video

  1. Senator jr

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

    Habari ya uzima wakuu, Naomba mnishauri wapi nitapata gpu nzuri na ikiwezekana mniambie ninunue toleo gani bajeti yangu 400k asante CHIEF MKWAWA
  2. M

    JamiiForums Tanzania ‘There is no need to see more Video’: Police across the country speak out against George Floyd’s death

    Minneapolis, USA Police nationwide, in unequivocal and unprecedented language, have condemned the actions of Minneapolis police in the custody death of a handcuffed black man who cried for help as an officer knelt on his neck, pinning him to the pavement for at least eight minutes. “There is...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

    Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote. Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: CCM yawatupa waliosaliti vyama vyao na kuikimbilia, makubaliano ya kubebwa yatupwa rasmi, kila punda kubeba mzigo wake

    Haya tuliyaona mapema na tukawaonya wasaliti wote kwamba Usaliti ni laana na inateketeza hadi kizazi cha 4 kwa bahati mbaya wakaona kununuliwa kama mafungu ya dagaa ni kuzuri, sasa yamewakuta. Hivi mbunge kama Mtolea wa Temeke atamshinda nani kwenye kura za maoni ?
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

  6. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali. Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani...
  7. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Tazama hizi video hakika hutojutia bando lako

    Nimejikuta nacheka na kuongezea siku za kuishi usisite kudondosha comments zako.....
  8. babu M

    JamiiForums Tanzania Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

    ====== A video taken by an onlooker Monday evening shows a Minneapolis police officer keeping his knee on the neck of a motionless, moaning man at the foot of a squad car. The man, who was later identified as George Floyd, later died. Tuesday afternoon, Minneapolis Police Chief Medaria...
  9. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Gumzo Africa's First Video Conferencing App

    Gaming Startup Usiku Games has launched what they describe as the first “made in Africa for Africa” video conferencing system. Dubbed Gumzo, which is Kiswahili for chatting, the new platform promises better quality calls with unlimited attendees at affordable prices. Currently, the company says...
  10. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
  11. macho_mdiliko

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Fumanizi na kipigo kikali sana

    NEWS UPDATE: Mwanaharakati wa Haki za Wanawake hapa nchini Joyce Kiria the super woman pamoja na Juma Raibu diwani wa boma Mbuzi Manispaa Moshi wamsaidia mwanamke aliye daiwa kufumaniwa na mume wa mtu kupata matibabu Akizungumza Mara baada kutembelewa nyumbani kwake Msaranga wilani Moshi Mkoani...
  12. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Hii video inasadifu jambo katika taifa letu naiombea mema Tanzania

    Hii video inasadifu Jambo katika taifa letu.... Thank Lord Naona covid ikidunda Yaan kariakoo leo shangwe Kama lotee hakuna mask tenaaa Kikubwa Tuendelee kuchukua tahadhari zote Yasije yakatukuta aliyo tabiri zito kabwe
  13. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

    ======== Mh. Waitara amesema kuwa baada ya wabunge wa CHADEMA kutangaza kuwa watahamia CCM na wengine wataenda NCCR Mageuzi basi wameshambuliwa sana na hasa Mh, Lijualikali. Amesema kuwa miongoni mwa watu ambao anawafahamu ni pamoja na Lijualikali, anadai alipoenda Mlimba na Kilombero wakati...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Msomi Mwakyembe ajifukiza majani ambayo hayajathibitishwa na yeyote kutibu chochote

    Hii nchi kwa hali inayoendelea nayo ni vema wananchi tukaongeza maombi
  15. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alihutubia Bunge la Kenya na mustakabari wa uhusiano wetu

  16. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  17. kidadari

    JamiiForums Tanzania Mara yako ya kwanza kuangalia "Pilau" ilikua je?

    Katika harakati za ujana unakumbana na mambo mengi ikiwemo udomo zege, mahusiano,uhuni,chabo mapenz etc Back in March 2001 nikiwa kidato cha kwanza shule flan jijini dar es salaam. Nimetoka kijijini mkoa wa kaskazini Enzi sijui mwanamke,wala sikuwahi kuona uchi wa mwanamke wala Puli sikua...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasaliti waanza kulia na kusaga meno. Hakuna kumhurumia yeyote, hakutakuwa na Mswalie Mtume

    Tuliwaambia mapema sana kwamba ndani ya Chadema hakuna mkubwa kuliko Chama , sasa wametimuliwa wanaanza kutia huruma . Mzee Lwakatare ulipiganiwa na chama kwa kiwango cha kutisha mno , ukatolewa ndani ya mdomo wa mamba ili uishi tena leo unasaliti bila aibu , Umevuna ulichopanda
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Hizi hapa salamu za Jumapili kwa walioiba vitabu vya Shule

    Ni vema ukatumia muda huu kuvirejesha hata kama una mvi kichwani
  20. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania 6ix9ine avunja rekodi ya EMINEM ya video iliyoangaliwa kwa wingi ndani ya siku moja.

    Wakuu takashi amevunja rekodi iliyowekwa na rapa Eminem kwenye wimbo wake Kill Shot NB:Nimefuhia ujio wa rainbow boy,na namuombea wabaya wake washindwe. You Mad Coz Am Back...
Back
Top Bottom