachawene hii sasa ni too much. Kila baada ya mwezi huko Mwanza tunasikia watu wamegoma kuzika mwendazake. Habari kubwa ni Kiongozi wa Serikali za mitaa kupiga na kisha kuua wanaotuhumiwa vibaka, ndani ya ofisi za Serikali. Wananchi nao wanakasirika na kuchukua miili za marehemu...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Haki ndio salama yako, sio unafiki

    Ukiwa kiongozi sehemu yoyote ile ukitaka kuwa salama hapa duniani na Mbiguni basi wewe tenda Haki bila kujali, ilimradi unachokitenda ni haki mbele za Mungu na mbele ya binaadamu wenzako. Na kinyume chake, Unafiki madhara yake ni makubwa sana kwa binaadamu wenzako na mbele za Mungu. Hakuna...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Nikiwa namalizia sikuukuu ya Eid nawapongeza waasisi, marais na viongozi wote kwa kuweza kudumisha tunu za taifa letu

    Kwa kweli nchi yetu imejengwa kwenye misingi imara sana ya upendo na mshikamano. Hata katika tofauti zetu bado kuna upendo wa asili. Upendo usioweza kufutika kati yetu Hakuna utajiri mkubwa zaidi ya utajiri wa watu halafu hao watu wakawa na upendo kati yao kama tulivyo watanzania tunaoishi kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kitaifa hupenda kula Sikukuu DSM badala ya Dodoma yalipo makazi yao?

    Nauliza tu maana Dodoma wamebakia akina mzee Mgaya na mzee Ndugai wengine wote wametimkia Dar es salaam kula sikukuu ya Eid El Fitr. Ni kwamba Dodoma ni padogo au bado ni mashambani hakufai kusherehekea sikukuu zenye amsha amsha?!! Eid Mubarak!
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa Ole Sabaya, liwe somo kwa wale viongozi wanaopenda kutumia ubabe na kutotii sheria za nchi

    Miongoni ya habari ambazo zimepokelewa kwa shangwe kubwa hapa nchini, ni hii ya kusimamishwa kazi kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai, Ole Sabaya Kulikuwa na malalamiko mengi sana toka kwa wananchi, kwa kipindi kirefu kuwa huyu jamaa, anatumia ubabe, tena kwa kutumia vyombo vya dola...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wanaposema "Serikali ilikuwa na nia njema kabisa" huwa wanamaanisha nini hasa?

    Shalom kutoka Jerusalem, Mara nyingi kunapotokea sintofahamu inayohitaji uwajibikaji wa serikali viongozi wa juu wamekuwa wakiwaambia wananchi kuwa "serikali ilikuwa na nia njema kabisa". Hivi wewe mdau wa JamiiForums huwa unaelewa nini kuhusu kauli hii? MFANO: Hivi karibuni, Tanzania, Afrika...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wa Afrika husalitiwa na inner circles na kisha kuuawa? Waafrika hatuaminiki?

    Ni jambo la kushangaza sana kuona wanandani wako wanakugeuka na kusuka mipango ya kukuua. Maana madaraka ya Afrika yanashangaza sana. Blaise Compaore alimgeuka mtu wake wa karibu kabisa Thomasa Isidore Sankara na kisha kumuua. Na yeye akachukua madaraka Mobutu Seseseko alimgeuka Patrice...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

    Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.? Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar. Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu. Rais...
  15. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Viongozi wa Yanga wadhibitiwe

    Niwasilishe maskitiko yangu kwa kutochezwa kwa mchezo wa Simba na yanga 8. 5. 2021. Naitazama yanga na naitazama TFF na nawatazama viongozi wa Yanga naiona hatari mbeleni. Najiuliza hawa viongozi wanazifaham Simba na Yanga? Ivi leo hii Simba au Yanga ishushwe daraja tu moja athali zake...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nakasirishwa na unafiki wa viongozi wetu

    Wananchi tunafanya kazi kwa bidii na tunapenda haki lakini viongozi wetu hawaonyeshi kuwa na nia ya kututetea wametuacha katika mazingira duni hawatusaidii kuboresha hali zetu na ndio sababu miaka ya nyuma watu walikuwa wanajiunga na migomo. Viongozi wetu (wa kisiasa na dini) wanaishi maisha...
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wizarani Wasikwapue Kazi za Uandishi Wafanyazo Watumishi Wadogo

    Kumekuwa na tabia ya kipindi kirefu sana, za viongozi waliopo katika Wizara mbalimbali kuwatumia watumishi waliopo katika taasisi zilizopo chini ya Wizara hizi, kutengeneza taarifa mbalimbali. Bahati mbaya sana, viongozi wa Wizara wakitengeneza machapisho kutokana na kazi hizi zilizofanywa na...
  18. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Haki na Demokrasia havitakuja Tanzania kwa Rais kuwapa vyeo Serikalini Viongozi wa Upinzani

    Jana nimemsikia Rais Samia Suluhu Hassan akidai kuwa ataanza kuteua nafasi za uongozi bila ya kuangalia vyama.Hilo halina ukakasi kwa mujibu wa sheria zetu ila kwangu mimi naamini kuwa hizo ni mbinu za kijanja janja za kurudisha utulivu wa kisiasa nchini baada ya ule uchafuzi wa wazi aliofanya...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Rais Samia kwanini hayafanyiwi kazi kwa wakati?

    Agizo la kufuta kesi zote hewa za watu waliobambikizwa kwanini watu bado wapo mahabusu mfano Mashehe wa uhamsho? Agizo la kufungua vyombo vya habari mpaka sasa kimya Agizo la kufungua biashara kati ya Tanzania na Kenya leo usiku kuna wavuvi wa Kenya wamekamatwa kwenye ziwa Victoria. Report ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Misingi mikuu ya maadili ya viongozi wa umma

    MISINGI MIKUU YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA i) Kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na kujali; ii) Kujizuia na tamaa na kujiheshimu; iii) Kujituma na kutekeleza majukumu kwa umahiri kufuatana na misingi ya kitaaluma; iv) Kufanya kazi bila upendeleo; v) Kutoa Tamko la Rasilimali na Madeni; vi)...
Back
Top Bottom