Kuna tabia iliyojengwa miongoni mwetu ya kutoa sifa zilizopitilizakwa viongozi wapya, hasa rais, waingiapo madarakani. Tabia hii sijui tumeirithi wapi?
Tunawapa sifa mpaka wanajiona miungu. Tumejifunza kwa mwendazake na sasa tumehamia kwa mama. Baada ya siku 100 madarakani zimeimbwa ngonjera kila kona ya nchi kama vile samia mashuka juu. Radio, tv, magazeti, midahalo nk. vimesikiaka vikiumuona mama kama masiha au nabii.
Tutakuja kujuta baadaye kama tulivyojuta kwa kumsifia dikteta.