video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

    Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema. Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
  2. JamiiForums Tanzania Video: Sabaya azomewa "mwiziiiii mwiziiiii!" Hakika cheo ni dhamana

    Hakika cheo ni dhamana. Tumia cheo kutenda haki, tenda kazi ya Mungu. Hili ni funzo kubwa sana kwa wenzetu mnaoteuliwa na kuchaguliwa. Oneni mwenzenu anavyodhalilika. Hamjachelewa sana,huu ni wakati wa kulia na kutubu hadharani
  3. B

    JamiiForums Tanzania Wanamuziki kutoa video za kubuhusiana zina faida gani?

    Wanamuziki kwenye nyimbo zao za video wamekua wakibuhusiana wakati mademu hao si wao inasaidia nini? Unakuta nyimbo ni nzuri kusikiliza ila ukija kutazama video utamani hata watoto wako waiangalie hii wadau mwaionaje?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Video: Ama Mwenyekiti wa CCM Mkoani Mara ni mnafiki

    Yapo mengine unashindwa kuyaeleza hivyo unaiachia video ndio iongee, karibuni sana... Kama sifa zinalevya, basi Mh Rais Samia Suluhu Hassan kaa chonjo na watu kama hawa! Juzi kwa mwendazake leo kwako...waepuke wanafiki hawa, kaa mbali nao na waogope kama ukoma! 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.
  5. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: General utopolo Mzee Mpili anakuambia hatuchezi hatuchezi hatucheziiii

    Huyu mzee ana busara sana kwa kweli kila nikiiangalia team yangu simba wazee kama ramesh patel, philemon sarungi,kina kova wanatuchelewesha tu laiti tungekuwa na kina mzee mpili,mzee magoma tungekuwa mbali sana
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuunganisha watumiaji wa Youtube wakati video ikiendelea

    Naomba nisaidiwe ni njia gani wanazotumia, mfano wakati kuna tukio fulani linaendelea utakuta watu wengine wanaangalia tukio hilo LIVE ni nini kinatakiwa kuwepo? kwa mfano nikiwa Kanisani na ibada inaendelea nataka watu wengine waone ibada hiyo LIVE kupitia youtube je ni vifaa gani...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wazee wa yanga wakataa kuingiza team uwanjani tarehe 3 july vs simba

    Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa ubora nchini nyuma ya simba na namungo kikawaida huwa ina utaratibu wa jadi na wa kihistoria wa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Video ya Uwanja wa lake Tanganyika matayarisho ya fainali ya shirikisho

    si utani ama kwa hakika hii ni ligi ya 8 kwa ubora africa naomba sana simba na yanga zikutane hiyo fainali halafu siku hiyo makocha wa kigeni wakashuhudie kapeti la lake tanganyika watajua hawajui
  9. JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  10. JamiiForums Tanzania Unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri? Tembelea video hii

    Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
  11. JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

  13. JamiiForums Tanzania Video : Michael Jackson wa Afrika

    Tukutane sheli
  14. JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

    Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.
  15. JamiiForums Tanzania Video: Msafara wa CHADEMA kuelekea Shinyanga Usipime! Maandalizi yakamilika

    Vikao vya ndani vinaendelea kurindimishwa na CHADEMA kama ada, hii ni katika ule mpango Mkakati wa Operesheni Haki, ambapo zamu ya Shinyanga ni 28/5/2021. Sasa huu hapa ndio Msafara wao kuelekea huko, jionee mwenyewe. Nyingine hii hapa
  16. JamiiForums Tanzania Hadi zianze kuvuja na video ndo tufute viti maalum bungeni?

    Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum .. Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni... Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'.. Wakati wa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) bandarini Dar Es Salaam yatumbukia baharini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaujulisha Umma kuwa Jumapili tarehe 23 Mei 2021, Majira ya saa 8 Mchana katika Bandari ya Dar es Salaam, mashine ya kunyanyua vitu vizito (crane) iliyokuwa ikishushwa kutoka kwenye meli ya LCT AJE 1 ilipata ajali ya kutumbukia baharini. Mashine...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii

    Somo hapo lahusika, naomba nisaidiwe kupata kipande cha video hii kuanzia dakika ya 17:30 na kuendelea ina jambo muhimu kutoka kwa Hayati Mwl J K Nyerere Video
  19. M

    JamiiForums Tanzania Video ikimuonesha MuIran akichoma moto bendera ya Israel badala yake ikamchoma moto mwenyewe

    Inakuwaje wanajamvi! Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe. Mungu mwenyewe...
  20. JamiiForums Tanzania Watoto Walindwe: Mtoto apigwa kama mnyama, ugomvi wangu ni huyu aliyechukua hii video anaroho mbaya sana

    Wazazi na jamii kwa ujumla hatuna budi kuwapa ulinzi watoto mahali popote pale unapokutana na tukio ambalo si la kiungwana kwa watoto, mtoto hata kama si wako ni wajibu wako kumlinda. Nimetafakari nikakosa majibu huyu aliyekuwa anachukua video hii alikuwa na roho gani? Badala ya kumuokoa mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…