Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

mazaga one

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,463
3,932
Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.JPM Mitano Tena.




Hatimaye Kupitia Serikali sikivu Kuanzia Kesho ajira.tamisemi.go.tz itaanza kutembelewa kwa Sana.

Vijana Tujiandae kuomba hiyo Kesho na Mungu asimame Nasi.
 
Ajira walizo sema hazizidi 13,000 hapo ni kuanzia shule ya msingi hadi vyuo vya serikali.

Ila nachofahamu Udsm pamoja na zile collage zake zote za ualimu mwaka mmoja tuu wanazalisha zaidi ya walimu elfu 3 mia tano.

Hapo hujagusa chuo kingine chochote. Bado hujagusa walomaliza tangu 2015 hadi leo.

Wanao ajiriwa hapo ni walimu wa Maths na Physics wengine ni bahati nasibu itakapo angukia.
 
Kile Kilio Cha Ajira kwa Walimu Na Wapinzani kutaka kufanya Ajenda kubwa Kwenye Uchaguzi Huu Wa Mwaka Huu kinaenda Kuisha Mwezi huu .Mkajipange Tena Sijui Mje na Sera Gani Tena.Ajira za Walimu Kutolewa Mwezi Huu.Raha ya CCM,Raha ya Magufuli Ana ahidi na Kutelekeza.Na Ikumbukwe hii Ni Ahadi Yake aliyoitoa Kwenye Mkutano wa Mkuu wa CWT Dodoma Wakati CWT wanafanya Uchaguzi Wao.



Hongera Sana Serikali ya Awamu ya Tano.
JPM Mitano Tena.
Nasikia zitawahusu walimu waliojitolea mashuleni...
 
Ni kweli wengi walio kimbilia ualimu ni watoto wa masikini tena wa vijijini huko ila naona watawala hawalijui hilo
Hili eneo lina kilio kikuu kwa Magufuli. Watoto wa maskini tangu 2015 walipohitimu vyuo wamekaa bila ajira!!
 
Habari wanaJF,

kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu

Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.

Unawezaje kupigika/kunyimwa ajira kwa miaka mitano, ukaja kupewa wakati wa uchaguzi kama rushwa ili umpe jiwe kura yako halafu akakusoteshe tena 5years?

Unashangilia kupata ajira ya rushwa ya uchaguzi, wakati wazazi na ndg zako wamepigika kisawa sawa kwa sera mbovu za jiwe na ccm yake?

Una tofauti gani sasa na wazee wanaopewa kofia na t-shet za kijani wavae miaka mi5 huku wakiwa hoi kimaisha? Eti naww ni kijana
 
Kusingekuwa na uchaguzi maana yake ajira zisingekuwepo sio?
Hapana Mkuu mbona hizi ziliahidiwa na Mhe.Rais Pale Uwanja Wa Jamhuri Dodoma Siku ya Mkutano Mkuu wa CWT Fuatilia Hotuba Yake Siku hiyo 05/06/2020.
Sasa naanza kuamini humu mitandaoni watu huwa mnakurupukia Mambo bila utafiti.
 
Back
Top Bottom