Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki.

Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5.

Kisa kuepusha taharuki.

Akifa hutangazwa, nini maana yake?
 
papa ni mwanasiasa?
Partly ni mwanasiasa sababu ukiacha yeye kuwa kiongozi wa kanisa la Roman pia ndio mkuu wa nchi ndani ya nchi inayoitwa Vatican ambayo Ina ubalozi pia kwenye mataifa mbalimbali.

Kumbuka kwamba Vatican ipo ndani ya Italy, it's a country within a country.

But only Vatican na Italy hawaisumbui na wanaiheshimu.
 
You should also be interested visiting Sicily. Utakutana na former old chappels pale
 
Back
Top Bottom