PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi.
Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
Vijana wa siku hizi wana uelewa mdogo, washabiki na wapenda sifa. Vijana naongelea hapa ni chini ya miaka 35 ambao wapo kwenye kundi hizi za umoja wa vijana. Je ni wangapi wamewahi kukupa ushauri wa maana!. Siwasemi kwani ni tatizo la kidunia kwa sasa.
Inasikitisha kuona vijana wa miaka 20's na...
Wakulungwa habari za siku nyingi.
Leo nimeonelea nitumie muda wangu kidogo kuandika kwa ajili ya kuwapa ushauri vijana wetu ambao ndio wamemaliza kidato cha sita, hasa wale ambao ndoto zao ni kuendelea na masomo ya chuo. Zifuatazo ni dondoo chache kutoka kwangu kaka yenu ambae nimebahatika...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Habari!
Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi...
Nimekuja na tokeo la vijana machachari kutokea KISIMIRI wakiendelea kunyosha misonge ya one kali.
Swali langu ni moja kwanini ni vijana wa PCM tu ambao hutoboa kupiga one za tatu tangu Tanzania kuumbwa.
Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka.
1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga mama yake na yule dogo.
2. Kuna mama huyu muimba kwaya kanisani huyu ndio oya oya, vijana wengi wa...
Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
Tatizo hapa ni vijana wengi kuzama kwenye kilevi cha ngono zembe, na hasara zake ni kubwa
1. Akili kudumaa
2. Maradhi
3. Upotevu wa malezi sahihi kwa watoto
4. Kulega kwa ndoa
5. Kudorora kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, familia mpaka taifa.
Hayo ni baadhi yake, swali ni je tunaweza vipi...
Habari zenu wandugu.
Baada ya kupata vijana wa nne ktk tangazo langu la kwanza wale wa kuchoma ashua sasa nimekuja na hili lengo likiwa ni kuinuana na kusaidiana. Kuna laki tatu hapa mfuko wa shati ambazo si nyingi kwa mwenye nazo na pia si ndogo kwa mtafutaji.
Nahitaji kijana/vijana ambaye...
Wasalaam,
Inashangaza na kusikitisha kuona kikundi cha vijana wa CCM wakihangaikia ujenzi wa legacy ya mwendazake huku wakisahau kuwa nao inatakiwa waweke legacy kabla ya kwendazao, yaani wanajitahidi kuweka legacy zao kupitia tarumbeta na pambio za ujenzi wa legacy za aliyekuwa Mwenyekiti wao...
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.
Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.
Kama unapinga pinga kwa hoja.
Nimeileta hii kwa makusudi baada ya kutazama hiyo video hapo chini ya kina Mama wakijitetea kwa maafisa wa polisi juu ya kuondolewa kwao kwenye ukumbi wa starehe kwenye hafla yao.
Waliagizwa kuwa wazime muziki kwa sababu tunazozifahamu, lakini hoja kuu hapa ni kuhusu hawahawa maaskari kwa sisi...
Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili:
1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi)
2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine)
Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka.
Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
Habari JF;
Leo nataka niongee na vijana wenzangu wa jinsia zote, kuhusu video za porn maarufu kama XXX.
Vijana wengi wanatumia video za X kama njia ya kujifunza jinsi kufanya mapenzi na staili mbali mbali .
Kwanini kijana hutakiwi kutumia video za X kama njia ya kujifunzia mapenzi?
1...
Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke.
Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate, viwahoji na ikibidi...
Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani.
Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi hasa ule uchafu sugu mfano kung'arisha masink na Tiles zilizo fubaa ama kuwa na uchafu sugu pamoja...
Maisha yanachangamoto nyingi sana. Mara nyingine unaweza kuona dunia haikutendei haki na hata uanweza kukata tamaa. Lakini ukiangalia mapito ya waliotutangulia, unaelewa kuwa maisha ni safari tena isiyonyooka. Kikubwa ninachojifunza mimi ni kwamba, anzia unapoanzia, safari yako ikifikia mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.