Chama Cha Mapinduzi kinafutilia kwa makini mienendo ya baadhi viongozi wake ambao wamekuwa wakipotosha Umma na kwenda kinyume na maelekezo ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu na maadili ya Chama.
CCM inawakikishia wanachama na watanzania kuwa hatua...
Wanabodi,
Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu!
Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...
WALIOACHIWA KWA UPANDE WA MWANZA NI:-
(1). John Heche.
(2). Zakaria Obard.
(3). Stephen Odipo.
(4). Daud Zephaniah.
(5). Seti Benda.
(6). David Nyakimwe.
(7). Frank Novarth.
(8). Mbutosyo Mwakihaba.
Ila Mhe. John Heche yuko Hospital, Mwanza.
Zaidi, soma:
- Mwanza: Mwenyekiti wa CHADEMA...
Wasalaamu wana JF
Hata majumbani mwetu kuna miiko, hauwezi kupata mgeni na siku hiyohiyo unamkaribisha mpaka chumbani, Kuna matazamio na utaratibu maalum.
Kitendo cha Chandema kupata wahamaji kutoka CCM na siku hiyo hiyo kufanywa kuwa viongozi wa meza kuu Chandema na kuruhusu kufahamu mipango...
Samahani kwa kichwa ambacho kina ukakasi kama utakua umeudhika naomba unywe maji ukae pembeni na glasi ya maji baridi upunguze hasira
Bara hili la watu weusi ni kama lina laana vile inshort watu weusi kama wana laana vile achilia mbali bara hili kuna watu wa carribean countries kama cuba,haiti...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA
Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
Ukisikia kuna kupungukiwa akili, ndiyo huku.
Ukikaa mbele ya luninga yako, halafu ukasikia kuwa mazalio ya samaki yanaharibiwa na wavuvi maharamia wa majini. Halafu baadaye ukamsikia mvuvi haramia akitamka kuwa wameanzisha mapambano dhidi ya samaki kwa sababu amezamisha meli ya kisasa ya uvuvi...
Polisi wanasema wamekamilisha uchunguzi,Ila wakimfikisha mahakamani sijui kama kesi itaanza au uchunguzi utaendelea.
Kwa vile tuhuma zile ni nzito na viongozi wetu wametujengea flyover,ni bora apelekwe mahakamani.
Hii ni public trial ambapo wote tutafuatilia yanayotendeka.
Lakini viongozi...
Wazungu wana msemo kwamba "some people are so vain that they forget to be clever"
Ndivyo navyowaona Polisi wetu wa Tanzania. Yaani mtu mwenye tuhuma nzito za kutaka kuua viongozi, hadi unamkamata lazima uwe na ushahidi dhidi yake mzito. Sasa iweje unamkamata kwa tuhuma nzito kiasi hicho, halafu...
Hadi Sasa hakuna kiongozi wa chama Cha upinzani aliyejitokeza kupongeza au kukemea kilichofanywa na Jeshi la Polisi dhidi Mhe. Freeman Mbowe, ukimya huu unatoa tafsiri zifuatazo kwa mtizamo wangu;
1. ACT Wazalendo baada ya kupata nafasi Zanzibar imeanza kujiona sehemu ya serikali na mapambano...
Kinachotokea Leo hii Tanzania kuandikwa na kuripotiwa Duniani vibaya kwa miaka mitano mfululizo ni matokeo yakutoandaa viongozi na kukosekana kwa exposure; zamani viongozi walikuwa wanachanganywa waliokulia nje na waliokulia mazingira ya ndani ili wapeane mbinu zakisiasa na kujua namna yakutatua...
Habari Mpendwa msomaji wa JamiiForums,
Leo nimeona nitoe uelewa wangu huu ili niwashirikishe jamii ya kitanzania, hasa wapenda maendeleo na wale wanao tamani kuiona Tanzania ikikua kiuchumi, kutoka hapa tulipo, yaani uchumi wa kati wa chini, Nakwenda uchumi wakati wa kati hadi wa juu.
Suala la...
Usiku majira ya saa tisa, Polisi walivamia Hoteli aliyokuwa amefikia Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na wageni wengine pamoja na wenyeji wao.
Waliochukuliwa:
1. Freeman Mbowe
2. John Pambalu
3. John Heche
4. Rose Mayemba
5. Masenya(Mwenyekiti BAVICHA Ilemela)
6. Steven Odipo
7. Dr. Rwaitama
8. Seti...
chadema
freeman mbowe
hadhara
katiba mpya
kongamano
kukamatwa
maandamano
mikutano
mikutano ya hadhara
mkuu wa mkoa
mwanza
polisi tanzania
taharuki
viongozi
wananchi
wenzake
Nakumbuka awamu ya tatu wakati serikali ikitaka kununua ndege ya Rais aina ya Gulfstream G550 kwa thamani ya bilioni 46
Watanzania walio wengi, walionyesha kupinga hatua hiyo, kwa kuzingatia hali ya uchumi ya nchi yetu kwa wakati huo
Lakini, aliyekuwa waziri wa fedha wa wakati huo, mzee...
Wananchi wa kawaida ni wananchi ambao katika jamii ya Tanzania ni watu ambao wapo katika kundi ambalo wanaishi maisha duni.
Hawa ni watu ambao kipato chao sio cha uhakika na hivyo hata uhakika mlo mmoja ni nadra kuwa nao. Kama ni wafanyabiashara ni wale ambao hata mtaji wa buku tano ni ngumu...
Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa...
Kuna wakati unawaza na kujiuliza mambo mengi tu bila hata kupata chembe ya jibu , sasa unajiuliza hawa watu wanaojiita Maprofesa , Madaktari wa kisomi, Engineers wanafanya nini katika hili taifa ukiacha hao mprofesa kuna taasisi zinazojigamba kila siku kuwa ni best katika uchumi mfano REPOA...
Kuna mawaziri wengine sijui kama huwa wanajisikiliza wakiongea!
Nasema hivi kwasababu, ukisikiliza presentation ya baadhi ya mawaziri utagundua kabisa inchi yetu hii ni kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa na kutuacha na mabarango.
Waziri wa fedha kila nikimsikiliza naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.