Vijana wawili wa Sales wanahitajika

MarkD

Member
Jan 10, 2012
60
26
Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022.

Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza.

Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.
 
Kashuwa

Member
Nov 19, 2021
62
35
Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022. Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza. Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.
Niko tayar lugha zote niko vizuri
 
RoadLofa

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
909
1,515
A
Ww umeshindwaje kupiga?hii imekaa kimchongo zaidi malipo kwa siku ,aisee MM NIKO TAYARI NA NI LOBBYIST MZURI SANA SANA ,niko tayar , now i ask for this oppotunity ,
Kazi haipatikani kirahisi watakupotezea nauli yako na bando kwenda mwananyamala
 
kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
5,181
9,275
Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022.

Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza.

Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.
Sisi wazee hututaki?
 
Zakia sultani

Member
Dec 14, 2020
53
54
Ww umeshindwaje kupiga?hii imekaa kimchongo zaidi malipo kwa siku ,aisee MM NIKO TAYARI NA NI LOBBYIST MZURI SANA SANA ,niko tayar , now i ask for this oppotunity ,

Ni wapumbv tyu, kuna siku niliandka natafuta kazi huyu mtu akanicheki niende ofisni kwao, sasa wakanambia watanicheki, akanitafuta kunambia natakiwa kuanza nichukue barua ya uthibitisho wa mtaa na mdhamini nikatafuta namwambia tayari analeta habari za kishamba aisee nahisi ni wahuni tyuuu kampuni umya kimchongo
 
Zakia sultani

Member
Dec 14, 2020
53
54
Affluence Training Ltd inahitaji vijana wawili (2) kwa ajili ya kazi maalum ya sales kwa njia ya simu. Awe anajua vizuri lugha za Kingreza na Kiswahili, Awe na uwezo wa ushawishi na mauzo, Kijana wa kike na wakiume wote wanakaribishwa kuomba. Ni kazi ya wiki moja tu kuanzia Jumanne tarehe 31 Mei 2022.

Kuna uwezekano kwa kijana atakayefanya vizuri kupewa kipaumbele kwa kazi nyingine zitakazojitokeza.

Malipo ni kwa siku. Kwa Mawasiliano zaidi 0712066064 Ofisi zipo Ghorofa na. 2 Jannat Plaza, Mwananyamala Komakoma - Dar Es Salaam. Karibuni.

Mshenzi tyuu umenitupia nauli yangu wewe si bira ungejituliza tyuu kipindi wantafuta kujifanya kuna nafasi kwenye kampuni yenu thn wanisumbua kwenda kwenye ofisi za watu kumbe waongoo sheenz
 
Zakia sultani

Member
Dec 14, 2020
53
54
Kabisa bora vijana waelewe now mtu akiwa na uhakika wa hela ya kula anaanza kuwasumbua wanaotafuta ajira ili kujiona boss, hajuw hata hiyo nauli watu kupata ni mtihani
 
Talha

JF-Expert Member
Nov 11, 2021
202
216
Mshenzi tyuu umenitupia nauli yangu wewe si bira ungejituliza tyuu kipindi wantafuta kujifanya kuna nafasi kwenye kampuni yenu thn wanisumbua kwenda kwenye ofisi za watu kumbe waongoo sheenz
Daaah watu kama hawa kwanini wasipewe sjui ndo ban ya milele,maana ni utapeli pia kumpotezea mtu muda na pesa za nauli
 
Kashuwa

Member
Nov 19, 2021
62
35
Piga no ya simu hiyo katoa kama uko serious.
Sauti ya kiutawala, inatawala wajinga waliwao ,inatawala ambao hawajawahi kupigwa, mm nahasira sana ,natamani huu mtandao uchimbiwe kaburi uzikwe ni upigaji ,,,akijiri wajinga wenzako wa darasa la 0 la 1950 iliyopita ,zama zimebadilika sana ,mmehamia mitandaoni et eeee!!!
 
kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
497
239
Siwashaurj muende huko, maana ni kupoteza muda wako Bila ya Senti tano mfukoni, halafu anamaneno mazuri ya kushawishi tapeli Huyo Hadi unaona hapa ndio penyewe.
 
Smiley98

Member
Jun 21, 2017
84
79
Siwashaurj muende huko, maana ni kupoteza muda wako Bila ya Senti tano mfukoni, halafu anamaneno mazuri ya kushawishi tapeli Huyo Hadi unaona hapa ndio penyewe.

Haha kazi kwel kwel watu wanatumia changamoto za wenzao kupiga pesa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom