Mfahamu Henry J. Manyama mmoja wa vijana walionekana kumpinga Tundu Lissu wilaya ya Hai

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Huyu ni mzaliwa wa Bukombe na Mkazi wa Mwanza, alipata mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa Kigoma na baadaye kuajiriwa serikalini Mwaka 2017. Kituo Cha kazi ni Dodoma, hana makazi Hai, anaonekana kwenye clip akiwa nyuma ya mwongoza maandamano.

Sambamba naye yupo sister Blandina Lucian Kalinzi (Nick name) intake moja na Manyama, mfanyabiashara ndogondogo soko kuu Mbeya anaonekana mbele ya mwana Hip Hop anayejitambulisha kuwa ajatumwa.

Hawa wawili kuwaona kwenye tukio la Hai inanifanya nijiulize wamefikaje hapo hai? Je hao walioambatana nao wanaishi Hai? Je kwa kuwa sura zao zinaonekana adharani hakuna namna tunaweza kuwataja kila mmoja maana wanaishi kati yetu?

Tukumbuke katiba ya waryoba iliisha kwa waajiriwa wa umma kufanya vurugu pale ubungo blaza kwa kumshambulia Jaji na timu yake.

Kuwataja itawasaidia ndugu zao kutambua namna watoto wao wanavyotumika kulivurugu Taifa. Wataingia kwenya kumbukumbu za watenda Jinai.

Tuwataje.
 
Ahsante kwa kuweka wazi wale uliowatambua na utambulisho wao.Hili linaiacha CCM Mpya katika hali ya uhalifu wa wazi wazi ambao ulikuwa unaratibiwa na watawala na vyombo vya ulinzi vikishuhudia.Mambo ya namna hii yanaondoa Amani haraka sana hata kwa wananchi wapole kama Watanzania.

Watawala wanadhani Watanzania ni wajinga sana?Tunachukua muda gani kuwapata hawa wahuni ambao wamekubuhu na wanathubutu hadi kupigwa picha na kufanyiwa mahojiano hadharani,wanajiaminije kiasi hicho ilhali walichofanya ni uhalifu wa hali ya juu na ingeweza kusababisha maafa na kuvunja Amani?Hivi wananchi wa Hai wanakuwa juu ya sheria?Wasimamizi wa sheria wanajiweka wapi kwenye sakata hili la kigaidi.
 
Ahsante kwa kuweka wazi wale uliowatambua na utambulisho wao.Hili linaiacha CCM Mpya katika hali ya uhalifu wa wazi wazi ambao ulikuwa unaratibiwa na watawala na vyombo vya ulinzi vikishuhudia.Mambo ya namna hii yanaondoa Amani haraka sana hata kwa wananchi wapole kama Watanzania...
Sabaya
 
Ahsante kwa kuweka wazi wale uliowatambua na utambulisho wao.Hili linaiacha CCM Mpya katika hali ya uhalifu wa wazi wazi ambao ulikuwa unaratibiwa na watawala na vyombo vya ulinzi vikishuhudia.Mambo ya namna hii yanaondoa Amani haraka sana hata kwa wananchi wapole kama Watanzania...
Hata kama mnajifanya kuwataja eti sijui ni wa mkoa gani, sijui nn, we unampangia mtanzania mahala pa kuishi??? who are you?? Usitufokee.
 
Katika awamu hii ya tano kuna trend ambayo inazidi kushamiri ya kuwabumba kiakili vijana wanaohitimu JKT ili kutumika kwa maslahi ya watawala.Hawa wametengenezwa makusudi kuwa tayari kulipa fadhila kwa kupewa ajira SUMA JKT,ulinzi Steigler!s gorge,ulinzi majengo ya serikali,nk.

Ndio waliotumwa kuandamana kwenda ubalozi wa Afrika Kusini kipindi kile ndege yetu ilipokamatwa kule ili kushinikiza iachiwe huku ikiripotiwa yalikuwa ni maandamano ya wakazi wa jiji la Dar.Na kipindi hiki kuelekea uchaguzi tutegemee kuwaona wakitumiwa kwenye vitendo vingi vya kishenzi na vyenye kuhatarisha amani .
 
Ahsante kwa kuweka wazi wale uliowatambua na utambulisho wao. Hili linaiacha CCM Mpya katika hali ya uhalifu wa wazi wazi ambao ulikuwa unaratibiwa na watawala na vyombo vya ulinzi vikishuhudia.Mambo ya namna hii yanaondoa Amani haraka sana hata kwa wananchi wapole kama Watanzania...
Kama mtawala na msimamizi wa sheria ndiye anaratibu haya kuandika hapa hakusaidii kitu. kinachosaidia ni kuanza kujichukulia sheria mkononi basi
 
Back
Top Bottom