vijana

  1. C

    JamiiForums Tanzania Vijana tunakosea wapi siku hizi?

    Habari ndugu wananchi, Kidumu Chama cha Mapimduzi😎 Kuna jambo moja hua nalifikilia sipati jibu. Kipindi nazaliwa namkuta maza tayari ana mashamba makubwa ana viwanja ana mifugo ana asset kibao. Mzee alikua kaoa mitara so home kwetu hakua ana deal napo sana. Mama yetu ni mkulima, yaan...
  2. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kuanza kujitegemea ukiwa mtu mzima Ni stress tupu vijana anzeni kujipanga from 25

    Kama nikipata nafasi ya kuzungumza na kijana mwenye umri chini ya miaka 30 ningemshauli aanze maisha ya kujitegemea akiwa na miaka 25 kuliko akisubilia afike 30,35 au 40 atakuja kupata stress hatari Kuna umri ukifika kama haukujianda kujitegemea ukiwa na umri kuanzia 25 ukishaanza kuwa mtu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania JKT waliorudishwa nyumbani watakiwa makambini

    Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Charles Mbuge, amewataka vijana waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2020/2021 na kurejeshwa nyumbani mwezi Februari mwaka huu kurejea makambini. Kaimu mkuu wa utawala wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa vyuo tusio na ajira tunakusudia kuitisha maombi ya kitaifa kuiombea serikali iwe sikivu na elevu zaidi

    Tatizo la ajira za umma huanza taratibu na baadaye kuwa kubwa na sugu kabisa. Lakini hata hivyo, zipo njia sahihi za kufanywa na jamii ikiongozwa na serikali ili kukabiliana kikamilifu na tatizo hili. Tangu awamu ya 5 ya Utawala wa serikali,na hata awamu hii ya 6,tunaona suala la ajira kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua kwa vijana wa Tanzania

    Habari wanaJf, straight to the agenda. Baada ya kutafakari mwenendo wa vijana wa Tanzania nimegundua kuwa wengi ni wavivu wa kufikiria na ili ndio linalofanya wengi kujazana Dar badala ya kupanua nchi na opportunities, nitasema kama taifa we are still behind kwenye fursa na mawazo kuna vingi vya...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
  7. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mema Magazine jarida lenye kulenga vijana

    Mema Tanzania Jumamosi ya tarehe 17 Aprili, 2020 tulizindua jarida la Mema Magazine toleo la kwanza linalofahamika #Tumesomeka likiwa katika programu maalumu ijulikanayo kama Sauti Huru. Jarida hili limesheheni maudhui yanayohusu masuala yafuatayo;- Afya na usawa na kijinsia Uraia na...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naungana na Ndugai: Vijana wengi sio waaminifu, amesahau uvivu tu

    NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU Na, Robert Heriel Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo. Ndugai anamadhaifu yake mengi tuu lakini kwenye hii kauli yake yupo sahihi. Vijana wengi watampinga, watamtukana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CDF Mabeyo: JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafundisha vijana uzalendo

    Mkuu wa majeshi nchini Generali wa nyota 4 Mabeyo amesema JKT siyo sehemu ya ajira bali ni sehemu ya kuwafunza na kuwaandaa vijana kuitumikia nchi yao kwa uzalendo. CDF amesema kwa sasa vijana wanakwenda kwa utaratibu wa kujitolea na jeshi linauangalia kwa upya utaratibu huo. Chanzo: TBC
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tarehe 08 Desemba 2020 Hayati Rais Magufuli akitoa amri kwa CDF kuwaajiri vijana wa JKT wanaojenga Ikulu ya Chamwino

    Inaonekana CDF Mabeyo ama mkuu wa JKT ndiyo wenye tatizo ama mmoja wao au wote juu ya hili jambo la vijana 850 waliotimuliwa baada ya kusaga ardhi vilivyo huko Msata kwa kosa la kuandamana. Asikwambie mtu, hadi mtumishi wa ndani ya jeshi amefikia kuandamana ujue yamemfika shingoni kweli kweli...
  11. chakii

    JamiiForums Tanzania JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    “Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey ---------- Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

    Nimekuwa nafatilia bunge bajeti tangu lianze vijana tumekuwa tunadharaurika kila kiongozi anatusema sisi vibaya tufanyeje ili kuepuka kikombe hiki. Alianza mhe spika vijana wengi akimaanisha karibia wote hawaaminiki hii aliwakusanya nadhani mpk vijana wake waliowazaaa. Leooo hii ndo kali...
  13. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai dhidi ya vijana

    Kutoka kauli ya vijana mjiajiri hadi kauli ya vijana kuwa wezi na kutokuwa waaminifu. Kwa ujumla wake hakuna mtu aliyefurahishwa na kauli zako Mh.Ndugai dhidi ya vijana ukiwashambulia Bungeni kwamba hawaaminiki,wana kiwango kidogo cha uwaminifu ukifafanua kwamba wakipewa mradi wasimamie wanaiba...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ninyi wanasiasa sio waaminifu kabisa mkipata madaraka mnawaza kufanya ufisadi,msipofanya mnajiona sio wajanja. Usikomae kuwaponda vijana

    Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa. Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ni kweli kabisa Sisi Vijana siyo Waaminifu Je, nyie Wazee mlikuwa Waaminifu lini?

    Wewe Spika Ndugai na Wazee wenzako kama kweli mngekuwa Waaminifu Tanzania yetu hii ingeyapitia haya chini ya Uongozi wenu nyie Wazee? 1. Rushwa 2. Dhuluma 3. Kutupora Mademu zetu 4. Kuwasaliti Wake zenu 5. Kuiba Pesa za Kujitibia Ulaya 6. Utapeli 7. Kufoji Vyeti vyenu vya Taaluma Generalist...
  16. F

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Wanaouguza wazee na vijana, ninauza wheelchair nzuri za mtumba kwa bei nafuu

    Habari wadau.. Nauza wheel chair za mtumba.. nzuri kabisa zipo mbili.. Yenye draft draft bei yake ni Tsh. 200,000. na nyingine nyeusi bei yake ni Tsh 150,000. Namba ya simu ni 0692 275 229
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa vijana wanaotumia mitandaoni kumtetea Mzee Baba

    Ujumbe wangu ni huu: Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wekeni nadhiri ya kuzeeka mkiwa na heshima Kama Prof. Assad

    Wazee wengi wameshindwa kutunza heshima yao, wameshindwa kuridhika na umri waliopewa na Mungu, wameshindwa kuwa kioo cha jamii, wamekuwa ndumilakuwili, hawana msimamo na awaridhiki na kile walichokwisha chuma.wapo tayari kuishi kwa unafiki ila wasitolewe kwenye nafasi zao. Kwa sifa hizi wazee...
  19. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini vijana wengi siku hizi wamekuwa waoga wa kutafuta maisha?

    Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano ya urais wa Hayati Magufuli iliwachelewesha sana vijana

    Habari wadau, Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, licha ya mazuri ya awamu ya tano lakini kosa kubwa liliofanyika ktk awamu hiyo ni kuwachelewesha maisha vijana. Vijana wengi hususa graduates walikuwa wanaishi kama mashetani hakukuwa na ajira wala viwanda vipya vilivyoanzishwa na hata miradi...
Back
Top Bottom