Watanzania hatuna utamaduni wa kufundisha vijana wetu jinsi ya kujieleza na kuongea mbele ya watu. Hii inasababisha sana hata wataalamu wetu wengi kuonekana kama vile hawana utaalamu. Wenzetu kuanzia mtoto akiwa mdogo shuleni wanafundishwa jinsi ya kuwasiliana na hii inasababisha wanaweza...
Kwako Rais wetu na mama yetu,
Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele.
Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
Kenyans are rushing to enroll into drone academies as they seek to equip themselves with drone piloting skills so as to obtain operating licences.
Many of the Kenyans enrolling into the academies want to learn as well as obtain about licences that will allow them operate commercially.
Drones...
Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo.
Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
Mbunge wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) badala ya kuwafundisha wengi.
Bulaya amesema kutoa mafunzo ya silaha kwa vijana wengi wakati hawapati nafasi za kujiunga...
Habari wadau!
Wiki hii naona kuna malaika wa ajira anatembelea nyumba hadi nyumba. Taratibu milango ya ajira kwa vijana imeanza kufunguka hata kabla ya mama kubonyeza ile batani lakini automatically imeanza kufunguka.
Naona vijana wengi hata wale wapiga kelele wa humu wameitwa kazini. Binafsi...
Wakuu
Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..!
Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa...
Habari za leo wakuu,
Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum,
Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN.
Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii.
Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa mujibu wa Katiba ya nchi, mkifanya hivyo hata mwisho wa madaraka yenu hamtaishi kwa mashaka na wala...
Habari ya leo wakuu,
Nna wazo moja ambalo tunaweza kushirikiana vijana 10 WAJASIRIAMALI tunaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.
Pia ni muhimu tusajili kikundi chetu ili kiweze kutambulika na bidhaa zetu tunazozalisha zitambulike.
Lengo la kuungana
1.Kushughulikia vibali vyote...
Vijana wengi wa CCM tulisahau kuwa ili uonekane unafanya kazi lazima tupambane na upinzani mpaka sasa hatuoni kitu gani kinachonachokifanya.
Msimu uliopita wa 2015 kulikuwa na ajira za chama vijana wengi waliajiriwa kupitia kuwa makada. Kuna watu wanachama wengi waliajiriwa kupitia mfumo wa...
Moja ya jambo ambalo huwa linanisikitisha ni kuona kuwa tayari vijana wakitanzania katika Umri wa miaka 25-45 wanawaza kama wazee wenye Miaka 70-90 Nchi nyingine wazee wa miaka 60 wanawaza kama vijana wa miaka 25-45. kuna tofauti kubwa sana. Mtanzania anaweza furahi sana unapomsimulia kuwa Jana...
Jamaa yangu ana mdogo wake kamaliza chuo mwaka Jana. Amekaa Mtaani kodi imeisha akakosa pa kukaa. Kaka yake ni mtu wangu wa karibu. Akanambia mdogo wake anakosa pa kukaa. Jamaa yupo Dodoma.
Pale home nina Servant Quarter. Nikamwambia aje akae pale mpaka akichoka. Vyumba viwili, jiko,s ebule na...
Wewe una miaka 40+ bado huna Nyumba, Huna Gari. Hata ukija pata umebakiza miaka 20 au 10 ya kuenjoy. Miaka 40, 50 hukuwa na gari unapata pesa badala uwekeze kwa wanao ndio unaenda nunua gari. Ili iweje sasa? Anyway kama una usafiri endelea kutumia. Huo na Sehemu ya kujihifadhi. Nyumba tunajenga...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia na kuona baadhi ya watu wakitushauri vijana kuhusu baadhi ya maswala hasa yanayohusu elimu bila kufanya upembuzi yakinifu au kuwa na data za ku-justify arguments zao. Hoja yao kubwa imekuwa 'zama zimebadilika siku hizi' mara oooh elimu sasa haina nafasi, mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.