Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Nipo naangalia uchaguzi wa wabunge vijana Viti Maalum Chama cha Mapinduzi. Ushauri wangu, kwa kuwa maana ya vijana ni vijana wa kike na wa kiume, basi wagombea wa nafasi za ubunge ziwahusishe vijana wote wa kike na wa kiume kuwakilisha wenzao.
Hii ni kutokana tayari kuna nafasi za viti maalum kwa ajili ya wanawake, na vijana nao wawe na nafasi zao maalum. Sasa kuna haja gani baraza zima ambalo lina vjana wa kike na kiume kuhusika na uchaguzi huu, wakati vijana wa kiume hawajapewa nafasi.
Nashauri, kama wanataka nafasi hizi zibakie kuwa za wasichana viti maalum, UWT ndio wahusike na kuchagua. wagombea nafasi za uwakilishi wa vijana toka Zanzibar, wasichaguliwe na wajumbe wa kutoka bara bali wachaguliwe na wenzao wa zanzibar.
Naombeni maoni yenu kuhusu mtizamo huu.