Mbali na kuhitaji vijana wajiajiri, vitabu vya masomo ya biashara na uchumi ni vichache kwa shule za Advance level

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Kwa takwimu zilizopo katika tovuti ya TAMISEMI, vitabu vya masomo ya biashara kwa wanafunzi wa Advanced Level ambayo ni Accountancy, Commerce na Economics ni vichache ukilinganisha na vitabu vya masomo mengine

Kwa mwaka 2021, kulikuwa na vitabu 378 vya Accountancy, 392 vya Commerce na 4,057 vya Economics. Hali hii inaonesha utofauti kwa kuwa kumekuwa na shinikizo la kutaka watu wajiajiri

Aidha takwimu hizi zinaonesha shule za serikali zina vitabu vingi Zaidi vya Kemia ambavyo ni 52,014 ikiwa ni tofauti ya 99%

1638686926553.png


Signed OEDIPUS
 
Back
Top Bottom