vijana

  1. nyboma

    JamiiForums Tanzania Vijana kama hamna pesa msilazimishe mapenzi

    Leo niko mkoani kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuuanza mwaka, ingawa nishaona wazi kabisa mama yetu Samiah keshazidiwa kete na watoto wa mjini na madume ya Magufuli. Tukirudi kwenye kichwa cha habari kama kawaida yangu sikutaka kulaza damu nikasema ngoja nijichanganye katika moja wapo ya...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Vijana tafuteni pesa, mapenzi hayana umri ukiwa na pesa

    Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu Nigeria ametupia screenshot ya hamisho la pesa hizo Wawili hao walifunga ndoa 2019 na wana mtoto mmoja...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu wa jf mtupokee sisi vijana wenu wapya

    Wandugu Mimi ni new member Naiman wakongwe wa jf mtanikaribisha na kunipa support Katika ujenzi wa taifa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
  5. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ulevi na uzinzi vimemaliza vijana. Amkeni vijana mtakwisha

    Habari! Ninaposema vijana wazinzi na walevi mtakwisha simaanishi kuwa mtaiacha dunia na kutuacha sisi ambao hatufanyi uzinzi na hatulewi. La hasha, namaanisha nguvu kazi inapotea, vijana wanakufa wakiwa wabichi, heshima na utu wa vijana umeondoka katika jamii kwasababu ya pombe na uzinzi. Kivipi...
  7. 0ozg Tz

    JamiiForums Tanzania Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna. Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Red brigade wana kitu cha kujifunza kwa hawa vijana wa halaiki

    Tunaambiwa tujifunze kwa watu wowote, vitabu vinatuambia tukajifunze hata kwa wasio waumini. CHADEMA wana kitu cha kujinza kwa hawa vijana japokuwa ni watoto lakini kuna baadhi ya mambo hata red brigade wana uwezo wa kujifunza. Hawa vijana kuna baadhi ya mambo nayaona hapa hata red brigade...
  10. B

    JamiiForums Tanzania DC Mwenda awafunda vijana jinsi miaka 60 ya uhuru uchumi wa Tanzania ulivyobadilika

    DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka 60 ya uhuru wa Tanzania bara na miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanziba kwa kuangalia mabadiliko katika...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ufanisi katika uendeshaji wa Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu

    Katika ukaguzi wa uendeshaji wa Mfuko wa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, CAG amebaini Mapungufu kadhaa yakiwemo; 1) 65% ya Mikopo iliyotolewa kwenye Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu haikurejeshwa. Kwa mwaka 2019/20, CAG alionesha Mamlaka za Serikali za Mitaa 130...
  12. OLS

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

    Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho kwa vijana wetu walio mitaani wasiokuwa na Ajira?

    Wazazi na vijana wamepoteza kabisa matumaini ya maisha, wanaishi kwa misongo ya mawazo kila siku. Kila siku afadhali ya jana na serikali imetamka kuwa haiwezi ajiri vijana wote wanaotoka vyuoni bali wajiajiri. Lakin haiwawezeshi njia za vijana hao kujiajiri, Bali ni matamko tu. Kwa wenzetu...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

    Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Zuku yamwaga ajira kwa vijana wa Kitanzania

    Wakuu Kazi hizo. Sharing is caring.
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Pombe ya Simba yatajwa kusababisha vijana kuvimba mashavu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai amekifungia kiwanda kinachozalisha pombe aina ya simba kampuni ya Turn Bus Investment, kutokana na kuzalisha pombe zenye kiwango kikubwa cha asidi na kwamba hakifai kwa matumizi ya binanadamu. Mbali na kufungia kiwanda hicho ameliagiza Shirika la...
  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Wazazi muwe makini na birthday wanazokwenda vijana wenu. Birthday party nyingi ni sehemu ya kuhalalisha ushoga kwa Dar

    Siku hizi unaweza kukutana na kusanyiko la vijana wa kiume wakisherehekea birthday, kumbe ni kusanyiko la mashoga. Kuna birthday zinazo wakutanisha mashoga, vijana wadogo ingawa wengine watu wazima. Hili janga tusione aibu kulizungumzia kwa kudhani halipo nawahakikishieni lipo tena kubwa sana...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vijana waliokuwa wanatorosha mabinti miaka ya zamani wana afadhali kuliko wa sasa

    Nakumbuka zamani nikiwa mdogo miaka ya 90 mwishoni na 2000s miaka ya mwanzoni nlikuwa naskia sana binti wa fulani katoroshwa na kijana flani, House girl wa nyumba flani katoroshwa, dada yake flani katoroshwa, n.k. hapo ni kwamba wanaenda kuanza maisha kama mme na mke, hadi mje kuwaona tena basi...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana wahanga wakubwa wa ajali za barabarani

    Akishiriki Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Kitaifa Jijini Arusha, amesema takwimu zinaonesha zaidi ya 90% Ajali za Barabarani husababishwa na makosa ya kibinadamu ikiwemo mwendokasi, kutovaa mikanda na kupita gari lingine bila tahadhari. Amesema, "Uendeshaji wa Vyombo...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
Back
Top Bottom