Zanzibar 2020 Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.

E226E2E3-FBB3-47BE-BEAA-F7602A9DD0D6.jpeg
4FDEC40F-DECB-4BE8-9F95-CFFFB845ADDF.jpeg
 
Kama wanaume kweli wangebandika mchana kweupe kama vichwa vyao na nyama watu wangevichemsha tukala supu.
Waambieni kama wanaume kweli wafike mchana.

Il wazee wa Nungwi wamesema hao waliobandika hizo picha wametoa siku saba wakaziondoe vinginevyo la kufanya wasije wakaombwa msamaha.
 
Mnatafuta kick matangazo mbandike nyie halafu msingizie CCM kutafuta kick media!
 
Picha tu haziwezi kuwa Rais wa Zanzibar.

Wazibandue na kuendelea na kazi zao bila kuumiza kichwa na akili juu yq mtalii huyo.

Huu ni mwaka wa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Rais wa Zanzibar.
 
CCM wana siasa za kipumbavu sana. Nawashauri ACT waweke ulinzi kwenye ofisi zao,na hao wapumbavu wa CCM wakijaribu tena waache wafanye kwanza ushenzi wao ili kupata ushahidi then wawapige hadi kuwaachia vilema vya kudumu kama vile kuwatoboa macho na kuwakata mikono yao inayotunika kufanya uharamia huu.
 
Back
Top Bottom