vijana

  1. L

    Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  2. S

    Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa

    Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae. Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama...
  3. M

    Vijana wa CCM onyesheni hasira zenu kwa mwenyekiti wenu kwa nini ateue waliofata teuzi na maslahi awaacheni nyinyi

    Nyie vijana wa CCM, mimi nawaelewa kabisa hasira yenu. Nyie mmepambana kukitetea chama, wakati hawa akina Lijualikali, Nassari, Mashinji wakipambana kuwatoa madarakani. Waliwaita majina yote yakiwemo "vijana wasiojielewa", "waimba mapambio", na majina kibao ya kejeli. Lakini leo hii wanahama...
  4. Chakaza

    Vijana waliopo CCM wanalo la kujifunza hapa

    Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao; Matokeo ya Kisiasa yanataka Moyo Sana vijana wa CCM tutulieni nchi ni yetu sote, tupunguze kuchukiana na kuumizana kimwili! Moses...
  5. T

    Asante Rais Samia Suluhu kwa kuwakumbuka vijana lakini baadhi ya wazee uliowaacha ni wachapa kazi na waadilifu sana. Naomba usiwasahau

    Mhe. Rais, nakushukuru na kukupongeza kwa kutekeleza ahadi uliyotoa ukiwa ziarani mkoani Mwanza juu ya kuteua vijana tu kwenye nafasi ya U-Dc. Mhe. Rais kwa hakika umedhamiria kwa dhati ya moyo wako kuleta mabadiliko makubwa kupitia vijana. Naamini vijana ni jeshi muhimu La mabadiliko kwenye...
  6. majumba 6

    Kuanzia kesho vijana msikose bando, mikeka mingine inafuata

    Kuanzia kesho vijana wasikose bando. Kuna mikeka minne(pdf) iko njiani. Mkeka wa kwanza unawahusu walioteuliwa kuwa makatibu tawala wa wilaya. Mkeka wa pili ni wa walioteuliwa kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya, miji, manispaa na majiji. mkeka wa tatu ni wa waliifanikiwa kupata ajira...
  7. Kifurukutu

    Vijana mliopewa teuzi mkatende haki, muepuke "Usabaya"

    Hakika yule aliyewahi kusema "Madara yanalevya, madaraka makubwa yanalevya zaidi" hakukosea Ukuu wa wilaya unahitaji mtu mbunifu, ukirizika na nafasi uliyoteuliwa utaishia kuishangaza jamii na kuzalilisha vijana wengine wengi hata kupelekea wasiaminiwe tena. Kiongozi kijana, umepewa wilaya...
  8. Q

    Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  9. B

    Rais Samia aliposema atateua vijana naona amewaibua vijana wa CCM kila kona wanashambulia jukwaa waonekane

    Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais. Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka kila Kona ya nchi kutoa matamko na kukemea baadhi ya vitu Jambo ambalo awali kabla ya kauli ya Rais...
  10. M

    Kwanini Wizara ya Michezo isiweke idadi ya wanasoka wa kigeni? Maelfu ya vijana wa Kitanzania wanakosa nafasi

    Nimeamua kuandika habari za mpira wa miguu kwa sababu nyingi lakini za msingi ni kuwa soka ni ajira,biashara,n.k lakini pia ina mipaka yake.mpira wa miguu (Football or soccer) ni biashara kubwa sana sio Kwetu bali duniani kote. Sasa timu zetu kubwa ni mbili tu yaani Yanga na Simba. Hakuna nchini...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  12. Mtuflani Official

    Waziri Jenista, vijana wapo maofisini lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa

    Jenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni. Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa...
  13. C

    Rais Samia, anza na mambo haya kwa vijana. Tutakushukuru

    Na; Hamis Abeid Baruani 0769808725 Mama kwanza pole na hongera kwa majukumu ya kulitumikia Taifa letu tukufu la Tanzania, kama kijana wako wa Tanzania nina maoni yangu kadhaa ningependa kukupatia kuhusu kutusaidia sisi vijana wako, mengi mazuri yalisemwa na uliyasema pale Mwanza naomba nami...
  14. mngony

    Vijana wengi CCM ni wanafki,wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  15. mngony

    Vijana wengi CCM ni wanafiki, wenye tamaa na wasio na Uzalendo

    Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo. Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
  16. B

    Kundi la vijana ni kama mawingu ufuata upepo

    Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi. Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya kufanya kazi ngum kama vile kilimo kwa sababu nikundi lenye nguvu
  17. Z

    Ni wazi Serikali haina mikakati ya tatizo la Ajira kwa vijana

    Wanasiasa wote ndani ya CCM na upinzani wamekuwa wakilitaja tatizo la ajira lakini kwa hotuba ya leo ya Rais Samia, ni wazi serikali haina ufumbuzi wa tatizo hili. Kujiajili hiyo siyo mbinu ya serikali, ni jambo la mtu binafsi kuamua. Serikali lazima itengeneze ajira. Kupunguza kodi siyo mbinu...
  18. Kijana ushe2

    Kundi la vijana ni silaha kubwa ya mageuzi vizazi vijavyo hapa nchini Tanzania

    Ndugu wanajamvi leo nataka nigusie kuhusu wimbi letu la vijana wa hili taifa la Tanzania: Moja, vijana tupambane katika kutafuta riziki ya kila siku vijana tujikubali na tuweze kuuachia ubongo uweze kutafsiri vyema namna ya kupambana na maisha ya kawaida ya kila sikh na so kutegemea mtu ama...
  19. Mtu Asiyejulikana

    Mh. Rais umekuja umetuona sisi vijana na tumepata nafasi ya kukusikia. Likumbuke hili jambo Ukiwa mezani pako Tafadhali

    Sisi vijana kwa kweli tumefurahi sana. Sana safari hii tumepata Rais Jembe hasa. Yaani ameshaonana na makundi yote ndani ya muda mchache sana. Ashaonana na wazee (na tunashukuru mzee wetu mwinyi ulimpa zawadi ya gari) ukaonana na wanawake, umeonana na vijana nadhani bado kuonana na wanaume...
  20. P

    Rais Samia kamaliza kabisa leo Mwanza, ameahidi kutoa kipaumbele kwa vijana

    VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA. Na: Philipo Mwakibinga. Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT na Vijana wa Tanzania kupitia Vijana wa Wakanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
Back
Top Bottom