Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao.

Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi cha nyuma walikuwa wengi.

Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uwezo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?

Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknolojia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli?
 
Magu na pombe
Lissu tunduka na Msando
Lissu alipochaguliwa tu kuwa rais wa TLS akatangaza yeye ni rais, kajiona tayari ni rais wa JMT.
Kaanza kupingana na mamlaka hajui yeye ni rais wa TLS sio JMT.
Msando ye alipima oil papa nguru kwa gigy money live.
Ni mdau wa karibu tls watu wakapoteza imani na tls.
Na sijui kama alitokea safari hii
 
TLS Ina wnchama zaidi ya elfu Tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu Moja Jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 awakujitokeza kwenda kuchagua Rais wao.

Lakini pia Kati ya waliojitokeza Kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi Cha nyuma walikuwa wengi.

Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uweo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 Wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?

Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknologia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli
Kwa sababu its a total waste of time

Ushaona wapi duniani taasisi inachagua head guy kila mwaka??? Deplorably ridiculous.
 
TLS Ina wnchama zaidi ya elfu Tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu Moja Jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 awakujitokeza kwenda kuchagua Rais wao.

Lakini pia Kati ya waliojitokeza Kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana ambao kipindi Cha nyuma walikuwa wengi.

Je, ni kweli kwamba mawakili wengi wamekosa uweo wa kiuchumi? Kama asilimia 75 Wana ukwasi finyu taaluma hii inakwepaje makanjanja?

Kwa umaskini huu si wakati wa kuwaza kutumia Teknologia kupiga kura kuwapa haki mawakili wasio na fedha za nauli
Hiki chama kina mchango gani kwa jamii?
 
Kuna walioruhusiwa kupiga kura mara mbili huko, umefanyika uhuni ili kumbeba Hosea.
 
Back
Top Bottom