Sikujua vikundi vya 'jogging' watu wanatumia kutongozea wanawake!

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
8,805
8,717
Kumbe Jogging club zinazoanzishwa wa wingi hasa maeneo ya mjini zimekuwa platform ya kutongoza wanawakeee aiseee!!!.

Nimepita mahali nikakuta Kuna vijana wanamshawishi kijana mwenzao ajiunge Kwenye jogging club yao waliyoianzisha, Sasa Huyo mwenzao akauliza "wanawake wapo???"

Wakamjibu Wewe njoo wanawake watakuja tena wenye Hela duuh!!! Nikajiuliza inamaana jogging haina lengo kuhamasisha watu kufanya mazoezi kumbe siyo??

Ina maana siku hizi vijana hatujui kutongoza?? Mbonaa naona kama siku hizi ni rahisi sana ukipewa mamba tu unamaliza kazi auuu kuna la ziaada?

Kweli ukiambiwa kuna fursa ujue fursa ni Wewe!.
 
Yani hapo pa ''wanawake watakuja ila wenye hela"....

Vijana wamebweteka, hawataki kufanya kazi...

Wanawaza kitonga tu kwa majimama...
Ingewezekana kuishi bila kufanya kazi nadhani wengi tungeenda huko
 
Yani hapo pa ''wanawake watakuja ila wenye hela"....

Vijana wamebweteka, hawataki kufanya kazi...

Wanawaza kitonga tu kwa majimama...
Kabisa kumbe wanaanzisha jogging Ili wapate mseleleko
 
Ah wee ujui kuwa mazoezi yanaongeza genye...alafu na vile vicondom wanavyo vaa wamama minyama inatetema tuu lazima utamani kuyachapa chapa
🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe ndio tageti yao
 
Balaa yaani hapo nanukijua jua sayansi ya mazoezi kidogo uwape warembo mbona unajilia tuu
Hahaha ujifanya unajua mazoezi machache unapata pa kuanzia aiseee, ila mazoezi kama uko majalala hayapandi maana inatakiwa ukitoka hapo upige supu, Sasa mazoezi na pass ndefu wapi na wapi
 
Vijana wa Kitanzania akili na utendaji kazi wa bongo zao zote zimeathiriwa na kuwaza ngono muda wote.....yaani mazungunzo yote ni ngono tupu.....yaani kila kitu lazima kinasibishwe na ngono ili kuleta msisimko.......

Ukiangalia au kusikiliza miziki, ukitazama filamu, ukisikiliza vipindi vya redio au kutazama luninga habari ni hizo tu.......

Kila mtu ni mganga au mtaalamu wa dawa za nguvu za kiume...... matangazo ya madawa ya kusisimua nguvu za kiume yametapakaa kila kona...........

Huko maofisini na maeneo ya kazi iwe masokoni au migodini ndio usiseme kila mtu kidume Cha mbegu.......

Mafanikio makubwa ni kuwa idadi kubwa ya wanawake au wanaueme aliolala nao.......

Maofisini ni skendo za ngono na kutongozana tu kazi hazifanyiki....watu mpaka wanafumaniana huko maofisini.....

Yaani kuna muda unakaa na kukitafakari hiki kizazi unabakia kusikitika tu....
 
Sasa ndio wengi wanakosea hapo wakipiga zoezi wanaenda bugia mivyakula....kaka uchawi wa kupungua ni chakula tuu wala sio zzoezi
 
Vijana wa Kitanzania akili na utendaji kazi wa bongo zao zote zimeathiriwa na kuwaza ngono muda wote.....yaani mazungunzo yote ni ngono tupu.....yaani kila kitu lazima kinasibishwe na ngono ili kuleta msisimko.......

Ukiangalia au kusikiliza miziki, ukitazama filamu, ukisikiliza vipindi vya redio au kutazama luninga habari ni hizo tu.......

Kila mtu ni mganga au mtaalamu wa dawa za nguvu za kiume...... matangazo ya madawa ya kusisimua nguvu za kiume yametapakaa kila kona...........

Huko maofisini na maeneo ya kazi iwe masokoni au migodini ndio usiseme kila mtu kidume Cha mbegu.......

Mafanikio makubwa ni kuwa idadi kubwa ya wanawake au wanaueme aliolala nao.......

Maofisini ni skendo za ngono na kutongozana tu kazi hazifanyiki....watu mpaka wanafumaniana huko maofisini.....

Yaani kuna muda unakaa na kukitafakari hiki kizazi unabakia kusikitika tu....
Kwa kweli ngono imeshika dunia ndio maana porn industry wanatengeneza hela kinomaaaaa
 
Yaani changamoto kabisa sijui tunachomokaje hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom