Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa kuanzia wilayani na ukizingatia hawa wanahudumiwa siyo tu mishahara mikubwa bali kuna magari/mafuta...
Makamanda baada ya orodha ya wateule ma DC kutoka kila mmoja ameanza kejeli ooh UVCCM wametoswa wamechukuliwa waliounga juhudi. Tatizo liko wapi, kwanza ni Watanzania sio Wakenya.
Pili, mbona nyie mlimpa ukatibu mkuu Dk Slaa toka CCM, mkampa Lowassa nafasi ya ujumbe wa kamati kuu ili hali wapo...
Tulishaona na kusikia humu humu JF sauti na video za kutengeneza zilizowahusu viongozi wa sasa na viongozi wastaafu waliodukuliwa huku wakidaiwa kumsengenya Aliyekuwa Rais wa Tanzania, ambaye sasa anaitwa mwendazake.
Wako waliojitokeza kuomba radhi, huku wengine wakitimuliwa kwenye Chama...
Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata.
Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti.
Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
Hawa watu wana mbinu nyingi sana za ku-survive katika mazingira yoyote kwenye nafasi zao.
Sakata la wazee wa Yanga unaeweza kufikiri viongozi hawajui. La hasha! Wanafahamu sana na ukweli inaonesha anayelengwa hapo ni GSM. Viongozi hawamtaki na kwa vile wameshamwona Manji, wanatengeneza fitna...
Inafahamika kabisa kuna matukio ya KITAIFA NA KIKAMPENI.
Zipo protocol za namna ya kuanza hotuba mbele ya viongozi wa kitaifa na kimataifa.
Ndugu WANASIASA, MAWAZIRI NA WATEULE WA RAIS. Katika matukio mengi yakitaifa mmekuwa mnaanza NA "SWAGA"ambazo zinaboa nazinavunja heshima yakiongozi...
Ndani ya miezi miwili tumeshuhudia viongozi wakubwa wawili toka enzi za awamu ya mwendazake wakikutana na madhila makubwa tu kutokana na tabia yao ya kujikomba/kujipendekeza/kujiparata kwa kiongozi anayehusika na teuzi na mamlaka ya kinidhamu dhidi yao.
Hawa ni wafuatao:
1. Lengai ole Sabaya -...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Niende kwenye mada husika hapo juu.
Viongozi kama wabunge na mawaziri mpaka sijui nani huko juu. Wangeonesha mfano mzuri wa kukupenda taifa lao kwa kukubali nusu ya mshahara wao na marupurupu yao yote yakatwe yaelekezwe kuajiri walimu...
Wasalaam wadau,
Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya bandiko langu kutweza utu au legacy ya hayati mwenyekiti wangu Dkt. JPM bali kuwakumbusha waabudu...
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la...
Kama tupo serious kwamba tumeanza kuamini hakuna aliye juu ya sheria na kwamba Taifa ni muhimu kuliko matamanio binafsi ya viongozi wa chama tawala Basi wafuatao wahojiwe;
1. Paul Makonda - Tukio la wazi linaloashiria jinai ni kuingia Clouds akiwa na silaha za kivita ambazo hakuna sheria...
Nini maana ya KIAPO?
Nini maana ya KINGA?
Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga.
Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria.
Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
Tulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu.
Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika. Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao.
Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT, Vyuo...
Takriban wiki ya tatu tokea Kamati maalumu ya tathmini ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) nchini kukamilisha kazi yake na kukabidhi ripoti kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tume hiyo ilikuja na mapendekezo zaidi ya 19 ambapo mpaka sasa ukiondoa pendekezo ya kuagiza chanjo ya Corona ambalo serikali...
Kuna swali nimejaribu kujiuliza kuhusiana na siasa zetu za Tanzania, mara nyingi vyama vimechukua hatua tofauti tofauti kwa wanachama wao.
Lengo kuu la hatua hizo ni kudumisha nidhamu ya chama na kuhakikisha kuwa chama kinabaki kwenye misingi yake.
Hata hivyo kwa kumbukumbu nyingi nilizonazo...
Wadau wa JF
Nawasalimi kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Mei 31, 2021 amekutana kwa mazungumzo na Viongozi wa Taasisi ya Sekta binafsi Nchini ( TPSF)
Mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni Jijini Dar...
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita.
Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli)
Tukaja mama...
Mwenyekiti wa CHADEMA mh Mbowe amesema Chadema ina imani na mwenendo wa Rais Samia.
Hata hivyo Mbowe amemshauri Rais Samia kutoruhusu watu wachache kulichezea bunge na mahakama kwani michezo yao hatari yake ni kubwa sana kwa ustawi wa taifa.
Source ITV habari!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.