vijana

  1. JamiiForums Tanzania Ninyi wanasiasa sio waaminifu kabisa mkipata madaraka mnawaza kufanya ufisadi,msipofanya mnajiona sio wajanja. Usikomae kuwaponda vijana

    Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa. Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni kweli kabisa Sisi Vijana siyo Waaminifu Je, nyie Wazee mlikuwa Waaminifu lini?

    Wewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee? 1. Rushwa 2. Dhuluma 3. Kutupora Mademu zetu 4. Kuwasaliti Wake zenu 5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya 6. Utapeli 7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma Generalist...
  3. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wanaouguza wazee na vijana, ninauza wheelchair nzuri za mtumba kwa bei nafuu

    Habari wadau.. Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili.. Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000. Namba ya simu ni 0692 275 229
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

    Ujumbe wangu ni huu: Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wekeni nadhiri ya kuzeeka mkiwa na heshima Kama Prof. Assad

    Wazee wengi wameshindwa kutunza heshima yao, wameshindwa kuridhika na umri waliopewa na Mungu, wameshindwa kuwa kioo cha jamii, wamekuwa ndumilakuwili, hawana msimamo na awaridhiki na kile walichokwisha chuma.wapo tayari kuishi kwa unafiki ila wasitolewe kwenye nafasi zao. Kwa sifa hizi wazee...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kwanini vijana wengi siku hizi wamekuwa waoga wa kutafuta maisha?

    Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
  7. JamiiForums Tanzania Awamu ya tano ya urais wa Hayati Magufuli iliwachelewesha sana vijana

    Habari wadau, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, licha ya mazuri ya awamu ya tano lakini kosa kubwa liliofanyika ktk awamu hiyo ni kuwachelewesha maisha vijana. Vijana wengi hususa graduates walikuwa wanaishi kama mashetani hakukuwa na ajira wala viwanda vipya vilivyoanzishwa na hata miradi...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana wa ccm ndo wapinga maendeleo,watu waliokosa uzalendo .

    Kwa upingaji huu wa step anazochukua Rais mnaonesha kuwa mmekosa akili za busara. Nyie furaha yenu nikutaka kuona watu wanateseka. "Mungu wetu yuhai"
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tufundishe vijana wetu utaalamu wa kuongea kama Rais Samia Suluhu

    Watanzania hatuna utamaduni wa kufundisha vijana wetu jinsi ya kujieleza na kuongea mbele ya watu. Hii inasababisha sana hata wataalamu wetu wengi kuonekana kama vile hawana utaalamu. Wenzetu kuanzia mtoto akiwa mdogo shuleni wanafundishwa jinsi ya kuwasiliana na hii inasababisha wanaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Kwako Rais na mama yetu Samia Suluhu, usiwasahau vijana wa mafuta na gesi waliosomeshwa kwa fedha nyingi kupitia Wizara ya nishati

    Kwako Rais wetu na mama yetu, Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele. Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wengi Wakenya wajiunga kusomea urubani wa "drones", unalipa sana siku hizi

    Kenyans are rushing to enroll into drone academies as they seek to equip themselves with drone piloting skills so as to obtain operating licences. Many of the Kenyans enrolling into the academies want to learn as well as obtain about licences that will allow them operate commercially. Drones...
  12. JamiiForums Tanzania Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

    Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo. Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Bulaya: Mafunzo ya kutumia silaha kwa JKT yatolewe kwa Vijana wachache ili kupunguza wanaokosa kazi na kufanya uhalifu

    Mbunge wa viti maalum, Ester Bulaya ameishauri Serikali ya Tanzania kutoa mafunzo ya kutumia silaha kwa vijana wachache wanaoshiriki mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) badala ya kuwafundisha wengi. Bulaya amesema kutoa mafunzo ya silaha kwa vijana wengi wakati hawapati nafasi za kujiunga...
  14. JamiiForums Tanzania Tumuombee Rais Samia Suluhu dua njema, afungue milango ya ajira kwa vijana maana ishaanza kufungua

    Habari wadau! Wiki hii naona kuna malaika wa ajira anatembelea nyumba hadi nyumba. Taratibu milango ya ajira kwa vijana imeanza kufunguka hata kabla ya mama kubonyeza ile batani lakini automatically imeanza kufunguka. Naona vijana wengi hata wale wapiga kelele wa humu wameitwa kazini. Binafsi...
  15. JamiiForums Tanzania Long distance ni mapenzi ya uongo vijana acheni ujinga

    Wakuu Huwa nawashangaa sana watu eti ana mchumba yupo mwanza kikazi na yeye yupo Dodoma kikazi ...halafu wanadai eti wanaaminiana ..! Kiuhalisia wote wawili ni wachepukaji wazuri sanaa ila ukiwakuta wanaongea kwenye simu sasa "ooh nimekumisi hadi naumwa".. Huo uongo hata shetani anashangaa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la simu fake Kariakoo kwanini vijana tusijiingize kwenye hii biashara tusaidie watanzania wenzetu wanaolizwa kila siku?

    Habari za leo wakuu, Nimekua nikifuatilia baadhi ya nyuzi hapa jamii forum, Kuna watanzania wamekuwa wakilalamika juu ya bidhaa za kielectronic zinazouzwa Kariakoo na kwamba watu wanauziwa simu feki. Watanzania wanashindwa kutumia simu zenye viwango kwasababu tu wauzaji wa Kariakoo wamekosa...
  17. JamiiForums Tanzania Kifo cha Rais Dkt. Magufuli pigo kwa vijana wapenda siasa

    Nianze kwa kutoa pole mimi kama Mtanzania mzalendo kwa watanzania wenzangu kwa msiba huu mzito ulilolipata Taifa letu, tumuombee mpendwa wetu awe na safari njema huko aendako AMEN. Nirudi kwenye Maada pasipo kuwachosha sana,kifo cha Rais wetu kimekua cha kusikitisha sana na chenye simanzi...
  18. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya zamani ilisaidia kuwajenga vijana shupavu kuanza kupanga chumba na godoro la futi 3 chini.

    Tujikumbushe changamoto za kutanda.
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanafungwa na kuteseka magerezani kwa kubambikiwa mimba na wanafunzi. Je, ushahidi wa mhanga unatosha kumtia hatiani mtuhumiwa?

    Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii. Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
  20. K

    JamiiForums Tanzania UDSM acheni kuharibia vijana future zao

    Haya ni matokeo ya coursework ya somo la advanced financial accounting. Mtu anapata Mark's 1 kweli kwenye test yenye Mark's 20. Inawezekanaje hiyo na wakati chuo kinachukua cream tupu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…