Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.
Adskofu Gwajima pia amewahi kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (Doctor of philosopy in Theology...PhD), ambayo ameisomea katika Chuo cha Omega Global University...
Huu ndio mwendo, vijana Wakenya wanapambana sana, inatia moyo kuona kizazi cha kesho kipo kimejiandaa kuipeleka hii nchi kunakostahili.
Ifahamike sasa hivi tumepata soko hadi DRC, wanakuja kuagiza PPE tunazotengeneza viwandani.
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Tanzania na kada wa chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa miongo mingi Bernard Membe anasema ikiwa Vyama vya Upinzani vitaungana na kumpa ridhaa ya kugombea nafasi ya Urais, basi atakuwa tayari kupambana na Rais John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao...
Hakika kwenye uchaguzi wa 2020 kazi si nyepesi kama baadhi wanavyodhani, ukiangalia video hii utagundua kwamba hiki chama kinachoitwa Chadema kimeshindikana .
Pamoja na kudhulumiwa kila kitu kwa miaka mitano, ikiwemo kukamatwa na kubambikwa kila aina ya kesi lakini mkutano mmoja tu wa hadhara...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimatifa wakati wa Serikali ya Tanzania, Bernard Membe ambaye mwezi Februari mwaka huu chama chake cha CCM kilipendekeza kumvua uanachama wake amesisitiza kuwa dhamira na uamuzi wake wa kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
kuna jamaa kaniuliza kuhusu software inayoweza kubadili video kuwa audio, huyu jamaa anajiita EINSTEIN112 kwa hiyo nimeona nifungue huu uzi hapa. Kwa kuwa kule kulikuwa na uzi unaohusu mambo mengine. Karibu we jamaa.
Ndugu,
Nafikiri kuna software kibao ziko sokoni kwa ajili ya kazi hiyo...
Naomba kusaidiwa tatizo hili lililoanza hivi karibuni.
Niliponunua na kufanya setting za kawaida za hii Smart TV Sony bravia yenye bowser Opera nilikuwa nikiona videos zote za you tube na za site mbalimbali kama kawaida.
Sasa imeanza kuleta shida kwenye inteneti browser video haziplay...
Pamoja na mapungufu yake kama Mwanadamu IGP Sirro amejaaliwa kipawa cha ugunduzi wa kipaji cha mtu , na hasa kwenye eneo lake la polisi .
Ukiangalia video hii utagundua kwamba huyu RPC hili ndio eneo lililomfaa tangu awali
Hili liwe fundisho kwa viongozi wengine wa Kiafrika, kwamba watu wengi wanaweza kuwa wanakuchekea kwa vile uko madarakani tu, na hasa kwa vile unawajazia matumbo yao, lakini ukitoka ndio utaijua rangi yao halisi.
Majuto ni mjukuu
Wakenya humu huwa na tabia za kusingizia mataifa mengine eti wanawaletea Corona kumbe Nairobi wadau wanaendelea kunyanduana huku wakupumuliana na kumwagiliana Ute ulio jaa Corona.
Lakushangaza ni kwamba hawa makahaba hautasikia serikali inawapima corona, Madereva wa kutoka nchi jirani eti ndio...
Inaonekana ukiwa mwana CHADEME kwa sasa ni zaidi ya gaidi. Hapa wana CHAEMA walikuwa wanaenda kumlaki Mbunge wao anayerejea kuja kutoa shukrani za uaminifu kwao sasa inaonekana wezuiwa.
Swali, mbona kwa CCM haya ni ya kawaida? Hivi ni moja ya vitu vinavyomfanya Rais Magufuli kuonekana kuendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.